OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mkuu kwani sisi ni technical bench au viongozi?🤣🤣🤣Andaeni timu yenu acheni kuhangaika na Yanga.
Naendelea kusema... Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba uamuzi wa viungo wanne ( bangala, aucho, Feisal na Aziz) kwenye ile mechi ya Sudan ni wa kocha Nabi... Nitakuwa wa mwisho pia kuamini kwamba Nabi ndiye aliyeamua kisinda acheze ile game ya Sudan na kuacha wachezaji kama Moloko njeHata Mwinyi Zahera leo namuona aki diss formation ya Nabi aliyoipanga kule Sudan
Tutegemee kusikia nini kwenye Press yao?
uzi bila picha haunogi mkuuTaarifa zilizopokea kwenye vyanzo vyangu ni kwamba Makocha wa Yanga wametofautiana mpaka kufikia kiwango cha kupigana.
Taarifa hizi nilizipuuza lakini kadri muda unavyosogea zinazidi kutolewa katika mitandao ya kijamii.
Bado haijathibitika sababu hasa za kupigana, hata hivyo inadhaniwa kuwa ni Nabi kukosa uvumilivu baada ya kufurumushwa Klabu Bigwa Afrika.
Naendelea kusema... Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba uamuzi wa viungo wanne ( bangala, aucho, Feisal na Aziz) kwenye ile mechi ya Sudan ni wa kocha Nabi... Nitakuwa wa mwisho pia kuamini kwamba Nabi ndiye aliyeamua kisinda acheze ile game ya Sudan na kuacha wachezaji kama Moloko nje
Yule profesa majalala wameanza kukamatana uchawi. Acha wauane kwa maana vita vya panzi furaha ya kunguruTaarifa zilizopokea kwenye vyanzo vyangu ni kwamba Makocha wa Yanga wametofautiana mpaka kufikia kiwango cha kupigana.
Taarifa hizi nilizipuuza lakini kadri muda unavyosogea zinazidi kutolewa katika mitandao ya kijamii.
Bado haijathibitika sababu hasa za kupigana, hata hivyo inadhaniwa kuwa ni Nabi kukosa uvumilivu baada ya kufurumushwa Klabu Bigwa Afrika.
Muendelezo wa porojo, kuelekea tarehe 23.Taarifa zilizopokea kwenye vyanzo vyangu ni kwamba Makocha wa Yanga wametofautiana mpaka kufikia kiwango cha kupigana.
Taarifa hizi nilizipuuza lakini kadri muda unavyosogea zinazidi kutolewa katika mitandao ya kijamii.
Bado haijathibitika sababu hasa za kupigana, hata hivyo inadhaniwa kuwa ni Nabi kukosa uvumilivu baada ya kufurumushwa Klabu Bigwa Afrika.
Utajua hujui. Time will tell. Tupo na nyie mpaka muuaneMuendelezo wa porojo, kuelekea tarehe 23.
Hata Yanga iamue kuchezesha kikosi cha Yanga Princess, bado mtafungwa tu.Utajua hujui. Time will tell. Tupo na nyie mpaka muuane
Mbona huko CAF hamjabebwa na mmeona ujinga wa kununua mechi za ndani na kucheza mechi za kirafiki na Mbuni.Andaeni timu yenu acheni kuhangaika na Yanga.
Mnatumia muda mwingi kujadili Yanga badala ya kujadili yanayowshusu halafu mje mseme tunanunua mechi kumbe mmewekeza kwenye majungu na umbea.
Tuliza mshono kwani Sisi ndiyo tumewatuma wapasuane?Andaeni timu yenu acheni kuhangaika na Yanga.
Mnatumia muda mwingi kujadili Yanga badala ya kujadili yanayowshusu halafu mje mseme tunanunua mechi kumbe mmewekeza kwenye majungu na umbea.
Mkipasuana sisi roho zetu kwatuuuuMuendelezo wa porojo, kuelekea tarehe 23.
Msipasuane nyinyi ambao mliitwa mbumbumbu na Aden Rage! Wapasuane Yanga wanaojielewa na kujitambua!!Mkipasuana sisi roho zetu kwatuuuu
Vp group stage?. Sisi ni kawaida nyie je. 24 years WAJINGA SNAndaeni timu yenu acheni kuhangaika na Yanga.
Mnatumia muda mwingi kujadili Yanga badala ya kujadili yanayowshusu halafu mje mseme tunanunua mechi kumbe mmewekeza kwenye majungu na umbea.