Uchizi.
we acha maskhara,uchiz kiaje,ukiwa na ma stress usngiz kwako hadithi,usiombee ati!
Mi mwenyewe,tukutane tuwe tunastorisha
Leta story muda huu
Mwenzako anaumwa then unataka alete story si masihara hayo
Sent from Nokla using Jf app
Kumbe anaomba Dawa..?mambo vipi naona ule Uzi wetu ..uko kimya
Madeni
Hujachoka vya kutosha. Angalia ratiba yako ya kutwa nzima. Ongeza shughuli za kufanya mchana. Lakini kama unaweza fanya mazoezi ya viungo asubuhi na jioni. Uone utakavyolala kama mwana mfalme
Ni kama mwaka sasa nimekeua sipati usingizi kabisa kwa muda mwafaka ninao takiwa kupumzika iwe usiku au mchana matokeo yake usingizi kwangu imekua kama ni jambo la bahati mbaya coz naweza panda kitandani saa tatu usiku hadi inafka saa kumi bado sina usingizi hata kidogo jaman naombeni ushauri nini chaweza kua chanzo cha tatizo langu coz natamani nami niwe na muda wa kupumzka bt nashindwa na kubaki kuangaika tu kitandan