Nini dawa ya mwanamke mwenye wivu kupitiliza?

1. Avae dera, khanga na ushungi ni lazima.
2. Asiangalie music videos za waimbaji wa kiume.
3. Asiende sokoni au shopping peke yake.
4. Asivae high heels
5. Simu isiwe smart.
6. Lunch kula home na umshtukize mara kwa mara uwe unarudi home ghafla.
7. Omba game mara kwa mara, sehemu za ajabu ( kama una ceiling omba mechi juu ya ceiling).

Ataacha wivu.
 
Anataka mkemwenza huyo tena mwenye gubu halafu anayejua kuchamba
 
Pole mkuu.

Wewe ndio ulimzoesha huo ujinga.

Miaka 2 miwili ya kwanza ya ndoa ndio watu hujenga misingi ya ndoa..

Huo ndio ulikuwa muda wa kumwambia;
1. Akae mbali na simu yako
2. Ndio muda kumuonesha hapaswi kuganda kila mahali unapoenda na mengine mengi.

Mimi sijui unaisha maisha gani hayo mkuu ila jaribu kumtwist akae mkao unatoka wewe...hujachelewa bado..

Ukishindwa endeleea kuishi misri hivyo hivyo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji87][emoji87]
 
ila wafupi ni watamu jamani......hapo kwenye wivu tuu.......yani hata mkiingia duka la dawa.....atakuuliza hiyo hapo ni dawa gani....ukimjibu kondom....kesi tayari...... umejulia wapi....utafikiria tumezaliwa pamoja......ila KITANDANI........wanawake wafupi mpoooo.....mpunguze wivu...
 
Usisumbuke nae Mpandishe cheo awe mke mkubwa bila shaka anatamani kupanda cheo
 
ukipenda boga penda na ua lake
 

Isije ikawa huu wivu ni wa kupika na si halisi, na pengine umelenga kumfanya akufiche baadhi ya vitu vyake ambavyo asingependa uvifahamu. Otherwise kama ni halisi, just be patient with her. Unajua nini, sisi binadamu nimekuja kugundua tuna tabia ya kupenda vigeni. Akija tuseme ndugu yako au rafiki yako wa kiume kukutembelea nyumbani kwako, unampenda zaidi akiwa bado mgeni, halafu baada ya muda labda unaanza kumchoka, hata kama ni mwema namna gani! Yaani kuna watu tuna asili ya kutaka vitu vigeni tu viwepo katika mazingira yetu, vya kudumu ambavyo tutakuwa navyo siku zote, hivyo hapana! Hili ndiyo tatizo ambalo linawafanya watu wengi wanashindwa kuishi vizuri katika mazingira ya mahusiano majumbani kwao, bila kujali ni mume na mke ama la. Na mbaya zaidi ni kwamba mke au mme, huwa ni LAZIMA awe wa KUDUMU. Yaani wanadamu tulio WENGI, lazima TUJUE, TUKUBALI NA TUKIRI KUWA TUNA KILE KI-ASILI CHA ROHO MBAYA, ambacho huwa kinapelekea hata kumchukia mtu mwingibe BILA HATA SABABU. Tusipolijua hilo na kulikubali,tutawapa shida sana watu wengine, na sisi wenyewe pia tutapata shida sana. Binadamu KARIBIA wote tuna asili hiyo, lazima tukubali.Na ndiyo maana huwa tunasema nobody is PERFECT
 
Sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…