Nini Chanzo cha ligi ya Italia maarufu Serie A kupoteza umaarufu

ulikuwa wapi siku zote kuanzisha thread hiyo unayotaka tuijadili kwanza?
kwa upeo wako huwezi kuongeza wala kupunguza chochote juu ya mienendo ya ligi kuu za ulaya na vilabu vyake, cha msingi jadili ligi za mbuzi na kuku.
 
We vilabu vyote havina hata masupastar watano na bwana Paulo Poguba kashawahama....nadhani hata wadhamini wanaodhamini washa Pogbika...
 
Ukosefu wa fedha umesababishwa na vitu kama upangaji matokeo ,viwanja vibovu ,kushindwa kuitangaza ligi na kuimarika kwa ligi za wapinzani wao
Uchumi wa Italy kwa ujumla umeyumba.Hivyo point kubwa hapo ni ukata.Manake hata hela kuwanunua wachezaji nguli na wa gharama kubwa duniani hawawezi,kwa nini? kwa sababu ya ukata.
La vilabu kutomiliki viwanja vyao nalo ni ukata
Advertisement nalo pia ni hela
 
Sababu ya huo ukata ni nini while miaka ya nyuma wao ndio walikuwa wana klabu zinazonunua wachezaji ghali na mishahara mikubwa .Juventus sasa hivi ndio klabu yenye hela sababu kubwa ni kujenga uwanja wao tofauti na timu kama Inter/AC Milan /ROMA ambazo hazina viwanja,Umeona Arsenal/Man City/Swansea/Cardiff/Leicester/Hull/Southampton wamejenga viwanja vipya miaka ya karibuni now WestHam & Spurs nao wanjenga viwanja vipya Waingereza wamefanya market kubwa sana (Asia,US) kuhakikisha ligi yao inajulikana dunia nzima
Mfano kampuni ya Kenya Sport Pesa ni mmoja ya wadhamini wa klabu ya Sunderland
 
kwa upeo wako huwezi kuongeza wala kupunguza chochote juu ya mienendo ya ligi kuu za ulaya na vilabu vyake, cha msingi jadili ligi za mbuzi na kuku.
hivi umekimbilia ku quote au?
 
unawaona hawa akina Sheikh Mansour, Abramovic na yule wa Man UTD?
kama Italy wangewapata watu kama hao basi wangekuwa mbali sana.
ni upepo tu
Naona wachina wameshawekeza pale inter ndo maana tunawaona wachezaji kama Mario..
 
kwa upeo wako huwezi kuongeza wala kupunguza chochote juu ya mienendo ya ligi kuu za ulaya na vilabu vyake, cha msingi jadili ligi za mbuzi na kuku.
Unataka tuongelea Ndondo cup kuhusu Faru jeusi hakuna shda itakuja thread kuhusu Mwaka Cup...stay tune ndugu
 
We vilabu vyote havina hata masupastar watano na bwana Paulo Poguba kashawahama....nadhani hata wadhamini wanaodhamini washa Pogbika...
Naona nw wachezaji wameanza kwenda,Mfano hart(mkopo),Perisic,Mario...nk
 
Sababu ya huo ukata ni nini while miaka ya nyuma wao ndio walikuwa wana klabu zinazonunua wachezaji ghali na mishahara mikubwa .Juventus sasa hivi ndio klabu yenye hela sababu kubwa ni kujenga uwanja wao tofauti na timu kama Inter/AC Milan /ROMA ambazo hazina viwanja,Umeona Arsenal/Man City/Swansea/Cardiff/Leicester/Hull/Southampton wamejenga viwanja vipya miaka ya karibuni now WestHam & Spurs nao wanjenga viwanja vipya Waingereza wamefanya market kubwa sana (Asia,US) kuhakikisha ligi yao inajulikana dunia nzima
Mfano kampuni ya Kenya Sport Pesa ni mmoja ya wadhamini wa klabu ya Sunderland
Mkuuu co sandalenrd n hull cty ndo wanaodhaminiwa na,sportpesa
 
Kwa kifupi sababu ni hizi

1.Upangaji matokeo
2.Ubaguzi wa rangi
3.Klabu kutokuwa na viwanja/viwanja vya kizamani

4.Ukosefu wa fedha
5.Kutokuwa na mikakati mizuri ya kuitangaza ligi kibiashara

6.Kuimarika kwa ligi nyingine (Spain, Germany, England)
Namba 4 ndo sababu kuu. Ila kingine wamiliki wa vilabu hivyo ni watu wasioenda na wakati bado wanaendesha soka kwa mifumo ya zamani, kama vile kutosajiri wachezaji wazuri kutoka nchi nyingine zaidi wanapokea rejects wa timu kubwa za spain na england ambao wanaenda huko kwa mkopo.
 
Kipindi cha mtikisiko wa uchumi italia klabu zilipoteana vibaya mpaka sasa bado hawajakaa sawa
 
Back
Top Bottom