Nini dawa ya mke mwenye wivu uliopitiliza na kununa nuna?

Nini dawa ya mke mwenye wivu uliopitiliza na kununa nuna?

hahaha just hahaha!!
SIKUCHEKI ILA NAFURAHI PEKE YANGU.
ukifanikiwa kupata ushauri mzuri na ukawa tayari kuutumia tena kwakujiamini basi ujiandae kuachana nae.

kwa uzoefu wangu, Huyo anakuigizia akulete kwenye 18 zake mwisho wa siku uwe msukule wake yaani anataka kupindua ndoa wewe uwe mke yeye awe mume.

anzia hapa hapa kua ndio kushtuka kwako na kataa kuwa mtegemea HISIA ZAKE yaani akicheka nawewe ucheke akinuna basi na wewe ukose furaha.
kama ana simu bila shaka mara nyingi utakuta DP zake ni vijipicha vya vilivyoandikwa maneno maneno ya uswahili.

ukiweza mpuuze yaani hata ikieleekea kuwa ugomvi, gombana pale anapopelekea kukuvunjia heshima kwa watu wako muhim hasa kikazi.

pia yarudierudie yale yote yanayomkera ilhali wewe uko sahihi, kama unawasiliana issue za kazi na madem endelea tena ukiweza watafute watakaoweza kuekti ili wawe wanakupigia simu daily na akiwatukana wao wasipaniki mwisho wa siku atajiona yeye ni boya flani hivi wa mtukula!

tumia email kwenye mawasiliano yako ya maandishi mara nyingi madem wa hivyo huwa washamba wao wanaamini mapenzi ni kwenye social network na sms tuu.

pendelea kupiga picha na madem wakali wakali na wenye hadhi,
ila kubwa kuliko akinuna na wewe nuna, na akimaliza kununa wewe endelea kununa huku huduma za mezani na nyinginezo ukiendelea nazo kama kawaida yaani hata kama ni kuchapana jikeshe kidogo tuu ukimaliza endelea kununa maana najua atanuna tena ila wewe kaza, hapo asipokuomba poo! basi anajiandaa kufungasha maana ataanza kuleta mgomo wa penzi usimuombe wala kumbembeleza yakikuzidi piga hata nyeto bila yeye kujua, asipoomba poo jiandae kumuaga tuu!

"neno tuu sio sheria"
Nimependa method yako. Simply ni ku apply reverse behaviour, yaan asipo kuongelesha na ww usiongee.. kuwa busy na mambo yako.

Hii itamchanganya yeye mwenyewe.. ataamza kuja chini.
 
Kwani mkuu ndoa yako ina muda gani? Ok. Hizi ndio tabia za wanawake mkuu kwahyo chukulia simple na usi umize kichwa chako.
Mpe mahitaji yake na akupe mahitaji yako mambo yaendelee na usikubali akujue nje ndani.
Nakutakia kila lenye heri katika ndoa yako.
 
kemea iyo tabia pamoja na kuwa ipo kwa wanawake kwa 99%, walio fanikiwa kukemea walifanikiwa si vinginevyo.
 
Hahaha pole sana, nilipata changamoto kama yako maji yalinifika shingoni nikaileta jf kwa kweli nilisaidika sana ila njia nzuri kabisa ni hiyo akinuna na wewe nuna yaan ukishamuongelesha hajakujibu piga kimya kua busy na mambo yako, mpigie mtu simu cheka sana kwa sauti au chat hlf unacheka sana, pia kama mpo home mvizie katoka nje kaza kwa nguvu mfuniko wa chupa ya chai au jiko la gesi basi akiwa anahangaika kufungua mwenyewe atakuletea umsaidie na ww msaidie bila kuweka kinyongo.

Wivu ni upendo japo ukizidi unakua kero kwa wote wawili ila ndio hivyo hakuna namna.
 
cha kukushauri usiwe una mdekeza sana na usionge kwa ku mnyenyekea sana maana wengi wengi wao huwa wana mtindoo wa ku akti au unakuwa ni utoto mwingi sana. mm kuna jamaa yangu mmoja hapa manzi wake alikuwa anakera sana anaweza akachukua simu ya jamaa aka mtext ex wa jamaa kisha manzi akijibu maana huwa anajua anachati na jamaa kumbe manzi ndo kachukua simu sasa akijibiwa kimapenzi anaanza kulia kuwa jamaa ana m cheat hiyo tabia iliendelea sana hadi demu alipo kuja kuzaa akili ndo ikatulia kiasi maana alikuwa tu much na manzi mwenye ndo kwanza ana miaka kama 20 SASA SIJUI WA KWAKO ANA MIAKA MINGAPI
 
Wakati mwingine hujifanya wana wivu na kununa ili kuficha mambo maovu wayafanyayo yasigundulike.

