Nini chanzo cha ushoga (uhanithi)?

Nini chanzo cha ushoga (uhanithi)?

Namnukuu Papa anavyojitahidi kuwakalipia makasisi jinsi wanavyoendesha vitendo vya ulawiti makanisani.
Ushoga chanzo chake ni makanisani.
Ushahidi upo wazi mapadre mashoga yamejaa tele makanisani.
Sasa kama kiongozi wa dini analiwa kibogo wafuasi watafanyaje zaidi na wao kulana viboga.
 
Halafu Rejea Kuwa Nchi Jirani Hapa Afrika Mashariki Imepitisha Sheria Kali Sana Za Kupinga Ushoga, Imepata Msukomsuko Wa Hata Kufikia Kutishiwa Au Kunyimwa Misaada Toka Uingereza. Tanzania Nayao Inapinga Ushoga Lakini Haijapata Msuko Suko Kama Wa Wenzetu Ila Sisi Misaada Inatiririka Kama Kawa Kama Dawa. Je Ndo Kusema Sisi Tunapinga Kwa Mdomo Tu Lakini Hatuna Sheria Kali Kama Za Wenzetu? Au Sheria Zipo Lakini Hatuzitekelezi? Au Hao Mashoga Hapa Kwetu Hawapo? Au Hao Waingereza Wanaiogopa Tanzania Kuikabili? Au Hao Waingereza Wanaipendelea Tanzania? Hebu Mjadili Mkigusia Na Huko Sababu Za Tanzania Kutokuguswa Ilihali Nayo Ni Mpinga Ushoga Kama Hao Majirani Zetu Ambao Wao Wametiwa Jambajamba!!?

Ushawahi kumsikia Rais wetu akipinga kwa uwazi na ujasiri juu hilo suala mbele ya kamera za BBC au CNN?? Kupinga ushoga ni kupitisha sheria iliyo wazi kabisa kama Uganda kitu ambacho Tanzania haiwezi kufanya. Na ndio maana huwezi kuta wale mashoga waliowazi kabisa hawakamatwi na kushtakiwa hapa Tz.
 
Hv Tatizo La Ushoga Nini Chanzo? Je Ni Ugonjwa Ambapo Homon Za Kike Huwa Nyingi Kuliko Za Kiume? Kama Ni Hvy Ugonjwa Huo Upo Mijini Tu Vijijini Mbona Hawapo? Je Ni Tamaa Za Kupata Mali? Je Mbona Wengine Wanaoshiriki Vitendo Hvy Wanapesa Zao Mfano Sir.Elton? Na Kama Ni Tamaa Inamaana Vijijini Hawana Tamaa? Je Ni Globalization? Je Mbona Baadhi Ya Vijiji Vimekuwa Vikapata Habari Za Mataifa Mbali Mbali?? Mbona Hakuna Ushoga Huko? Jamani Ushoga Nini Chanzo???? Hebu Fungukeni Wadau Hapa Tuelimishane!!

chanzo ni ROMAN CATHOLIC
 
Namnukuu Papa anavyojitahidi kuwakalipia makasisi jinsi wanavyoendesha vitendo vya ulawiti makanisani.
Ushoga chanzo chake ni makanisani.
Ushahidi upo wazi mapadre mashoga yamejaa tele makanisani.
Sasa kama kiongozi wa dini analiwa kibogo wafuasi watafanyaje zaidi na wao kulana viboga.

