Nini chanzo cha watoto kupenda katuni, games na vyakula visivyo na afya

Nini chanzo cha watoto kupenda katuni, games na vyakula visivyo na afya

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
9,514
Reaction score
23,523
WATOTO WA KISASA
Watoto wa siku hizi hata bila kuelekezwa na mtu

Wanakuwa na uchumi mkubwa wa kuangalia katuni

Akipata simu hata kiswaswadu ukimuacha sekunde kadhaa utamkuta kalifukunyua game na anacheza.

Kwenye vyakula wengi wanaopenda vyakula fekifeki, lakini vile vya afya hawapendi. Ice cream, Chama, bisi, ubuyu feki, Bomba, na makorokoro MENGI fekifeki kwenye vifungashio vinavyometameta.


WATOTO WA ZAMANI
Walikuwa ni marchitect wakitengeneza nyuma, magari, watu wa ugongo etc.

Kwenye kula tulikuwa tunadeal na mapera, maembe, sungwi, matunda damu, mastaferi, na vitu vizuri vya afyaafya. Nakumbuka bibi mmoja ambaye alikuwa akilala hata ilibidi tunamvizia ili tuchume maembe ya kula na matunda mbalimbali
Hii nayo ikitokea automatic bila muongozo wa mtu yeyote.


Ni nini chanzo cha haya.

Ni hayo tu
 
Even I have noticed that children these days are more attracted to cartoons, games on phones, and food from stores than to natural things. When I was little, the big days were playing outside, making cars with wire and eating street fruits. But now, even when my little ones get a little time on their phones or TV, they only have games and cartoons in their heads, and they are often not interested in natural foods compared to chips or cookies.

For my part, I think this has been brought about by technology and the advent of the internet which has made many things easier for children to access. Children like fun and fast things, so games and cartoons get more space than before. For example, when I see my uncle's children prefer games like iSabong online, it really shows how things have changed in terms of entertainment.
 
Maisha tunayoishi tumeyachukua kwa wazazi wetu,

Mimi binafsi miaka 15 iliyopita nilikuwa kijijini huko sasa katuni nazionea wapi ? Vyakula vya hovyo nivile wapi? At least simu walikuwa na semensi na techno yenye mwanga wa njano,

Yaani nyumbn issue za kukataa msosi uzilete wapi kwa nani sio kwa mama ngu ! Utalala njaa

Yaan wazazi ndo chanzo Cha watoto kuwa wakomavu au kulegea kwenye malezi juu,

Mtoto mwingine Hali ety kama hamna soda, mara anajiskia kula pizza sjui hajawashiwa katuni ungese mwingi mwingi wa hovyo!!

Napo utasikia jamani junior, Hali bila soda keshazoea qmaniner
 
Nyakati mkuu.

Kama enzi zunu vingekuwepo hivi vya sasa bila shaka mnevikimbilia.
Pia ukata, hali ya kimaisha ya zamani na sasa ni tofauti, maduka yapo kila uchochoro.

Hiyo miti ya matunda ni ya kuhesqbu, mijini ndio haipo kabisa labda vijijini ambako nako maduka ni mengi.

Ubize wa watoto hadi kukosa muda wa kuorganize na kwenda huko porini, mpaka weekend watoto wapo shule.

So ni nyakati mkuu, mambo hubadilika na kwa kuongeza ni kua watoto wanapenda vitu vya rangirangi vyenye kuvutia.
 
Back
Top Bottom