Wala musihofu, Mungu akiwa upande wetu hawatuwezi, si munajua hawa jamaa wako nyuma kwa kilakitu? Hata wapandishwe watashuka tu.Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati...
Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati...
Sijui wamewaza nini hata kuna hizo combination noumaaa
Mama anaupiga mwingiHapa kuna jambo. Jambo hili halikubaliki na halitakubalika kamwe mpaka mwisho wa dunia.
Baada ya kufaulu kumdanganya Mama kwa kiwango cha kimataifa kwa ajili ya maslahi yao, sasa wameamua kummalizia kabisa.
Wizara ya Elimu kuanzisha Tahasusi ambayo ndani yake kuna somo la dini, ni kummalizia kabisa mama.
Nashauri, Tahasusi hii ifutwe mara moja ili kuepusha vurumai zisizo za lazima.
Ujinga wa nyie wajinga wa Afrika ni mzigo mzito sanaHapa kuna jambo. Jambo hili halikubaliki na halitakubalika kamwe mpaka mwisho wa dunia...
Acheni ushamba hapo Uganda tu A level zote kuna combination mfano HED yaani History Economics na Divinity. Na hiyo divinity ni principle kabisa sio subsidiary. In fact ili udahiliwe masomo kama sheria basi unapaswa usome walau History, literature na Divinity!!!Hapa kuna jambo. Jambo hili halikubaliki na halitakubalika kamwe mpaka mwisho wa dunia...
Acha ujinga basi NYONYO.Kuna wanafunzi Waislam wamesoma vyuo vya kidini kama University of Arusha (UOA),chuo cha kiasbato.Pale wanafundisha baadhi ya masomo katika shahada zao ambayo ni ya kiimani na wanafunzi Waislam wanasoma na wanafaulu.Sasa wameenda wapi.Si wapo Tanzania hapahapa tena wanafanya kazi katika sekata mbalimbali na wemgine wanafanya kazi nje ya nchi.Hii nchi sio ya kislamu na haitumii sheria za kislamu
Ukishasoma utaenda tumia wapi
Naamini Watanzania wengi wamelelewa katika msingi ya kidini iwe uislamu,ukristu au uhindu lakini bado kuna ufisadi,hivyo kuweka somo la dini kwenye tahasusi sidhani kama itapunguza ufisadi.mie nadhani ni muhimu sana ili tuwe na wachumi na wafanyibiashara wenye Imani thabiti, wanaomjua Mungu, wenye hofu ya Mungu, wa kweli, wa uaminifu, wasiopenda rushwa hongo na udanganyifu π
inahitajika wachumi na wafanyibiashara walipakodi kwa hiari bila kuibia serikali n.kπ
rejea machumi na mafanyabiashara yasio eleweka dini zao ndio hayo mafisadi na mavuruga uchumi π
Tanzania Kuna ushamba uliokithiri especially kwa baadhi ya watu wanaodhani kuwa wao ndiyo binaadam peke yao na wenye akili.Kuna wakati mtu anakataa kitu ambacho hana ujuzi nacho.Nakumbuka DP world.Watu walitoa mimacho na mapovu utafikiri wana kifafa.Vitisho kibao.Sasa hivi siwasikii tena.Hebu tembeleeni TPA -Dar.Acheni ushamba hapo Uganda tu A level zote kuna combination mfano HED yaani History Economics na Divinity. Na hiyo divinity ni principle kabisa sio subsidiary. In fact ili udahiliwe masomo kama sheria basi unapaswa usome walau History, literature na Divinity!!!
Nashangaa hapa Tanzania imekua kitu cha ajabu sana, jamani safirini nchi za wenzenu.
Hii nchi sio ya kislamu na haitumii sheria za kislamu
Ukishasoma utaenda tumia wapi
Dhumuni lao haswa ni kutaka kuendeleza ujinga kwa wananchi wake.Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati.
Moja ya tahasusi, si kwa ubaya, ila nadhani wengi tungependa kufahamu kuhusu hii combination mpya ya Biashara inayojumuisha masomo ya Economics, Business Studies na Islamic Knowledge. Hapo somo la Islamic Knowledge linahusika vipi na masuala ya biashara?
Ni bahati mbaya au makusudi. Huenda nimeachwa na mambo ya kisasa lakini kwangu bado haileti maana yoyote.
View attachment 2940349
Tanzania kuna bank ngapi za kiislamu zinazofuata sharia law au biashara unazojua wewe ambazo hazipo kutafuta maximum profit zitakazo waajiri hao watoto.Acheni ushamba hapo Uganda tu A level zote kuna combination mfano HED yaani History Economics na Divinity. Na hiyo divinity ni principle kabisa sio subsidiary. In fact ili udahiliwe masomo kama sheria basi unapaswa usome walau History, literature na Divinity!!!
Nashangaa hapa Tanzania imekua kitu cha ajabu sana, jamani safirini nchi za wenzenu.