LEVEL
Senior Member
- Jul 4, 2013
- 195
- 51
Ni kama mwaka sasa nimekeua sipati usingizi kabisa kwa muda mwafaka ninao takiwa kupumzika iwe usiku au mchana matokeo yake usingizi kwangu imekua kama ni jambo la bahati mbaya sababu naweza panda kitandani saa tatu usiku hadi inafka saa kumi bado sina usingizi hata kidogo jamani naombeni ushauri nini chaweza kua chanzo cha tatizo langu coz natamani nami niwe na muda wa kupumzka bt nashindwa na kubaki kuangaika tu kitandani