Nini dhumuni la Serikali kuanzisha tahasusi hii ya biashara ikiwa na somo la 'Islamic Knowledge'?

Hiyo ni ORDER kutoka Juu, hata Adolf Mkenda hatakiwi kuhoji, lasivyo ataachia kiti

Baada ya miaka kadhaa tunataka Watoto wetu katika Imaan washikilie uchumi wa nchii hii

Makafiri Wameshikilia sana na Mfumo Kristo wao.

TAKIBIIIR.....!
You’re an asshole.
 
Salamalekoo.... Saivi tunawavuta waarabu kuwekeza mf. Bandari, Nyerere dam nk.
 
NAONA WANATAKA WATOTO WETU WASLIMU KWA NGUVU.HAHAAAAA
WHY ISLAMIC KNOWLEDGE? WAKRISTO TUAMKE MAPEWA .HII NIN AJENDA YA SIRI
 
Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati.

Moja ya tahasusi, si kwa ubaya, ila nadhani wengi tungependa kufahamu kuhusu hii combination mpya ya Biashara inayojumuisha masomo ya Economics, Business Studies na Islamic Knowledge. Hapo somo la Islamic Knowledge linahusika vipi na masuala ya biashara?

Ni bahati mbaya au makusudi. Huenda nimeachwa na mambo ya kisasa lakini kwangu bado haileti maana yoyote.

View attachment 2940349
Katika uislamu kuna taratibu zake za kufanya biashara, na kuna baadhi ya nchi au watu wanafanya biashara kwa mfumo huu wa kiislamu hivyo itatusaidia kupata wataalamu ambao wataweza kutusaidia kufanya biashara kwa mfumo huo.
 
Wagalatia munateseka sana na uislamu, hivi nikuwa hamfahamu ama munazirusha kama kuna ma bank ndani ya hii nchi na nje ya nchi yana Islamic divisions ambayo yanahitaji watu waliosoma hizo vitu?
Punguzeni chuki wakuu
 
Kama ni issue ya kiimani zipo madrasa na misikiti inafanya hiyo kazi, ukishaingiza masuala ya Imani kwenye professional maana yake unatengeneza matabaka kitu ambacho ni hatari kwa Usalama wa nchi,
kwani hizo Islamic banking mbona zimeanza kitambo na watu wanapiga kazi huko kwahiyo walikuwa wanatumia vigezo gani kuwaajiri mpaka Leo hii serikali ione umuhimu wa kuanzisha hizo tahasusi?

wasomi wa hizo fani hapa nchini ni wachache sana, mana ilikua inapatikanwa nje ya nchi tu, sasa serikali imeamua kurahisisha. Na kwa kifupi tu huko tunakokwenda mbele mabank karibu yote yatakuwa na hizi Islamic Divisions
 
Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati.

Moja ya tahasusi, si kwa ubaya, ila nadhani wengi tungependa kufahamu kuhusu hii combination mpya ya Biashara inayojumuisha masomo ya Economics, Business Studies na Islamic Knowledge. Hapo somo la Islamic Knowledge linahusika vipi na masuala ya biashara?

Ni bahati mbaya au makusudi. Huenda nimeachwa na mambo ya kisasa lakini kwangu bado haileti maana yoyote.

View attachment 2940349
Labda kwakuwa Kuna baadhi ya benki hapa nchimi zinatumika "Sharia Banking" hivyo mwanafunzi aliyesomea tahsusi hiyo anaweza akawa na uweledi mkubwa katika kutoa mikopo inayotumika "Sharia Banking".
 
Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati.

Moja ya tahasusi, si kwa ubaya, ila nadhani wengi tungependa kufahamu kuhusu hii combination mpya ya Biashara inayojumuisha masomo ya Economics, Business Studies na Islamic Knowledge. Hapo somo la Islamic Knowledge linahusika vipi na masuala ya biashara?

Ni bahati mbaya au makusudi. Huenda nimeachwa na mambo ya kisasa lakini kwangu bado haileti maana yoyote.

