zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Nani kasema wanaosoma masomo ya dini ni kwa ajili ya ajira? Mfano wakatoliki huwa wana mafundisho yao hadi mtu anapata kipaimara kwani huwa wanatumia kuombea kazi? Same to waislam kwenda madrassa umewahi sikia inatumika kuombea kazi? Hapo core subject is business studies akienda chuo atasoma BBA, Accounting n.k sijaona issue hapo ya ajabu.kuna bank ngapi za kiislamu zinazofuata sharia law au biashara unazojua wewe ambazo hazipo kutafuta maximum profit zitakazo waajiri hao watoto.
Hata mimi advance level nilisoma Principle 3 yaani History, Economics, na Divinity. Chuo nikapiga Economics mbona sikupoteza kitu?