kwa upeo wako huwezi kuongeza wala kupunguza chochote juu ya mienendo ya ligi kuu za ulaya na vilabu vyake, cha msingi jadili ligi za mbuzi na kuku.ulikuwa wapi siku zote kuanzisha thread hiyo unayotaka tuijadili kwanza?
Uchumi wa Italy kwa ujumla umeyumba.Hivyo point kubwa hapo ni ukata.Manake hata hela kuwanunua wachezaji nguli na wa gharama kubwa duniani hawawezi,kwa nini? kwa sababu ya ukata.Ukosefu wa fedha umesababishwa na vitu kama upangaji matokeo ,viwanja vibovu ,kushindwa kuitangaza ligi na kuimarika kwa ligi za wapinzani wao
Sababu ya huo ukata ni nini while miaka ya nyuma wao ndio walikuwa wana klabu zinazonunua wachezaji ghali na mishahara mikubwa .Juventus sasa hivi ndio klabu yenye hela sababu kubwa ni kujenga uwanja wao tofauti na timu kama Inter/AC Milan /ROMA ambazo hazina viwanja,Umeona Arsenal/Man City/Swansea/Cardiff/Leicester/Hull/Southampton wamejenga viwanja vipya miaka ya karibuni now WestHam & Spurs nao wanjenga viwanja vipya Waingereza wamefanya market kubwa sana (Asia,US) kuhakikisha ligi yao inajulikana dunia nzimaUchumi wa Italy kwa ujumla umeyumba.Hivyo point kubwa hapo ni ukata.Manake hata hela kuwanunua wachezaji nguli na wa gharama kubwa duniani hawawezi,kwa nini? kwa sababu ya ukata.
La vilabu kutomiliki viwanja vyao nalo ni ukata
Advertisement nalo pia ni hela
hivi umekimbilia ku quote au?kwa upeo wako huwezi kuongeza wala kupunguza chochote juu ya mienendo ya ligi kuu za ulaya na vilabu vyake, cha msingi jadili ligi za mbuzi na kuku.
Unataka tuongelea Ndondo cup kuhusu Faru jeusi hakuna shda itakuja thread kuhusu Mwaka Cup...stay tune ndugukwa upeo wako huwezi kuongeza wala kupunguza chochote juu ya mienendo ya ligi kuu za ulaya na vilabu vyake, cha msingi jadili ligi za mbuzi na kuku.
Kama yapiUkosefu wa fedha uliotokana na wadhamini wengi kujitoa kudhamin ligi na timu mbalimbali baada ya issue ya upangaji matokeo.
Kama yapi
Mkuuu co sandalenrd n hull cty ndo wanaodhaminiwa na,sportpesaSababu ya huo ukata ni nini while miaka ya nyuma wao ndio walikuwa wana klabu zinazonunua wachezaji ghali na mishahara mikubwa .Juventus sasa hivi ndio klabu yenye hela sababu kubwa ni kujenga uwanja wao tofauti na timu kama Inter/AC Milan /ROMA ambazo hazina viwanja,Umeona Arsenal/Man City/Swansea/Cardiff/Leicester/Hull/Southampton wamejenga viwanja vipya miaka ya karibuni now WestHam & Spurs nao wanjenga viwanja vipya Waingereza wamefanya market kubwa sana (Asia,US) kuhakikisha ligi yao inajulikana dunia nzima
Mfano kampuni ya Kenya Sport Pesa ni mmoja ya wadhamini wa klabu ya Sunderland
Mkuuu co sandalenrd n hull cty ndo wanaodhaminiwa na,sportpesa
Namba 4 ndo sababu kuu. Ila kingine wamiliki wa vilabu hivyo ni watu wasioenda na wakati bado wanaendesha soka kwa mifumo ya zamani, kama vile kutosajiri wachezaji wazuri kutoka nchi nyingine zaidi wanapokea rejects wa timu kubwa za spain na england ambao wanaenda huko kwa mkopo.Kwa kifupi sababu ni hizi
1.Upangaji matokeo
2.Ubaguzi wa rangi
3.Klabu kutokuwa na viwanja/viwanja vya kizamani
4.Ukosefu wa fedha
5.Kutokuwa na mikakati mizuri ya kuitangaza ligi kibiashara
6.Kuimarika kwa ligi nyingine (Spain, Germany, England)