View attachment 2940349
Hii tahasusi imekuja kwa kuchelewa.Uislam una mfumo wake wa maisha mpaka na sheria zake na hili linaeleweka.Uislam una mfumo wake wa kiuchumi na kibiashara unaojumuisha kuuza na kununua pamoja na mifuno ya kibenki ambayo haitozi riba na hili katika nchi yetu siyo geni kwani mifumo hiyo ya kibenki ipo.
Uilslam kwa lugha nyingine siyo dini bali ni mfumo wa maisha kwa wenye dini hiyo ambao mfumo huo unawaongoza toka mtu anapoamka asubuhi mpaka pale anapokwenda kulala usiku.
Kwa mifumo hii ndani ya uislam siyo vibaya vijana wakapata maandalizi tena kwa wale wanaopenda kwa sababu halazimishwi mtu ili baadaye wawe mahiri katika mifumo hiyo ndani ya dini yao.Hata wale ambao hawapo katika imani hiyo wakiviutiwa na utaratibu huu wanaweza kusoma kwa sababu hiyo tahasusi haijasemwa kuwa watasoma waislam tu.Tuipokee hii tahasusi kwa mawazo chanya.
 
Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati.

Moja ya tahasusi, si kwa ubaya, ila nadhani wengi tungependa kufahamu kuhusu hii combination mpya ya Biashara inayojumuisha masomo ya Economics, Business Studies na Islamic Knowledge. Hapo somo la Islamic Knowledge linahusika vipi na masuala ya biashara?

Ni bahati mbaya au makusudi. Huenda nimeachwa na mambo ya kisasa lakini kwangu bado haileti maana yoyote.

View attachment 2940349
Soma hapa nyinyi vilaza mnaosoma shule za missionary

Important of Islamic Knowledge

Islamic education plays a significant role in world economics for several reasons:

1. Ethical Framework: Islamic education emphasizes principles of justice, fairness, and ethical conduct in economic transactions, which can help foster trust and stability in financial systems.

2. Social Welfare: Islamic economics prioritizes the well-being of society, advocating for the equitable distribution of wealth and resources. This focus on social welfare can lead to more inclusive economic policies and reduced income inequality.

3. Financial Stability: Islamic finance principles, such as prohibition of interest (riba) and speculation (gharar), promote risk-sharing and asset-backed transactions, which can contribute to financial stability and mitigate the risks of economic crises.

4. Sustainable Development: Islamic teachings emphasize the stewardship of natural resources and the environment. Integrating these principles into economic policies can promote sustainable development practices, addressing environmental concerns and ensuring long-term prosperity.

5. Innovation and Entrepreneurship: Islamic education encourages entrepreneurship and innovation while promoting ethical business practices. This can stimulate economic growth and development by fostering a culture of creativity and responsible entrepreneurship.
HATA MKIRISTO ISLAMIC KNOWLEDGE UKISOMA UTAFAIDIKA
 
mie nadhani ni muhimu sana ili tuwe na wachumi na wafanyibiashara wenye Imani thabiti, wanaomjua Mungu, wenye hofu ya Mungu, wa kweli, wa uaminifu, wasiopenda rushwa hongo na udanganyifu 🐒

inahitajika wachumi na wafanyibiashara walipakodi kwa hiari bila kuibia serikali n.k🐒

rejea machumi na mafanyabiashara yasio eleweka dini zao ndio hayo mafisadi na mavuruga uchumi 🐒
Ramadhan Dau alikua swala tano ila aliiba sana nssf
 
Kwenye uislam kuna elimu kubwa sana ya biashara.

Wafanyabiashara wengi wa tanzania ni waislamu, na wala hawana western education ni islamic knowledge informal way (madrasa).
 
Soma hapa nyinyi vilaza mnaosoma shule za missionary

Important of Islamic Knowledge

Islamic education plays a significant role in world economics for several reasons:

1. Ethical Framework: Islamic education emphasizes principles of justice, fairness, and ethical conduct in economic transactions, which can help foster trust and stability in financial systems.

2. Social Welfare: Islamic economics prioritizes the well-being of society, advocating for the equitable distribution of wealth and resources. This focus on social welfare can lead to more inclusive economic policies and reduced income inequality.

3. Financial Stability: Islamic finance principles, such as prohibition of interest (riba) and speculation (gharar), promote risk-sharing and asset-backed transactions, which can contribute to financial stability and mitigate the risks of economic crises.

4. Sustainable Development: Islamic teachings emphasize the stewardship of natural resources and the environment. Integrating these principles into economic policies can promote sustainable development practices, addressing environmental concerns and ensuring long-term prosperity.

5. Innovation and Entrepreneurship: Islamic education encourages entrepreneurship and innovation while promoting ethical business practices. This can stimulate economic growth and development by fostering a culture of creativity and responsible entrepreneurship.
HATA MKIRISTO ISLAMIC KNOWLEDGE UKISOMA UTAFAIDIKA
Hii nchi sio ya kislamu na haitumii sheria za kislamu
Ukishasoma utaenda tumia wapi
 
Back
Top Bottom