Nini chanzo cha Kocha Nabi na Kaze kupigana?

Status
Not open for further replies.
Mind games kuelekea derby
 
Hajawahi kumaliza msimu kwenye team yoyote ile hapa Tanzania ni bahasha ndo zilimsaidia ila ilikuwa hamna kitu pale Sudan hawamtaki hta kumuona
 
Msipasuane nyinyi ambao mliitwa mbumbumbu na Aden Rage! Wapasuane Yanga wanaojielewa na kujitambua!!

Mtasubiri sana.
Unakataa nini wakati Nabi na msaidizi wake wamepasuana. Wewe unaona Yanga malaika?
Your browser is not able to display this video.
 
Msipasuane nyinyi ambao mliitwa mbumbumbu na Aden Rage! Wapasuane Yanga wanaojielewa na kujitambua!!

Mtasubiri sana.
Mnajitambua kwa lipi ? Kwani luc eymael alipowaita manyani, mambwa mnabweka bweka hovyo alikosea?
Au yule msukule aliposema uto wote wenye akili ni wawili tu ukimtoa mzee kikwete, mzee sunday manara na mama karume mliobaki wote hata muwe na PhD hamna akili?
Au morison alivyowambia siku ya mwananchi uto wengi hamjaenda shule
 
Wanajitambua kwa kuwa na mwiko huko nyuma
 
Andaeni timu yenu acheni kuhangaika na Yanga.

Mnatumia muda mwingi kujadili Yanga badala ya kujadili yanayowshusu halafu mje mseme tunanunua mechi kumbe mmewekeza kwenye majungu na umbea.
Wewe nae mjinga wa mwisho Huku jf ndio Kuna maandalizi ya team?ungerudishwa utotoni ulipaswa kula vyakula vinavyoongeza akili kidogo pengine ukoo wenu ni hamnazo.
 
Kisa cha kupigana ni kwa vile Kaze aliongea na boss Nabi akalazimishwa kupanga kikosi cha Wakongo kwa 70% ya timu na pia kumuanzisha Morrison.
 
Wewe nae mjinga wa mwisho Huku jf ndio Kuna maandalizi ya team?ungerudishwa utotoni ulipaswa kula vyakula vinavyoongeza akili kidogo pengine ukoo wenu ni hamnazo.
Yanga wote ni hamnazo
Your browser is not able to display this video.
 
Wewe nae mjinga wa mwisho Huku jf ndio Kuna maandalizi ya team?ungerudishwa utotoni ulipaswa kula vyakula vinavyoongeza akili kidogo pengine ukoo wenu ni hamnazo.
Mbona walikuwa wanagombea ma..ma ya..ko? Kila mmoja alitaka awe wa kwanza kulala naye..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…