Nini Chanzo cha ligi ya Italia maarufu Serie A kupoteza umaarufu

Nini Chanzo cha ligi ya Italia maarufu Serie A kupoteza umaarufu

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Miaka ya 90 na kuendelea ligi ya Italia ilikua ni kati ya Ligi bora duniani Vilabu kama Juventus,Inter Milan,Ac milan,As Roma,Parma,Fiorentina...nk vilikua ni kati ya Vilabu tishio duniani vikitoa upinzani mkali wa vilabu vikubwa duniani kama Manchenster united,R.madrid,B.Munchen,Arsenal...nk

Pia ikumbukwe wachezaji nyota wa duniani kama vile Zidane,David Tzeguet,Kaka,Gattuso,Pirlo wamepata kuchezea ligi ya italia enzi izo.
Kiwanja kama San sirro/Giussepe Meaza kilipata umaarufu sana, ila kipindi cha karibuni ligi ya italia imepoteza umaarufu wake uliokuwepo miaka iyo.

Nini Chanzo cha ligi hii kongwe duniani kupoteza mvuto wake??
 
Kwa kifupi sababu ni hizi

1.Upangaji matokeo
2.Ubaguzi wa rangi
3.Klabu kutokuwa na viwanja/viwanja vya kizamani

4.Ukosefu wa fedha
5.Kutokuwa na mikakati mizuri ya kuitangaza ligi kibiashara

6.Kuimarika kwa ligi nyingine (Spain, Germany, England)
 
Kabla ya kujadili hayo tunaomba utuambie kwanini majimaji na Mwadui fc hawajawahi kuchukua ubingwa ligi kuu Tanzania bara.

Mnajifanya kujadili masuala yaliyo nje ya upeo wa macho yenu na kuacha mnayoyaona... Pia ututajie kikosi cha msimu huu cha wagosi wa kaya.
ulikuwa wapi siku zote kuanzisha thread hiyo unayotaka tuijadili kwanza?
 
Kwa kifupi sababu ni hizi

1.Upangaji matokeo
2.Ubaguzi wa rangi
3.Klabu kutokuwa na viwanja/viwanja vya kizamani

4.Ukosefu wa fedha
5.Kutokuwa na mikakati mizuri ya kuitangaza ligi kibiashara

6.Kuimarika kwa ligi nyingine (Spain, Germany, England)
Strong point is "shortage of fund" and inappropriate advertisement (rai international).
 
Strong point is "shortage of fund" and inappropriate advertisement (rai international).
Ukosefu wa fedha umesababishwa na vitu kama upangaji matokeo ,viwanja vibovu ,kushindwa kuitangaza ligi na kuimarika kwa ligi za wapinzani wao
 
Arsenal sio Club kubwa ww! Timu ambayo JK tokea anaingia mpaka anatoka madarakani haijashinda kombe! Haina tofauti na simba hiyo
 
Leo nimefanikiwa Kuangalia game la Inter Milan vs Juventus matokeo Inter 2 Juve 1 Inter kaupga mwingi leo japo juve hakua Nyuma naye.

Kwa game ya leo wakiendelea ivi ile ligi ya Italia tuliyoizoea tutaanza kuiona..
 
unawaona hawa akina Sheikh Mansour, Abramovic na yule wa Man UTD?
kama Italy wangewapata watu kama hao basi wangekuwa mbali sana.
ni upepo tu
 
Ukosefu wa fedha uliotokana na wadhamini wengi kujitoa kudhamin ligi na timu mbalimbali baada ya issue ya upangaji matokeo.
 
unawaona hawa akina Sheikh Mansour, Abramovic na yule wa Man UTD?
kama Italy wangewapata watu kama hao basi wangekuwa mbali sana.
ni upepo tu

Lack of investment ni chanzo cha kuporomoka ligi ya Italy.
 
Back
Top Bottom