Nini dawa ya muwasho sugu sehemu za siri?

Nini dawa ya muwasho sugu sehemu za siri?

Duh bro nimetumia saw za minyoo apa nipo kwenye doz ya arlegy bro
Minyoo iko aina nyingi. na hakuna dawa universal kwamba inatibu aina zote za minyoo au bakteria. Ungepima kwanza ukajua shida ni nini. Unachoogopa kwenda kupima ni nini? unaona aibu kuwavulia nguo madaktari na manesi? nenda kavuo upone.
 
Acha umalaya tulia na mmoja msafi.
Nyoa maviuz Mara kwa mara. Epuka gesti house za short time especially maeneo ya Manzese, Buguruni na Mbagala.
Oga asubuhi na jioni.
Ukijitibu mtibu na huyo mpenzi wako.
Osha chupi , nguo zako zote na mashuka na maji ya moto. Vyote vioshwe kwa mpigo kuepuka wadudu kuhamia kwengine.
Tumia toilet paper.
Thank me later.
Eti thank me later .. hahahaha
 
minyoo iko aina nyingi. na hakuna dawa universal kwamba inatibu aina zote za minyoo au bakteria. Ungepima kwanza ukajua shida ni nini. Unachoogopa kwenda kupima ni nini? unaona aibu kuwavulia nguo madaktari na manesi? nenda kavuo upone.
Bro ukwel nakwambia hospital nimeenda mpk bugando hospital apa mwanza lakin Bado na mar ya mwixho ndo nimetokea bugando hospital wamenip daw za arlegy na xjapimwa Wal nn at
 
Bro ukwel nakwambia hospital nimeenda mpk bugando hospital apa mwanza lakin Bado na mar ya mwixho ndo nimetokea bugando hospital wamenip daw za arlegy na xjapimwa Wal nn at
Nenda hospitali ndogo, hasa dispensary utakapopata muda mzuri wa kuzungumza na daktari. pima mkojo na hata haja kubwa, usisahau damu pia. achana na hizi hospitali kubwa, wanakuwa overwhelmed na wajeta wenye serious issues, ukimpelekea issue kama hiyo anaichukulia juu juu tu.
 
Nasumbuliwa na muwasho sugu sehemu za Siri kwa muda mrefu na nimetumia dawa nyingi sana sijapona muwasho upo mpaka sehemu ya aja kubwa

Nikitembea ni kama mtu ananichana chana kwenye korodani

Msaada jamani ni muda mrefu naumwa. Dawa natumia ila siponi.
Mm nilisumbuliwa zaidi ya miaka 5,lakin nikawa naficha unakuta unavaa nguo mpaka ina nata kujikuna.

Kuna kidonge flan kirefu cheupe yaan ningejua jina lake ingekuwa vizuri sana,aiseee nilipewa kimoja tu mpaka leo nimesahau
 
Apake majani ya upupu.

Atakuja kunishukuru.
Kuwa na staha kidogo ndugu yangu,hili ni Jukwaa huru ila haipendezi kuleta uhuru wa ujinga,jitajihidi kuficha ujinga hata kama una tania mkuu,wewe huhisi chochote mpaka muhusika alete humu,jaribu kuvaa viatu vya wahusika kabla hujajibu chochote ndugu yangu.
 
Kak hospital natembea mpak nimekata tamaa nikifka hoxpital nikionan na daktar xi pimw namuelezea daktar ana andika daw tu bx dah mpk nimechoka at
Hospital ipi Umeenda?? Na specialist wa hayo matatizo umefanikiwa muona??
 
Hospital ipi Umeenda?? Na specialist wa hayo matatizo umefanikiwa muona??
Kaka madactar xi unawajua wai wanach angalia ni maslah tu bx nimeenda bugando hospital mwanza pia nilikuwa tabor nikaenda kitet hospital pia nilikuw kigom nikaenda maweng hoxpital vizaanat kam vyot maduk ya madaw na mada kama yote at kak
 
Tatizo lako ni kubwa....linaanzia kwenye kuandika, andika vizuri bro wa kike.
 
