Nini chanzo cha kutopata usingizi

Nini chanzo cha kutopata usingizi

LEVEL

Senior Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
195
Reaction score
51
Ni kama mwaka sasa nimekeua sipati usingizi kabisa kwa muda mwafaka ninao takiwa kupumzika iwe usiku au mchana matokeo yake usingizi kwangu imekua kama ni jambo la bahati mbaya sababu naweza panda kitandani saa tatu usiku hadi inafka saa kumi bado sina usingizi hata kidogo jamani naombeni ushauri nini chaweza kua chanzo cha tatizo langu coz natamani nami niwe na muda wa kupumzka bt nashindwa na kubaki kuangaika tu kitandani
 
Hujachoka vya kutosha. Angalia ratiba yako ya kutwa nzima. Ongeza shughuli za kufanya mchana. Lakini kama unaweza fanya mazoezi ya viungo asubuhi na jioni. Uone utakavyolala kama mwana mfalme
 
Hujachoka vya kutosha. Angalia ratiba yako ya kutwa nzima. Ongeza shughuli za kufanya mchana. Lakini kama unaweza fanya mazoezi ya viungo asubuhi na jioni. Uone utakavyolala kama mwana mfalme

Sometimes ukiwa serious unatoa vigongo vya ukweli King'ast




Sent from Nokla using Jf app
 
Last edited by a moderator:
Pata glass ya maziwa luke warm kabla ya kupanda kitandani halafu subiri ndoto. kumbuka usitumie dawa za usingizi za siptali
 
Ni kama mwaka sasa nimekeua sipati usingizi kabisa kwa muda mwafaka ninao takiwa kupumzika iwe usiku au mchana matokeo yake usingizi kwangu imekua kama ni jambo la bahati mbaya coz naweza panda kitandani saa tatu usiku hadi inafka saa kumi bado sina usingizi hata kidogo jaman naombeni ushauri nini chaweza kua chanzo cha tatizo langu coz natamani nami niwe na muda wa kupumzka bt nashindwa na kubaki kuangaika tu kitandan

Aione: Riwa
Aione: MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
1.Stress tena zile zinazogusa sekta nyeti za maisha(mahusiano,mambo ya fedha,afya kua hatarin etc)
2.Kushndwa kuzuia hofu ya jambo fulan.
 
Mkuu unasumbuliwa na stress na zinakutafuna vibaya bila kujitambua....hebu jiangalie kwenye nyanja hz kama upo sawa
1. Mapenzi
2. Kiuchumi
3. Familia
4. Kazini
5. Marafiki
Kama kuna kimoja kinakutatiza hapo na unakiwaza sana basi ni moja ya chanzo...
Na pia inaelekea mwili wako si wa kujishughulisha hauchoki sana mpaka ifikapo jioni...jaribu kufanya mazoezi hii itakusaidia
1. Mwili kuchoka hvyo kupatwa na usingizi
2. Akili kutowaza mambo mengi sana hvyo kukupunguzia stress....
Pia uwe na utaratibu wa kula vyakula vyepesi na maji ya kutosha.....
Chonde chonde usitumie vidonge vya usingizi maana vina madhara hapo baadae usije kuwa addicted.....
 
Back
Top Bottom