Nini chanzo cha ushoga (uhanithi)?

Hii tabia husababishwa na makundi iwapo ndugu,jamaa au rafiki yako ana hii tabia na wewe ukawanae karibu basi nirahisi kuku convince.

Makundi yasio na maana ndiyo chanzo cha tabia mbaya na mbovu.
 

habari za asubuhi,
 

Ni kukosa utu, kukosa ubinadamu, kushindwa kujiheshimu na kujitambua, kushindwa kumuogopa Mungu nk nk. Matendo haya wanayoyatenda binadamu sasa hivi hata wanyama wa porini wasio na hekima hawayafanyi!
 
Biblia inasema hivi..
"Kimuingiacho mto hakimtii najisi. Bali kimtokacho"

kwa iyo ni dhahiri kuwa biblia ndo inawafanya wakristo wawe mashoga. Na hata kuwe na padri shoga.
 
Biblia inasema hivi..
"Kimuingiacho mto hakimtii najisi. Bali kimtokacho"

kwa iyo ni dhahiri kuwa biblia ndo inawafanya wakristo wawe mashoga. Na hata kuwe na padri shoga.
Usijitie ujuaji wa dini ya kikristo kwa kuandi ujinga uliofundishwa na wajinga wenyewe,biblia hairuhusu ushoga na ndio mana hata sodoma na gomola ziliangamizwa,wapo mawakala wa shetani kama wewe na wengine wengi wakiongozwa na marekani chini ya mwamvuli wa devil woshipers ,the freemasons ndio wanafanya upotoshaji na kutaka watu wawe mashoga.Huo mstari ni kwa ajili ya chakula kama nguluwe nk ambapo zamani havikurusiwa kuliwa.
 

Waulize mashoga. Nenda magomeni kwa macheni. utapata jibu.
 

apana. Kwene biblia hawajasema nguruwe, au chakula.
Wamesema, chochote kimuingiacho mtu...

Maaskofu wenyewe washakubali. Tena wa ulaya ambako ndiko biblia mumeitoa. Bila uyo mzungu wala ucngeijua biblia. Kwa iyo anaijua bible mara alfu yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…