Hata kama ni mkeo, jaribu kuikagua simu yake utaona tu.
Ukiogopa kuikagua utasaidiwa kukaguliwa.

Au i track kwa miezi 2 tu. Ukikosa lolote baya kwake, basi itakuwa anakufanyia wivu na kununa kwa upendo wa dhati.

Ishi naye kwa akili.
 
25
 
Asee asee Nina changamoto moja,
Mimi nimeoa mwanamke, kabila ni muhaya,

Mwanzoni kumpata alinisumbua sana nikasema basi, nimemfuatilia kwa miezi kadhaa,.lakin baada ya kumpata ni kama nimejitia kufuri

Ana matatizo yafuatayo
1.wivu uliopitiliza, simu hata nikipigiwa ya kazi anataka ajue ni nani,
Nikikaa sofa tofaut na yeye nikaanza kuchat , ameshasogea,
Bahati mbaya Nina boss wangu ni mdada mdogo mdogo,.kila ikipangwa tripu ya kazi ye ndo anani supervise, basi hapo matatizo matupu,
Anataka ajue mpaka kazini marafiki zangu wa kike ni akina nani,

Jana kaingia kwenye simu yangu, kwenye DP moja ya whatsapp number kaona mtoto mkali sana ni muhasibu wetu,
Akaanza kujisemesha eti, unaona mbaba huyu kaweka mke wake mzuri.kwa whatsapp yake, nikakaa kinya, akachukua namba kaichek jina kwa njia ya M-PESA, kakuta ni msichana, sasa kasema naomba kufika asubuhi nusiikute namba hii humu kwenye simu yako, ni hatari aisee

Tatizo la pili ananuna sana yaan anaweza akanuna kwa kosa dogo mpaka nikaogopa akauchuna siku tatu, lakin majukum mengine anatimiza anapika anapakua anafua , ila haniongeleshi,

Wataalamu wa kisaikolojia naomba ushauri nifanyeje apunguze mambo hayo,??
Una mke mzuri sana
Ukitaka kukaa naye
Vzr uwe comedian

Utainjoi nje ya hapo kaburi liko wazi
 
Wakati mwingine hujifanya wana wivu na kununa ili kuficha mambo maovu wayafanyayo yasigundulike.

Hata kama ni mkeo, jaribu kuikagua simu yake utaona tu.
Ukiogopa kuikagua utasaidiwa kukaguliwa.

Au i track kwa miezi 2 tu. Ukikosa lolote baya kwake, basi itakuwa anakufanyia wivu na kununa kwa upendo wa dhati.

Ishi naye kwa akili.
Simu yake na yangu kila mmoja anashika anavyotaka ndo maana anaona hata namba nilizonazo ndani
 
Simu yake na yangu kila mmoja anashika anavyotaka ndo maana anaona hata namba nilizonazo ndani
Sawa. Basi unatakiwa kumuelewesha kwa upole na umakini sana ili asiwe na mashaka nawe.

Kinachoonekana hakuamini kabisa. Jitathmini na uache mambo ya totoz ili akuamini kutoka moyoni.

Yawezekana tunamshambulia mkeo, kumbe chanzo ukawa wewe mwenyewe.
 
akinuna we nuna mara mbili siku nyingine msusie chakula hadi atakapo jishusha, siku nyingine una nunua kuku kama nusu wa kukaanga na chipi unakuja nao home unakula bila kumwambia karibu na siku nyingine wai kitandani kulala. na ukishika simu kama uko kwenye kochi we cheka tafuta site yenye vichekesho kamazile za fb za viralvideo, siku nyingine toka ongea na simu nje kabisa mbali, mbona jeuri itaisha na siku mkipatana usimwambie hizo trick we kausha
 
Hahahaa, hapo mbona hakuna tatizo. Ndoa yenu bado changa ndo maana, ngoja azae hayo yatapungua na pengine kuisha kabisa maana watoto watamkeep bize. Kama kuna mfanyakazi basi panga kumwondoa ili mkeo awe bize akirudi home. Wewe pia punguza kuchat ukiwa nyumbani hasa na jinsia za ke.
 
