Nathan Jr
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 1,437
- 1,883
Asee asee Nina changamoto moja,
Mimi nimeoa mwanamke, kabila ni muhaya,
Mwanzoni kumpata alinisumbua sana nikasema basi, nimemfuatilia kwa miezi kadhaa,.lakin baada ya kumpata ni kama nimejitia kufuri
Ana matatizo yafuatayo
1.wivu uliopitiliza, simu hata nikipigiwa ya kazi anataka ajue ni nani,
Nikikaa sofa tofaut na yeye nikaanza kuchat , ameshasogea,
Bahati mbaya Nina boss wangu ni mdada mdogo mdogo,.kila ikipangwa tripu ya kazi ye ndo anani supervise, basi hapo matatizo matupu,
Anataka ajue mpaka kazini marafiki zangu wa kike ni akina nani,
Jana kaingia kwenye simu yangu, kwenye DP moja ya whatsapp number kaona mtoto mkali sana ni muhasibu wetu,
Akaanza kujisemesha eti, unaona mbaba huyu kaweka mke wake mzuri.kwa whatsapp yake, nikakaa kinya, akachukua namba kaichek jina kwa njia ya M-PESA, kakuta ni msichana, sasa kasema naomba kufika asubuhi nusiikute namba hii humu kwenye simu yako, ni hatari aisee
Tatizo la pili ananuna sana yaan anaweza akanuna kwa kosa dogo mpaka nikaogopa akauchuna siku tatu, lakin majukum mengine anatimiza anapika anapakua anafua , ila haniongeleshi,
Wataalamu wa kisaikolojia naomba ushauri nifanyeje apunguze mambo hayo,??