bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Miaka ya 90 na kuendelea ligi ya Italia ilikua ni kati ya Ligi bora duniani Vilabu kama Juventus,Inter Milan,Ac milan,As Roma,Parma,Fiorentina...nk vilikua ni kati ya Vilabu tishio duniani vikitoa upinzani mkali wa vilabu vikubwa duniani kama Manchenster united,R.madrid,B.Munchen,Arsenal...nk
Pia ikumbukwe wachezaji nyota wa duniani kama vile Zidane,David Tzeguet,Kaka,Gattuso,Pirlo wamepata kuchezea ligi ya italia enzi izo.
Kiwanja kama San sirro/Giussepe Meaza kilipata umaarufu sana, ila kipindi cha karibuni ligi ya italia imepoteza umaarufu wake uliokuwepo miaka iyo.
Nini Chanzo cha ligi hii kongwe duniani kupoteza mvuto wake??