Hujampa vitu vingine kama mimba hivi vimfanye awe bize na wewe uwe huru japo kwa muda wa miezi 9 hivi?

Jitahidi bana usiwe kama bashite ...mtie mimba awe bize na mimba na malezi wewe uwe huru na kazi
 
Asee asee Nina changamoto moja,
Mimi nimeoa mwanamke, kabila ni muhaya,

Mwanzoni kumpata alinisumbua sana nikasema basi, nimemfuatilia kwa miezi kadhaa,.lakin baada ya kumpata ni kama nimejitia kufuri

Ana matatizo yafuatayo
1.wivu uliopitiliza, simu hata nikipigiwa ya kazi anataka ajue ni nani,
Nikikaa sofa tofaut na yeye nikaanza kuchat , ameshasogea,
Bahati mbaya Nina boss wangu ni mdada mdogo mdogo,.kila ikipangwa tripu ya kazi ye ndo anani supervise, basi hapo matatizo matupu,
Anataka ajue mpaka kazini marafiki zangu wa kike ni akina nani,

Jana kaingia kwenye simu yangu, kwenye DP moja ya whatsapp number kaona mtoto mkali sana ni muhasibu wetu,
Akaanza kujisemesha eti, unaona mbaba huyu kaweka mke wake mzuri.kwa whatsapp yake, nikakaa kinya, akachukua namba kaichek jina kwa njia ya M-PESA, kakuta ni msichana, sasa kasema naomba kufika asubuhi nusiikute namba hii humu kwenye simu yako, ni hatari aisee

Tatizo la pili ananuna sana yaan anaweza akanuna kwa kosa dogo mpaka nikaogopa akauchuna siku tatu, lakin majukum mengine anatimiza anapika anapakua anafua , ila haniongeleshi,

Wataalamu wa kisaikolojia naomba ushauri nifanyeje apunguze mambo hayo,??
Jibu rahisi ni kwamba huyo mwanamke ana mchepuko na anachokifanya ni kukutengenezea mazingira wew usijue chochote ili uone anakupenda saana

Na hicho ndio wanatumia wanaume/wanawake ambao sio waaminufu katika ndoa/mahusiano

Fuatilia alafu leta mrejesho humu
 
Sawa. Basi unatakiwa kumuelewesha kwa upole na umakini sana ili asiwe na mashaka nawe.

Kinachoonekana hakuamini kabisa. Jitathmini na uache mambo ya totoz ili akuamini kutoka moyoni.

Yawezekana tunamshambulia mkeo, kumbe chanzo ukawa wewe mwenyewe.
Hahaha mkuu totozi siendekezi
 
Sijaelewa
Mkeo anataka attention yako kuliko kitu kingine ili ukae naye vizuri uwe na vituko vya kuchekesha
Anaweza akajifanya amefyum ukafanya kituko akacheka mwenyewe au akakuita mwenyewe

Mfano kama jamaa alivosema ukataiti haswa chupa ya chai atake asitake akuite ufungue au akapike nyingine

Kwa kuwa mnashikiana simu akifyumu chukua cm yake weka nywila mpya harafu iweke atakuita tu akikuita vituko unamfanyia mpaka anacheka unaweza mwambia usipocheka sifungui cm lzm acheke tu

Vituko viko vingi akili yako ichuje

Ukiwa na hasira unaweza ukajikuta umepiga bila kukusudia ujiona unanyea ndoo
 
Hahaha pole sana, nilipata changamoto kama yako maji yalinifika shingoni nikaileta jf kwa kweli nilisaidika sana ila njia nzuri kabisa ni hiyo akinuna na wewe nuna yaan ukishamuongelesha hajakujibu piga kimya kua busy na mambo yako, mpigie mtu simu cheka sana kwa sauti au chat hlf unacheka sana, pia kama mpo home mvizie katoka nje kaza kwa nguvu mfuniko wa chupa ya chai au jiko la gesi basi akiwa anahangaika kufungua mwenyewe atakuletea umsaidie na ww msaidie bila kuweka kinyongo.

Wivu ni upendo japo ukizidi unakua kero kwa wote wawili ila ndio hivyo hakuna namna.
Haaa haaaa! Nimeipenda,naenda,kuapply
 
Back
Top Bottom