Nini dawa ya muwasho sugu sehemu za siri?

Berlin storm

Member
Joined
Feb 6, 2023
Posts
60
Reaction score
38
Nasumbuliwa na muwasho sugu sehemu za Siri kwa muda mrefu na nimetumia dawa nyingi sana sijapona muwasho upo mpaka sehemu ya aja kubwa.

Nikitembea ni kama mtu ananichana chana kwenye korodani.

Msaada jamani ni muda mrefu naumwa. Dawa natumia ila siponi.
 
Iz ni fangas za aina gani kama hospital nimeenda lakini Kila napo enda sijawah chukuliwa vipimo Wala nn Kila dactar unaemuelezea anakuandikia dawa tu bac huu mwaka wa Saba sas nawashwa mno sina aman kama Kuna sehem wanavipmo mniambie niende jaman
 
Oyaaa usijali .

Wewe ni mwanamke au mwanaume?.
 
Kuna uwezekano ukawa unasumbuliwa na fungus licha ya kutumia dawa za kupaka na kumeza inabidi kuepuka kufanya vitu vinavyoweza kufanya shida yako ikarudi mara kwa mara.
 
Iz ni fangas za aina gani kama hospital nimeenda lakini Kila napo enda sijawah chukuliwa vipimo Wala nn Kila dactar unaemuelezea anakuandikia dawa tu bac huu mwaka wa Saba sas nawashwa mno sina aman kama Kuna sehem wanavipmo mniambie niende jaman

Waombe ufanyiwe culture ili upate dawa sahihi,pia zingatia sana mazingira yako hasa boxa zako,mashuka,kama una share madodoki ya kuogea,ndoo za kuogea,pia zingatia hata wanawake unao lala nao yawezekana wanakuambukiza hizo fangasi,hakikisha una vaa boxa safi kavu na zisibane ziwe za cotton.

Ukianza matibabu badili boxa tupa ama hakikisha ukizifua anika juani kisha zipige pasi ndio uvae.

Pia vyema ukapata dawa za kupaka na kumeza.
 
hospital hazijajengwa huko ulipo?
 
Nasumbuliwa na muwasho sugu sehemu za Siri kwa muda mrefu na nimetumia dawa nyingi sana sijapona muwasho upo mpaka sehemu ya aja kubwa.i.
Kwa sababu hayo maeneo unapowashwa ni maeneo NYETI sana nashuri usitumie dawa hovyo hovyo.nenda hospitali ukapimwe vizuri.

Badilisha hospitali kama kama umetibiwa hujapona.Kama uko Dsm anza na Regency hospital.ma doctor wetu wa Bongo ni kama mafundi gereji tu, sometimes ramli nyingi, madawa mengi, utalamu kidogo, ilmradi idadi ya wagonjwa aliowatibu iwe kubwa apate kamisheni kubwa.

Ukienda hapa hujapona baada ya kumaliza dose nenda na hospital nyingine ukajaribu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…