zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Nani kasema wanaosoma masomo ya dini ni kwa ajili ya ajira? Mfano wakatoliki huwa wana mafundisho yao hadi mtu anapata kipaimara kwani huwa wanatumia kuombea kazi? Same to waislam kwenda madrassa umewahi sikia inatumika kuombea kazi? Hapo core subject is business studies akienda chuo atasoma BBA, Accounting n.k sijaona issue hapo ya ajabu.kuna bank ngapi za kiislamu zinazofuata sharia law au biashara unazojua wewe ambazo hazipo kutafuta maximum profit zitakazo waajiri hao watoto.
Hakuna somo la islamic business sijui unapotosha kwa faida ya Nani.Unawafundisha watu biashara ya kiislamu
Mkuu soma kwanza mada na course 27 hiyo degree ndio inajadiliwa. Ina faida gani?Hakuna somo la islamic business sijui unapotosha kwa faida ya Nani.
Ila hata kama likija kuanzishwa ni lazima ufaham islamic banking ndio highest growing business venture coz ya obvious market. Na sio dhambi mtu kuspecialize, mfano mimi nilispecialiaze kwenye mambo ya Market research na humo humo ndio nikatoboa..... ulimwengu wa sasa needs expertise sio general skills!!
Kuna watu humu mindset zenu ni regressive sana
Benki za Kiislam zinazotoa mikopo bila riba zingependa kuandaa wataalamu ingali bado wadogo.Hapo somo la Islamic Knowledge linahusika vipi na masuala ya biashara?
..nadhani imewalenga zaidi wazanzibari (si kwa ubaya) .. uchumi wa bluu na biashara zaidi na nchi zenye kufuata Islamic laws , kwa kukusaidia ...kwenye list hiyo hiyo kaangalie mwisho nambari 58 Hadi 65 ..Kuna 'combinations' zenye masomo ya dini.
Huo ni mtizamo wangu. Simlazimishi mtu kuukubali wala simzuii kuukataa .
Hakuna somo linaitwa religion, we nawe utakuwa huna akili tuActually ni Economics, Business studies and Religion..
Lakini naona umeamua kufuta/Christianity ili uonekane uko makini sana sio [emoji205]
Soma historian ya nchi yako!!Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati.
Moja ya tahasusi, si kwa ubaya, ila nadhani wengi tungependa kufahamu kuhusu hii combination mpya ya Biashara inayojumuisha masomo ya Economics, Business Studies na Islamic Knowledge. Hapo somo la Islamic Knowledge linahusika vipi na masuala ya biashara?
Ni bahati mbaya au makusudi. Huenda nimeachwa na mambo ya kisasa lakini kwangu bado haileti maana yoyote.
View attachment 2940349
okHakuna somo linaitwa religion, we nawe utakuwa huna akili tu
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Hiiiii. !!Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati.
Moja ya tahasusi, si kwa ubaya, ila nadhani wengi tungependa kufahamu kuhusu hii combination mpya ya Biashara inayojumuisha masomo ya Economics, Business Studies na Islamic Knowledge. Hapo somo la Islamic Knowledge linahusika vipi na masuala ya biashara?
Ni bahati mbaya au makusudi. Huenda nimeachwa na mambo ya kisasa lakini kwangu bado haileti maana yoyote.
View attachment 2940349