Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,266
- 8,085
Minyoo iko aina nyingi. na hakuna dawa universal kwamba inatibu aina zote za minyoo au bakteria. Ungepima kwanza ukajua shida ni nini. Unachoogopa kwenda kupima ni nini? unaona aibu kuwavulia nguo madaktari na manesi? nenda kavuo upone.Duh bro nimetumia saw za minyoo apa nipo kwenye doz ya arlegy bro