Sababu ya huo ukata ni nini while miaka ya nyuma wao ndio walikuwa wana klabu zinazonunua wachezaji ghali na mishahara mikubwa .Juventus sasa hivi ndio klabu yenye hela sababu kubwa ni kujenga uwanja wao tofauti na timu kama Inter/AC Milan /ROMA ambazo hazina viwanja,Umeona Arsenal/Man City/Swansea/Cardiff/Leicester/Hull/Southampton wamejenga viwanja vipya miaka ya karibuni now WestHam & Spurs nao wanjenga viwanja vipya Waingereza wamefanya market kubwa sana (Asia,US) kuhakikisha ligi yao inajulikana dunia nzima
Mfano kampuni ya Kenya Sport Pesa ni mmoja ya wadhamini wa klabu ya Sunderland