Mkuu sijui km una uhakika na research yako, hili jambo liko wazi tu mbona kwa hapa kwetu wanaoendekeza mambo Haya ni wenyeji Wa mikoa ya pwani na sijui kuwa ina uhusiano na dini au la. Maana wenyeji pwani ni waimani Fulani sasa nisihusiche na dini ntakuwa siwatendei haki waumini wanaofuata kilichoagizwa na Mungu wao.
Ninao wengi niwafahamuo wakijihusisha na vitendo hivyo hapa nchini wala si mapadre bali RAIA Wa kawaida kabisa.
Mwaka 1996 nilikuwa sehemu Fulani mkoani Ruvuma na kulikuwa na kijana aliependa sana kucheza na mabinti, baadae akawa anaishi na mwarabu akimsaidia kazi , mwarabu akarudi Oman, kijana akaenda kuishi na MTU mwingine tu mbongo,lkn akawa ana tabia za kike sana na muda mwingi anaspend na waarabu na wapemba. ikaja kugundulika kuwa anajihusisha na usodoma. ilibidi wazee wamwite wamwonye lkn hakuacha, ikabidi afukuzwe tena alisemwa sana wakati ule radio one na marehem Adam mwaibabile.
alipofukuzwa. alikimbilia Zanzibar na ndiko anakoendeleza usodoma wake.
 
Ni tabia ya kishetani na kukosa hofu ya Mungu. Chanzo chake ni dhambi.
kwa hapa bongo ilishadadiwa sana maeneo ya pwani ikizingAtiwa concept ya kuhofia kupoteza ubikra Ilikuwa kubwa hivyo kuendekeza ushoga.
Ulaya publicity ni kubwa na kuna usiri mkubwa kwa nchi za kiarabu kiasi cha kuonyesha kuwa matendo hayo hufanyika na wazungu zaidi.
Watu Wa pwani wengi wakitaka kujifungua hawapendi kwenda hospital ambazo mambo yao yatadhihirika. Ukweli ni kwamba hujihusisha na usodoma.
 
Chanzo ni Hiki hapa kwenye hii dini

Bukhari LXII:25

Hapa naruhusiwa kumchokonoa mvulana ma.takoni lakini usioe mama yake.
"As for whom(ever) plays with a boy: if he caused him to enter him, then he shall not marry his mother."

Koran 52.24
And there shall wait on them [the Muslim men] young boys of their own, as fair as virgin pearls."

Koran 76.19
They shall be attended by boys graced with eternal youth, who will seem like scattered pearls to the beholders."
 
Namnukuu Papa anavyojitahidi kuwakalipia makasisi jinsi wanavyoendesha vitendo vya ulawiti makanisani.
Ushoga chanzo chake ni makanisani.
Ushahidi upo wazi mapadre mashoga yamejaa tele makanisani.
Sasa kama kiongozi wa dini analiwa kibogo wafuasi watafanyaje zaidi na wao kulana viboga.

Bukhari LXII:25
"As for whom(ever) plays with a boy: if he caused him to enter him, then he shall not marry his mother."

Koran 52.24
And there shall wait on them [the Muslim men] young boys of their own, as fair as virgin pearls."

Koran 76.19
They shall be attended by boys graced with eternal youth, who will seem like scattered pearls to the beholders."
 
Namnukuu Papa anavyojitahidi kuwakalipia makasisi jinsi wanavyoendesha vitendo vya ulawiti makanisani.
Ushoga chanzo chake ni makanisani.
Ushahidi upo wazi mapadre mashoga yamejaa tele makanisani.
Sasa kama kiongozi wa dini analiwa kibogo wafuasi watafanyaje zaidi na wao kulana viboga.

chanzo ni ROMAN CATHOLIC

Majibu mepesi sana kwa watu kama nyinyi ,hapa mada mmeshaichafua utaanza ubishi wa kidini.
 
Ni tabia ya kishetani na kukosa hofu ya Mungu. Chanzo chake ni dhambi.
kwa hapa bongo ilishadadiwa sana maeneo ya pwani ikizingAtiwa concept ya kuhofia kupoteza ubikra Ilikuwa kubwa hivyo kuendekeza ushoga.
Ulaya publicity ni kubwa na kuna usiri mkubwa kwa nchi za kiarabu kiasi cha kuonyesha kuwa matendo hayo hufanyika na wazungu zaidi.
Watu Wa pwani wengi wakitaka kujifungua hawapendi kwenda hospital ambazo mambo yao yatadhihirika. Ukweli ni kwamba hujihusisha na usodoma.