Badilisha na Aina za boxer uvae boksa zile za tetron acha na za pamba boxer pana zipo mtumbani
 
Duh
Kuwa na staha kidogo ndugu yangu,hili ni Jukwaa huru ila haipendezi kuleta uhuru wa ujinga,jitajihidi kuficha ujinga hata kama una tania mkuu,wewe huhisi chochote mpaka muhusika alete humu,jaribu kuvaa viatu vya wahusika kabla hujajibu chochote ndugu yangu.
Kak si unajua mtu anapokuw Hana tatz linalomxumbua yy hutoa tu mawazo yyt atakam hayn mxaada wwt at
Tatizo lako ni kubwa....linaanzia kwenye kuandika, andika vizuri bro wa kike.
Ok sorry nasema madactar wanacho angalia ni maslah yao tu na si afya ya mtu at
 
Mnamshauri vingi ila kuna kitu hammwambii.
Kwangua huko chini mzee, fyeka hivyo vichaka vyote, I mean vyote. Bila kupepesa, chanzo cha yote hayo ni uchafu. Berega kote kisha bath regularly. Zingatia na ushauri wa wengine ila huu usiuache.
 
Niliwahi fanya mapenzi na msichana flani baada ya kutoka hapo nilikuwa nawashwa yaani nawashwa sana utadhani nimemwagiwa upupu. Nilitumia kila aina ya dawa za kumeza na tube za kupaka kila aina wapi mpaka Azuma.

Tena muda wa usiku ndio muwasho ulikuwa ukizidi hadi mapajani. Baada ya kuona hospital wameshindwa na muwasho unazidi hadi pmbu zimeanza kubabuka ikabidi nijiongeze nikawa najikanda na maji ya moto yenye chumvi kisha najipaka spirit aloo ndio tatizo likazidi kwa kasi ya 5g.

Ikabidi nianze kupita humu jforum kufanya utafiti. Ndio nikaona jamaa ana recommend kutumia BBE ikabidi usiku huo huo niende kwenye kiduka cha madawa tena kidogo nikapata kwa 2000 ,nilijipaka muwasho ukakata siku hiyo hiyo hadi leo sijawashwa tena unaweza ijaribu
 
p
20230208_122329.jpg
 
Nasumbuliwa na muwasho sugu sehemu za Siri kwa muda mrefu na nimetumia dawa nyingi sana sijapona muwasho upo mpaka sehemu ya aja kubwa.

Nikitembea ni kama mtu ananichana chana kwenye korodani.

Msaada jamani ni muda mrefu naumwa. Dawa natumia ila siponi.

NENDA KAPIME KISUKARI, HIYO NI MOJA YA DALILI ZA KISUKARI

Au fanya hivi; Chukua chupa tupu ya lita moja ya maji uhai jaza mkojo wako kiasi cha nusu lita hata ikiwa chini kidogo ya nusu lita (kiasi cha mkojo utakaoupata kwa mara moja/mkojoo mmoja) halafu funga kwa kizibo na anza kutikisa hilo chupa lako kama ×10 na halafu uache kutikisa; ukiona mkojo ndani ya chupa umejaa povu jingi kama sabuni ya unga, mkojo nusu na povu nusu basi hiyo ni moja dalili ya kisukari, dalili nyingine ni pale unapokula pilipili ukipata kikohozi kikali pia hiyo ni moja ya dalili za kisukari au kojoa mkojo ndani ya chupa kisha uende kuumwaga nje sehemu ambayo kuna nyenyere subiri baada ya muda wa 30mins-1hr nenda kaangalie; ukikuta nyenyere wanazengea mahali hapo ulipomwaga mkojo basi hiyo ni dalili ya kisukari, mkuu jaribu kufanya tafiti hizo kwanza au unaweza kwenda moja kwa moja hospitali kupima kisukari.
 
minyoo iko aina nyingi. na hakuna dawa universal kwamba inatibu aina zote za minyoo au bakteria. Ungepima kwanza ukajua shida ni nini. Unachoogopa kwenda kupima ni nini? unaona aibu kuwavulia nguo madaktari na manesi? nenda kavuo upone.
Kwel bro xiwez ona aib wakt naumia at
 
Hizo dawa nimeshawah tumia kaka zaidi ya maramoja at
Ukishafikia nusu ya dose choma nguo zote za ndani nunua mpya, then uwe unaziloweka na detoa ama kuzinyosha na moto mkali, kama una mke naye akatibiwe and mcheki cycle zenu wote za side chicks wewe na mkeo ya wezekana unajitibu huku ukiendelea kupata maambukizi mapya
 
Back
Top Bottom