Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe uzoefu wako wewe ulianzaje kuwa shoga kwa maana umetudokeza tu kwamba huwa mnabana puaHaya haya haya hayaaaaa
hop mko vizuri sana aisee, sasa leo embu tupeane mawazo juu ya hili jambo...
Chanzo cha mwanaume kuwa shoga ninini.?
Dume zima na mindevu yake linamkatikia kiuno mwanaume mwenzie,huku linatoa mihemko ya mahaba na kubana pua oooohh baby.... Baby..
Ivi wewe mwanaume unawaonea geree sana jinsi mademu wanavyo katika mauno kunako 6kwa6 na kulialia.?
Ivi chanzo cha ushoga ni nini wana member.? Embu tudadavue vizuri hili jambo bna mana sielew elewi mnajua.?
Finito..
kuna mmoja nimesoma nae jitegemee A level,yani alikua akikuta umekaa lazima akuulize boyfriend wako ni nani?unatumia lotion gan, au mekap gan? alikua anapozi balaa,ucombe achelewe kuingia class,ataingia kwa madoido hadi mimi nilikua naona aibu, alafu mama yake ni doctor.hivi huu ugonjwa hautibiki? inauma sana aisee.
fro me i can say my experience mwenye kuchukia na achukie! hii kitu wengi huianza utotoni na waanaanzishwa na watu wazima na akili zao kama ilivyotokea kwangu. mimi nilifanyiwa nikiwa na umri wa miaka 9 kipindi hicho nilikuwa darasa la kwanza mtu alieanza kunipumulia alikuwa ana more than 25 yrs old, sasa sijui nini kilisababisha nikaja kuendelea maana yeye alinifanya zaidi ya mwaka there after nikaa mpka nilipofika darasa la 5. nikiwa darasa la 5 mwalimu wangu wa kiume aligundua kuwa mm ninafanya hiyo mambo nadhani ni kwasababu toka nilipofanyiwa nikiwa na miaka 9 nilianza kujitenga na kutokaa na watoto wenzangu wa kiume sasa nadhani yeye kwakuwa alikuwa basha mzoefu akagundua kuwa mimi nishakuwa pilau. akanitokea kwa vizawadi na kunipa ofa ya kunifundisha somo la hesabu na English nikakubali, kitendo cha mm kukubali ndo ikawa kwake rahisi kunirudisha katika hayo mambo after 4 yrs kwa kweli bila kuongopa by that time ndio alinitongoza ila mimi nilikuwa nina hamu sana maan fikiria mtu akupe kitu kwa muda wa mwaka mmoja kisha ukae miaka 4 unadhani ile hamu utakuwa hauna au utachukulia poa? sasa mwalimu huyo alikuwa akinipakuwa mara moja moja kwa siri mpaka nilipo hitimu la 7. haikuishia hapo to make long story short nielendelea kwa kuibaiba na wanaopenda hizo mambo mpaka mwaka 2007 nilipomaliza secondary sasa hapo nadhani niliweza ata kujua hiki ni nini. nilishajaribu mara kibao kuacha but inakuwa ngumu mpaka nishakata tamaa! mpaka nikaomba msahada kwa doctor mmoja akanishauri na kusema kama nimeshindwa kuacha basi niwe nafanya mara moja moja nikachukuwa ushauri wake saa nafanya mara moja moja ata ninapotaka ku m do girl wangu inabidi nipigwe na mtu huko then nikienda kwa girl wangu cha moto huwa anakipata maana nakuwa na kasi kuliko maelezo! so sijui wengine waanzaje but mi naona hii kitu kama kweli kuna moto kama vitabu vinavyosema itanipeleka motono. and nipo tayari kwa hilo sina jinsi. nilishajaribu adi kujiuwa nikalazwa mwananyamala hospital siku 4!
Pumbafuuuuuu plus_plus.......i.e double idiot.
Kwani ushoga ni lazima kupumuliwa tu? Mi kudhani wengine kupumulia wenye uhitaji huo ati!
Tupe uzoefu wako wewe ulianzaje kuwa shoga kwa maana umetudokeza tu kwamba huwa mnabana pua
sababu ni nyng baadhi zkiwa ni za kibaiolojia, tamaa, makundi, kulawitiwa, nyngne sjui niiwekeje ila mfano jamaa mmoja aliezoeshwa kuwekwa kidole na mpenziwe kila anapokuwa anabanjuka alpozoea zaid ikawa ndo burudani yake.
Ni kama unarudia swali langu ila kwa mtizamo tofauti. Swali lataka jibu.kwani unapo muita mwanaume shoga unamaanisha nin.?
Wengine ni umasikini + tamaa!
Wengine huingiwa na shetani (kibuki)!
Wengine hujaribu!
Wengine hubakwa!
Wengine ugumu wao wenyewe ndio huwapelekea hivyo!
Wewe umenichekesha. Shetani kibuki umemjulia wapi?
....
Zenj town!
Hawa vibuki wabaya sana!
If u ke, akikuingia wa kiume, utasaga wange.se na ke wenzio! Akikuingia wa kike utaliwa kama Kuku!
....
If u me, akikuingia wa kiume, utawagonda thaana!
Akikuingia wa kike unaliwa manamba -0718!
....
Kwani wewe umewajua wapi?
Halafu Rejea Kuwa Nchi Jirani Hapa Afrika Mashariki Imepitisha Sheria Kali Sana Za Kupinga Ushoga, Imepata Msukomsuko Wa Hata Kufikia Kutishiwa Au Kunyimwa Misaada Toka Uingereza. Tanzania Nayao Inapinga Ushoga Lakini Haijapata Msuko Suko Kama Wa Wenzetu Ila Sisi Misaada Inatiririka Kama Kawa Kama Dawa. Je Ndo Kusema Sisi Tunapinga Kwa Mdomo Tu Lakini Hatuna Sheria Kali Kama Za Wenzetu? Au Sheria Zipo Lakini Hatuzitekelezi? Au Hao Mashoga Hapa Kwetu Hawapo? Au Hao Waingereza Wanaiogopa Tanzania Kuikabili? Au Hao Waingereza Wanaipendelea Tanzania? Hebu Mjadili Mkigusia Na Huko Sababu Za Tanzania Kutokuguswa Ilihali Nayo Ni Mpinga Ushoga Kama Hao Majirani Zetu Ambao Wao Wametiwa Jambajamba!!?
ulimwengu wa sasa ukiuliza swali anayejua anacheka....... Kad go. .... inakera kujua majibu na watu hawaulizi kitu ...mwana FAKweli mwanamme mwenye goroli zako mbili na jembe lako la kulima unaweza kwenda mbele ya wanaume wenzio ukawaambia,"jamani tuujadili ushoga??? Mkuu napata wasiwasi,vipi umeonjeshwa au unataka kujaribishwa?? Acha kuwaza ushetani wewe!!! Waza vigori na style ya kuwanasa na kuwagegeda.