Nini chanzo cha ongezeko la wanawake wanaotoboa pua na kuvaa vipini?

Wadigo wanasemaje kwani kuhusu jambo hili?
 
katika yote uliyotaja hapo hakuna tatizo hata moja, kwani akipigwa miti kosa liko wapi? kwani kabakwa? si ni kwa mapenzi yake.
halafu uhuni ni tabia ya mtu, na uhuni kwa mtu mmoja huenda ikawa si uhuni kwa mwengine,
kuna watu hadi leo mwanamke akivaa suruali wanaona uhuni, ila kwa wengine wanaona freshi tu,

kwa hiyo yoote uliyotaja yanaweza kuwa uhuni machoni mwako kwa wengine wakajionea kawaida tu
 
Urembo tu..Mimi mwenyewe Nina mpango wa kutoboa pua siku kadhaa zijazo.
 
Kutoboa kipini puani huhusishwa na kuwa ni mjuzi nguli wa mapenzi ,pwani walikuwa wanatobolewa wanawali ambao wamesha pigwa full dose ya kumlea mume kwa technic za kawaida na za medani,Japo zama hizi za kihuni huhusishwa na utoaji tigo na usagaji.
 
Hiyo research uliifanya kwa wanawake wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…