Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You’re an asshole.Hiyo ni ORDER kutoka Juu, hata Adolf Mkenda hatakiwi kuhoji, lasivyo ataachia kiti
Baada ya miaka kadhaa tunataka Watoto wetu katika Imaan washikilie uchumi wa nchii hii
Makafiri Wameshikilia sana na Mfumo Kristo wao.
TAKIBIIIR.....!
Katika uislamu kuna taratibu zake za kufanya biashara, na kuna baadhi ya nchi au watu wanafanya biashara kwa mfumo huu wa kiislamu hivyo itatusaidia kupata wataalamu ambao wataweza kutusaidia kufanya biashara kwa mfumo huo.Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati.
Moja ya tahasusi, si kwa ubaya, ila nadhani wengi tungependa kufahamu kuhusu hii combination mpya ya Biashara inayojumuisha masomo ya Economics, Business Studies na Islamic Knowledge. Hapo somo la Islamic Knowledge linahusika vipi na masuala ya biashara?
Ni bahati mbaya au makusudi. Huenda nimeachwa na mambo ya kisasa lakini kwangu bado haileti maana yoyote.
View attachment 2940349
Duh!Tunahitaji wataalamu wa fedha wanaojua Islamic banking
Kama ni issue ya kiimani zipo madrasa na misikiti inafanya hiyo kazi, ukishaingiza masuala ya Imani kwenye professional maana yake unatengeneza matabaka kitu ambacho ni hatari kwa Usalama wa nchi,
kwani hizo Islamic banking mbona zimeanza kitambo na watu wanapiga kazi huko kwahiyo walikuwa wanatumia vigezo gani kuwaajiri mpaka Leo hii serikali ione umuhimu wa kuanzisha hizo tahasusi?
Labda kwakuwa Kuna baadhi ya benki hapa nchimi zinatumika "Sharia Banking" hivyo mwanafunzi aliyesomea tahsusi hiyo anaweza akawa na uweledi mkubwa katika kutoa mikopo inayotumika "Sharia Banking".Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati.
Moja ya tahasusi, si kwa ubaya, ila nadhani wengi tungependa kufahamu kuhusu hii combination mpya ya Biashara inayojumuisha masomo ya Economics, Business Studies na Islamic Knowledge. Hapo somo la Islamic Knowledge linahusika vipi na masuala ya biashara?
Ni bahati mbaya au makusudi. Huenda nimeachwa na mambo ya kisasa lakini kwangu bado haileti maana yoyote.
View attachment 2940349
Hii tahasusi imekuja kwa kuchelewa.Uislam una mfumo wake wa maisha mpaka na sheria zake na hili linaeleweka.Uislam una mfumo wake wa kiuchumi na kibiashara unaojumuisha kuuza na kununua pamoja na mifuno ya kibenki ambayo haitozi riba na hili katika nchi yetu siyo geni kwani mifumo hiyo ya kibenki ipo.Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati.
Moja ya tahasusi, si kwa ubaya, ila nadhani wengi tungependa kufahamu kuhusu hii combination mpya ya Biashara inayojumuisha masomo ya Economics, Business Studies na Islamic Knowledge. Hapo somo la Islamic Knowledge linahusika vipi na masuala ya biashara?
Ni bahati mbaya au makusudi. Huenda nimeachwa na mambo ya kisasa lakini kwangu bado haileti maana yoyote.
View attachment 2940349
Soma hapa nyinyi vilaza mnaosoma shule za missionarySerikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati.
Moja ya tahasusi, si kwa ubaya, ila nadhani wengi tungependa kufahamu kuhusu hii combination mpya ya Biashara inayojumuisha masomo ya Economics, Business Studies na Islamic Knowledge. Hapo somo la Islamic Knowledge linahusika vipi na masuala ya biashara?
Ni bahati mbaya au makusudi. Huenda nimeachwa na mambo ya kisasa lakini kwangu bado haileti maana yoyote.
View attachment 2940349
Ramadhan Dau alikua swala tano ila aliiba sana nssfmie nadhani ni muhimu sana ili tuwe na wachumi na wafanyibiashara wenye Imani thabiti, wanaomjua Mungu, wenye hofu ya Mungu, wa kweli, wa uaminifu, wasiopenda rushwa hongo na udanganyifu 🐒
inahitajika wachumi na wafanyibiashara walipakodi kwa hiari bila kuibia serikali n.k🐒
rejea machumi na mafanyabiashara yasio eleweka dini zao ndio hayo mafisadi na mavuruga uchumi 🐒
Hii nchi sio ya kislamu na haitumii sheria za kislamuSoma hapa nyinyi vilaza mnaosoma shule za missionary
Important of Islamic Knowledge
Islamic education plays a significant role in world economics for several reasons:
1. Ethical Framework: Islamic education emphasizes principles of justice, fairness, and ethical conduct in economic transactions, which can help foster trust and stability in financial systems.
2. Social Welfare: Islamic economics prioritizes the well-being of society, advocating for the equitable distribution of wealth and resources. This focus on social welfare can lead to more inclusive economic policies and reduced income inequality.
3. Financial Stability: Islamic finance principles, such as prohibition of interest (riba) and speculation (gharar), promote risk-sharing and asset-backed transactions, which can contribute to financial stability and mitigate the risks of economic crises.
4. Sustainable Development: Islamic teachings emphasize the stewardship of natural resources and the environment. Integrating these principles into economic policies can promote sustainable development practices, addressing environmental concerns and ensuring long-term prosperity.
5. Innovation and Entrepreneurship: Islamic education encourages entrepreneurship and innovation while promoting ethical business practices. This can stimulate economic growth and development by fostering a culture of creativity and responsible entrepreneurship.
HATA MKIRISTO ISLAMIC KNOWLEDGE UKISOMA UTAFAIDIKA
Acha uongo dewji kasoma chuo new york city na ni muislamuUshajiuliza
Wafanyabiashara wengi wa tanzania ni waislamu, na wala hawana western education ni islamic knowledge informal way (madrasa)
We ni mjinga sana mfumo wa bank unaouona ulianzishwa na wayahudi hata atm wao ndo walioanzisha acha uzwazwaUislamu ndio dini pekee ilokamilika, nioneshe basi benki moja tu ya Kikristo au ya kibaniani, nyinyi mnafata tu mkumbo
Mo dewji ana elimu kubwa ya dini huko alienda kuongeza maarifa tuuAcha uongo dewji kasoma chuo new york city na ni muislamu
mie sina haki, na wala sistahili kuhukumu wengine kwa chochote, ispokua Mwenyezi Mungu pekee mwenye kuhukumu kwa haki 🐒Ramadhan Dau alikua swala tano ila aliiba sana nssf
Angekua na elimu kubwa ya dini asingekopa mikopo ya riba ambayo uislamu umekatazaMo dewji ana elimu kubwa ya dini huko alienda kuongeza maarifa tuu