Nini dawa ya mke mwenye wivu uliopitiliza na kununa nuna?

Wanawake automatic akute umeconcentrate kwenye simu hata kama unasoma stori lazima avimbe,wanawaza kuibiwa tu!
 
Chukua huu ushauri haraka sana
 
Pole sana...

Nadhani hizo tabia ulikua unazifahamu toka unamfukuzia, ila ukajipa imani ukioa atatulia/kubadilika...

Tabia ni kama ngozi, sasa unaona kero... pambane nae hivyo hivyo kimya kimya...


Cc: mahondaw
 
Uko sawa kabisa mkuu
 
Pole sana...

Nadhani hizo tabia ulikua unazifahamu toka unamfukuzia, ila ukajipa imani ukioa atatulia/kubadilika...

Tabia ni kama ngozi, sasa unaona kero... pambane nae hivyo hivyo kimya kimya...


Cc: mahondaw
Mh
 
inaonesha hujawahi kukaa nae na kumpa makavu juu ya hilo swala......muulize kwa nn hakuami na ufanye nn ili akuamini....kama hana sababu ya maana bs mpige stop vitendo vya ajabu ajabu asije kukupotezea kibarua chako
 
Fanya hivyo utaleta mrejesho, unaweza muhukumu bure ila hata yeye anajishangaa kwa vile anavyokupenda sana hadi anapitiliza.
Nishaghaili sasa,sikujua kama utafika huku[emoji15] [emoji15] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Aisee hivi kumbe bado kuna wanaume mnaruhusu wake zenu kushika simu zenu,jamani haki sawa ni msemo tu,utandawazi usiwapumbaze,hao wazungu tunaowaiga ndio wanaongoza kwenda mahakamani kudai talaka....kimsingi mume inatakiwa um-control mke,nashangaa sana unamrusu mkeo kupekua simu yako are you serious????,weka mipaka kwenye simu yako asiiguse,hiyo ni amri akatae au akubali hilo lipitishe,ndio wenzio tunavyoishi siku hizi na hawa wake zetu,tulijaribu kufanya democrasia ikatushinda....
 
Mzee baba huyo...kimeo achana nae, atakuaribia mwisho wa siku atakutenda huyo atakuacha mpweke, utakuja juta majuto mjukuu.
 
Mimi sijawahi kuona moto ukazimwa na moto huna ndoa usicomment chochote...
 
Acha ubwege....

Kuwa na msimamo wewe mwanaume. Mambo ya kijinga usimruhusu akufanyie. Kununa hakujawahi kuua mtu hata siku moja. Hizo drama zitakuua usipoangalia.
 
Mkuu Kwan akipiga nyeto na yeye akijua kuna tatzo Gan? Au Nin kitatokea
 
Mpe mimba,tena na hali hii,akijifungua mpe nyingiine,akijifungua tena mpe nyingine,biashara kwisha.
Akiendelea kununa wewe una-ngea na watoto.
 
Kama una mtaji kidogo mfungulie kibiashara japo cha nyumbani awe biz kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…