Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Team anapewa MwinyiHata Mwinyi Zahera leo namuona aki diss formation ya Nabi aliyoipanga kule Sudan
Tutegemee kusikia nini kwenye Press yao?
Nyie hamnazo pasuaneni tuuMsipasuane nyinyi ambao mliitwa mbumbumbu na Aden Rage! Wapasuane Yanga wanaojielewa na kujitambua!!
Mtasubiri sana.
Kwanini isiwe yeye ndo kawapanga akisaidiana na wenzake?Naendelea kusema... Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba uamuzi wa viungo wanne ( bangala, aucho, Feisal na Aziz) kwenye ile mechi ya Sudan ni wa kocha Nabi... Nitakuwa wa mwisho pia kuamini kwamba Nabi ndiye aliyeamua kisinda acheze ile game ya Sudan na kuacha wachezaji kama Moloko nje
Sawa sawa utopolo tupo. Kule CAF CL pole kakaHata Yanga iamue kuchezesha kikosi cha Yanga Princess, bado mtafungwa tu.
Kweli bwana,nasikia Kaze alirukia mzee wa kiarabu Nab kichwa cha kuvunja ukuta sema kibabu cha kiarabu kilikikwepa,ila nasikia kingempata Kaze alikuwa ana kesi ya mauaji kabisa,Kaze ni mtu Mbad sana bloanguTaarifa zilizopokea kwenye vyanzo vyangu ni kwamba Makocha wa Yanga wametofautiana mpaka kufikia kiwango cha kupigana.
Taarifa hizi nilizipuuza lakini kadri muda unavyosogea zinazidi kutolewa katika mitandao ya kijamii.
Bado haijathibitika sababu hasa za kupigana, hata hivyo inadhaniwa kuwa ni Nabi kukosa uvumilivu baada ya kufurumushwa Klabu Bigwa Afrika.
Yanga inawachezaji wenye majina makubwa lakini ni timu ambayo haijabalansi kabisa. Kuanzia kulia upande wa Juma Shabani,katikati 7 kwa mabeki 2 hadi kushoto kote kuna mangufu kibao. Eneo la katikati Yanga haina viungo wakabaji na wanacheza slow sana hali inayoifanya timu isitembee kwa kasi muda wa kushambulia na pia wanachelewa kufanya recovery timu ikiwa haina mpira. Simba wameteseka sana kwa Mkude na sasa Mgunda kapata dawa. Pale kati anakaa Putin na juu anakichafua Mzamiru.Mkuu kwani sisi ni technical bench au viongozi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu weupe wanajifanyaga wana vihasira vya ajabu ajabu,vya kuvunja vitu ndaniAwakupigana kabisa,Kaze alimuuliza jambo Nabi,Nabi kumbe alikua na hasira zake akamsukuma Kaze,Kaze nae hakukubali akataka kulipiza ndo watu wakawazuia wasiendelee kusukumana.
Nabi ni kocha wa hovyo anabebwa na ubora wa wachezaji ila mle kocha hamna.
Mlitaka Amchezeshe Bangala namba 6 akampangaNaendelea kusema... Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba uamuzi wa viungo wanne ( bangala, aucho, Feisal na Aziz) kwenye ile mechi ya Sudan ni wa kocha Nabi... Nitakuwa wa mwisho pia kuamini kwamba Nabi ndiye aliyeamua kisinda acheze ile game ya Sudan na kuacha wachezaji kama Moloko nje
Na Morrison,wa tano khaaaNaendelea kusema... Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba uamuzi wa viungo wanne ( bangala, aucho, Feisal na Aziz) kwenye ile mechi ya Sudan ni wa kocha Nabi... Nitakuwa wa mwisho pia kuamini kwamba Nabi ndiye aliyeamua kisinda acheze ile game ya Sudan na kuacha wachezaji kama Moloko nje
Huo ni uchochezi toka upande wa pili,wale mbona wanapendana sana?we ulisikia wapi?Taarifa zilizopokea kwenye vyanzo vyangu ni kwamba Makocha wa Yanga wametofautiana mpaka kufikia kiwango cha kupigana.
Taarifa hizi nilizipuuza lakini kadri muda unavyosogea zinazidi kutolewa katika mitandao ya kijamii.
Bado haijathibitika sababu hasa za kupigana, hata hivyo inadhaniwa kuwa ni Nabi kukosa uvumilivu baada ya kufurumushwa Klabu Bigwa Afrika.
Ili aanze kumchezesha Mayele kama beki halafu Bangala acheze mshambuliaji maana Mwinyi naye haeleweki
HehehehAndaeni timu yenu acheni kuhangaika na Yanga.
Mnatumia muda mwingi kujadili Yanga badala ya kujadili yanayowshusu halafu mje mseme tunanunua mechi kumbe mmewekeza kwenye majungu na umbea.
Una maana fujo isiyoumiza?Heheheh
Wakuacheni kwa kweli maana Yanga kukunjana na kukabidhiana nakoz ni utamaduni usio na madhara kwao[emoji2957][emoji1787][emoji1787]