WATOTO WA KISASA
Watoto wa siku hizi hata bila kuelekezwa na mtu
Wanakuwa na uchumi mkubwa wa kuangalia katuni
Akipata simu hata kiswaswadu ukimuacha sekunde kadhaa utamkuta kalifukunyua game na anacheza.
Kwenye vyakula wengi wanaopenda vyakula fekifeki, lakini vile vya afya hawapendi. Ice cream, Chama, bisi, ubuyu feki, Bomba, na makorokoro MENGI fekifeki kwenye vifungashio vinavyometameta.
WATOTO WA ZAMANI
Walikuwa ni marchitect wakitengeneza nyuma, magari, watu wa ugongo etc.
Kwenye kula tulikuwa tunadeal na mapera, maembe, sungwi, matunda damu, mastaferi, na vitu vizuri vya afyaafya. Nakumbuka bibi mmoja ambaye alikuwa akilala hata ilibidi tunamvizia ili tuchume maembe ya kula na matunda mbalimbali
Hii nayo ikitokea automatic bila muongozo wa mtu yeyote.
Ni nini chanzo cha haya.
Ni hayo tu