Ulaya ni mbwa Koko tu hakuna kitu muleUmoja wa mataifa na bunge la Ulaya watoe kauli isikike Duniani dhidi ya vitendo vya Malrekani kwa Venezuela.
Vinginevyo wakae kimya daima ili watu wa Dunia wanyooshane.
DahWasipoelewana itabidi Tanzania iingilie kati na kutuliza hali ya hewa.
Kwani Maduro ndiye anatakiwa kuwa Rais wa Venezuela tu hakuna mtu mwingine anaweza kuwa Rais uko Ni yeye tu?CIA wapo kazini yote ni mafuta, Venezuela ndio inchi ya kwanza yenye reserves kubwa ya mafuta, Iran nae ajiandae ni mwendo wa propaganda zisizo na ukweli, ili mradi achukue mafuta.
View: https://m.youtube.com/watch?v=Pgwny1BiCYk&t=71s&pp=ygUgU2t5IG5ld3MgdXMgd2FudHMgVmVuZXp1ZWxhIG9pbHM%3D
Yaani hawana aibu Trump anakwambia wamechukua mafuta yao now wanayataka yaani ubabe tu na kuchukua rasilimali za watu kinguvu naona wameona reserves waliyo ichukua Iraq,Libya inakaribia kuisha so wameigeukia Venezuela.
View: https://m.youtube.com/watch?v=XbZZfpdF6iY&pp=ygUgU2t5IG5ld3MgdXMgd2FudHMgVmVuZXp1ZWxhIG9pbHM%3D
UN hafanyi chochote ni sawa na jibwa lisilo na kucha wala meno,anachofanya US kwa Venezuela ni uhuni.
Sasa hilo ni swala la Wavenezuela wao ndio wanao amua. Hata hao Saudi wamekubali kuongozwa na Wafalme,China wamekubali kwenda na Xi so hata Wavenezuela wao ndio waamuzi sababu ndio taifa lao.Kwani Maduro ndiye anatakiwa kuwa Rais wa Venezuela tu hakuna mtu mwingine anaweza kuwa Rais uko Ni yeye tu?
Kwa hiyo Wavenezuela wote wameungua?Kwa marekani wanaweza pata hata dawa za kufubaza makali ya ukimwi je kwa maduro walipata nini
Note:Jibu kwa ufupi tu Nina allergy ya kusoma utumbo mrefu
Acha kutetea ujinga, mfano hapa samia hakuchaguliwa kwa kura halali, instead aliwekwa kinguvu na tume yake na polisi wake huku akilindwa na wanajeshi wake, halafu useme watanzania wenyewe ndiyo wameamua kuongozwa na samia? Una akili wewe? Maduro alianza kupingwa na wananchi wa Venezuela kabla hata marekani hajaingia kuwaunga mkono, sawa tu na hapa, leo akija hata mkenya tu awaahidi watanzania kusaidia kumwondoa samia najua atapata full support ya watanzania walio wengi, sasa jeshi la samia likiingia na kuanza kuwaua hao wengi wanaompinga ni ujinga kusema eti hao wananchi ndiyo wenye maamuzi ya nani awaongoze, maamuzi wanayo sawa, na walishaamua, ila maamuzi yao hayakuzingatiwa, kwa hiyo maamuzi yao hayana nguvu, hence wakahitaji nguvu kutoka nje, kama ambavyo Kura isingeweza kumwondoa maduro madarakani, ndivyo ilivyo ngumu kwa mtanzania kumwondoa samia madarakani kwa kutegemea kura.Kwa hiyo Wavenezuela wote wameungua?
Wanachopata wanajua Wavenezuela, nyie haviwahusu.
Tatizo lako bendera fuata upepo.Acha kutetea ujinga, mfano hapa samia hakuchaguliwa kwa kura halali, instead aliwekwa kinguvu na tume yake na polisi wake huku akilindwa na wanajeshi wake, halafu useme watanzania wenyewe ndiyo wameamua kuongozwa na samia? Una akili wewe? Maduro alianza kupingwa na wananchi wa Venezuela kabla hata marekani hajaingia kuwaunga mkono, sawa tu na hapa, leo akija hata mkenya tu awaahidi watanzania kusaidia kumwondoa samia najua atapata full support ya watanzania walio wengi, sasa jeshi la samia likiingia na kuanza kuwaua hao wengi wanaompinga ni ujinga kusema eti hao wananchi ndiyo wenye maamuzi ya nani awaongoze, maamuzi wanayo sawa, na walishaamua, ila maamuzi yao hayakuzingatiwa, kwa hiyo maamuzi yao hayana nguvu, hence wakahitaji nguvu kutoka nje, kama ambavyo Kura isingeweza kumwondoa maduro madarakani, ndivyo ilivyo ngumu kwa mtanzania kumwondoa samia madarakani kwa kutegemea kura.