Nini chanzo cha ushoga (uhanithi)?

Nini chanzo cha ushoga (uhanithi)?

Majibu mepesi sana kwa watu kama nyinyi ,hapa mada mmeshaichafua utaanza ubishi wa kidini.

Kuna aina tatu tu za kujibu maswali.
1.SWALI KWA SWALI
2.SWALI KWA MKATO
3.SWALI KWA MAELEZO

NIMEJIBU KWA MKATO TU.
 
Elimu ndogo..huwezi elewa swali.. ametoa mfano vijijini na mjini,masikini na tajili.. lakini wewe bogus husiye na elimu.. umesema kanisa.. ya wajinga ni wengi sana tanganyika..bogus

Wewe ndiye ambaye hujalielewa swali,rejea swali la msingi la mtoa mada!yeye anataka kujua 'chanzo' au 'source' ya ushoga.
suala la kutokuwepo kwa mashoga vijijini sio kweli,hao watu wapo sana ila wanakimbilia mijini baada ya kugundulika na jamii au kutafuta masoko kwani vijijini watu wachache sana,hakuna maeneo ya starehe kwa kifupi utandawazi haujachukua nafasi ya kutosha vijijini.
Na wengi tunaona wanatokea mikoani ndo wanakuja dar rejea:yule aliyepata kichapo kule jangwani alisema ametokea mwanza,na yule aliyeokoka juzi kati nae ametokea mkoani ila nimesahau jina la mkoa
 
Hv Tatizo La Ushoga Nini Chanzo? Je Ni Ugonjwa Ambapo Homon Za Kike Huwa Nyingi Kuliko Za Kiume? Kama Ni Hvy Ugonjwa Huo Upo Mijini Tu Vijijini Mbona Hawapo? Je Ni Tamaa Za Kupata Mali? Je Mbona Wengine Wanaoshiriki Vitendo Hvy Wanapesa Zao Mfano Sir.Elton? Na Kama Ni Tamaa Inamaana Vijijini Hawana Tamaa? Je Ni Globalization? Je Mbona Baadhi Ya Vijiji Vimekuwa Vikapata Habari Za Mataifa Mbali Mbali?? Mbona Hakuna Ushoga Huko? Jamani Ushoga Nini Chanzo???? Hebu Fungukeni Wadau Hapa Tuelimishane!!

chanzo chake Ni pepo wachafu wanampagaa mtu haijalishi hata kama wameanzia tangia kutungwa mimba kwake
 
Hapo kikubwa mkuu ni watu kujifanya wajuaji sana hatimaye wanakosa hofu ya MUNGU ndio wanaanza usodoma
 
ushoga chanzo chake ni kutaka kujaribu utamu wa nyuma unakuaje
na kingine kuingiliwa bila ufahamu au na ufahamu maeneo ya bar au shuleni haswa bording


ushoga ukikuingia yaani ukiingiliwa kuacha ni process kwani uume ukikojolea shahawa ndani utumbo huanza kuwasha na kutaka kukunwa na hatma yake una kua addict

source mashoga wenyewe niliwawafanyia utafiti
 
Dully Jr, una uhakika? Spanish Cp, thibitisha kauli yako! Hili jambo ni hulka ya mtu, kuna wanaofanyiwa kwa nguvu hasa watoto mwishowe hujenga mazoea, je idadi kubwa ya mabasha wako kwenye kundi gani?
 
Limekuwa jambo la kawaida kwa wanachuo (hasa vyuo vilivyo kwenye miji mikubwa Dar, Mwanza, Arusha n.k.) kuchangia/kubebana kwenye kitanda kimoja

Jambo hili limefanya wanavyuo hao kutiana joto/ashki na mwishowe kuanza kufili.mbana na kuwa wapenzi bila kificho.

Wanachuo Wanaoongoza katika hili ni wa vyuo vifuatavyo 1. IFM 2. CBE 3.Ustawi wa Jamii 4. UDSM 5. DIT 6.ARU 7. HKMU.
 
Hizi shule za kata ni shida.

Maana hakuna shule za bweni za kata cku hizi lakini hata nyumbani kwenu mnabebana je huwa unapata ashki/joto?

Kwa tuliosoma bweni kubebana kitu cha kawaida tangu unaanza form 1.

Ushoga ni tabia tu kama ilivyo kwa wezi
 
Ushoga/ Usagaji havitokani na wanavyuo kubebana, tafiti yako hajakamilika kunishawishi kama hii ndo chanzo cha ushoga vyuoni.

Usitumie fikra nyepesi, mawazo yanayokosa muelekeo kutuaminisha unachoamini.

Japo unaweza ukawa sahihi.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hivi nyumbani kwenye familia ya watoto 5 kila mtu anakuwa na kitanda chake?

We kama ni mdhambi utabaka/kuwalawiti hata ndugu zako!
 
Kwahiyo solution ni kuweka kila chumba watu wawili me na ke au kila chumba mtu mmoja mmoja?
Acha kukurupuka na tafiti zako,kwenu ulizaliwa pekee yako?
 
Hayo ni mawazo yako lakini hayana chembe chembe zozote za ukweli.Watanzania hata majumbani tunabebana!
 
Wanasaikolojia husema mazingira huenda ikajenga tabia, tusimpinge mleta mada bila kuja na hoja ya maana kuna ukweli Fulani kwenye hili. wewe kijana epuka kulala na jinsia yako kitanda kimoja.

Tena ukizingatia siku hizi vijana wengi wanaingia vyuo vikikuu wakiwa wabichi kabisa , hata ile akilI ya kupambanua mambo ni ndogo sana. Akidanganywa na zawadi ya SIMU na outing kadhaa basi.
 
Sioni mantiki ya vijana kuhemeana na wakati sehemu nyingi kuna vyumba vya kulipia na bei nafuu.

Si kwa Mwanza, Arusha wala Dar es Salaam, hao vijana wengi bila shaka wamesoma Seminari au Makongo.
 
Back
Top Bottom