Labda hujaelewa topic bro kinachozungumzwa hapo ni ushoga(mwanaume kugeuzwa na wanaume wenzake) na si mwanamke kuliwa 0713.
 
mi sio bro!! by the way nimemquote yule aliesema chanzo cha ushoga ni RC.
Maelezo yamehusianisha mlingano wake Wa kanisa na ushoga akimaanisha ni kanisa ndilo lililosababisha ilhali ukweli si hivyo.
Hilo la kanisa tumelifahamu kupitia media..lkn ushoga kwa nchini kwetu nimeushuhudia kwa Mara ya kwanza nilipoenda pwani ingawa ilikuwa siri sana, ila umefanyika kitambo sana.
ukimhoji padre aliefanya hivyo atakupa jibu.
Chanzo cha ushoga bila kujali dini wala taifa ni dhambi tu iliyopelekea kukosa hofu ya Mungu.
 
Nimefanya utafiti kuhusu ushoga hivi karibuni kwa kizungumza na baadhi ya mashoga, madaktari, wasakolojia na wanasheria. Nimegundua kuwa kuna aina mbili ya hili tatizo; 1) over 95% wameiga tabia za ushoga kwa kifundishwa au life style na 2) 5% wamezaliwa wakiwa hivyo. Hata hivyo tatizo hilo linatibika kama mwathirika akiamua.
 
Mimi nasema 5% wameiga. 95% wamenajisiwa tangu watoto.
 
Ukimkuta mtu kaanza ushoga ukubwani basi jua ni Tamaa na njia ya kumsaidia ni kumjenga kisaikolojia kuacha Tamaa na kufanya kazi kwa juhudi. Ukikuta kaanzia utotoni huyo basi ni Vishawishi au pengine kaanza kwa kunajisiwa kinguvu.

Vijana wengi wapenda Pombe za kupitiliza wamejikuta wakitatuliwa bila ya kujijua then wanaanza kuhisi ni jambo la kwaida then ndo wanaangamia. Hii ni Research toka vyanzo vya kuaminika kwenye Kazi niliyoisimamia kwenye Masuala ya Afya na Mahusiano ya Kingono ya Jinsia moja.
 
Mimi nasema 5% wameiga. 95% wamenajisiwa tangu watoto.

Wewe hujanielewa. Hao unaosema wamenajisiwa tangu utotoni ndiyo waliofundishwa hiyo tabia. Hawakuzaliwa na hormon za kike. Nimesema 5% ndio wamezaliwa na hormon za kike.
 
Ooyoo hii topic naona haina pua wala miguu ni uzuzu tu na haya mambo siyo mageni na yapo toka awamu ya kwanza isipokuwa yalikuwa kwa siri sana na kwa sasa ndo open na ndo fishin na kidigtol na la mwisho jitahidi na picha zao na biashara huria na kila mtu ana uchumi wake musiwalaumu ndo demokrasia hiyo auu tutakuwa hatupati misaaada
 
Mchezo wa kukoroga mavi;umeanzishwa na Shetani na malaika zake(majini) kwa kuanzia ndotoni na mwisho waziwazi{YUDA 1:6-8
 
Namnukuu Papa anavyojitahidi kuwakalipia makasisi jinsi wanavyoendesha vitendo vya ulawiti makanisani.
Ushoga chanzo chake ni makanisani.
Ushahidi upo wazi mapadre mashoga yamejaa tele makanisani.
Sasa kama kiongozi wa dini analiwa kibogo wafuasi watafanyaje zaidi na wao kulana viboga.

Elimu ndogo..huwezi elewa swali.. ametoa mfano vijijini na mjini,masikini na tajili.. lakini wewe bogus husiye na elimu.. umesema kanisa.. ya wajinga ni wengi sana tanganyika..bogus
 
Hii ni kazi ya lucifer.
Hizi ni roho zimeachiliwa kuharibu hiki kizaz
 
Back
Top Bottom