kekule benzene
JF-Expert Member
- Sep 28, 2016
- 1,444
- 3,576
Hizo ni nini?Hivi hivi nchi ina dini moja?
Hapo tunaona Islamic tu
Bible knowledge imeondolewa?
Divinity ndio nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ni nini?Hivi hivi nchi ina dini moja?
Hapo tunaona Islamic tu
Bible knowledge imeondolewa?
Divinity ndio nini?
Comb zote za biashara hujaziona ? Ikiwemo EGM?Naunga Mkono Hoja..
Itafikia mahali waislamu tuu ndo wataajiriwa Bank.
Wakristo hawana tatizo na huduma zozote kwa mfanyabiashara yeyote.. ni sawa na sakata La Kuchinja..
Waislamu wamebuni namna nzuri ya biashara.
Mfano Halal Mark huu ni Ubaguzi na mbinu ya kukwapua hela kwa wafanyabiashara.
Comment na hapo kwenye divinityKama ni issue ya kiimani zipo madrasa na misikiti inafanya hiyo kazi, ukishaingiza masuala ya Imani kwenye professional maana yake unatengeneza matabaka kitu ambacho ni hatari kwa Usalama wa nchi,
kwani hizo Islamic banking mbona zimeanza kitambo na watu wanapiga kazi huko kwahiyo walikuwa wanatumia vigezo gani kuwaajiri mpaka Leo hii serikali ione umuhimu wa kuanzisha hizo tahasusi?
Sawa tu, hata waweke na Budhisim knowledge kwangu poa tu, zote ni elimu.Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati.
Moja ya tahasusi, si kwa ubaya, ila nadhani wengi tungependa kufahamu kuhusu hii combination mpya ya Biashara inayojumuisha masomo ya Economics, Business Studies na Islamic Knowledge. Hapo somo la Islamic Knowledge linahusika vipi na masuala ya biashara?
Ni bahati mbaya au makusudi. Huenda nimeachwa na mambo ya kisasa lakini kwangu bado haileti maana yoyote.
View attachment 2940349
Wanataka wapate wachumi wa kiislamu waende kufundisha uchumi uarabuniSerikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati.
Moja ya tahasusi, si kwa ubaya, ila nadhani wengi tungependa kufahamu kuhusu hii combination mpya ya Biashara inayojumuisha masomo ya Economics, Business Studies na Islamic Knowledge. Hapo somo la Islamic Knowledge linahusika vipi na masuala ya biashara?
Ni bahati mbaya au makusudi. Huenda nimeachwa na mambo ya kisasa lakini kwangu bado haileti maana yoyote.
View attachment 2940349
Ficha ujinga wako, yaani watu mna chuki na uislamu kupitiliza100%
Hizo zimewekwa Chambo. Zilipaswa ziwekwe Kwenye Shule za Kidini na Mitaala Ya Kidini.Comb zote za biashara hujaziona ? Ikiwemo EGM?
Mbona hapa hamuongei?
Divinity ni Somo la Uungu bila kujali Dini.Comment na hapo kwenye divinity
Tumesema mambo ya dini ziachiwe dini zenyewe. Sasa combination yenye islamic knowledge ni ya kazi gani. Halafu binafsi nimestaajabu kuona wameongeza utitiri wa combinations. Nilitarajia wapunguze au kuboresha zilizopo.Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati.
Moja ya tahasusi, si kwa ubaya, ila nadhani wengi tungependa kufahamu kuhusu hii combination mpya ya Biashara inayojumuisha masomo ya Economics, Business Studies na Islamic Knowledge. Hapo somo la Islamic Knowledge linahusika vipi na masuala ya biashara?
Ni bahati mbaya au makusudi. Huenda nimeachwa na mambo ya kisasa lakini kwangu bado haileti maana yoyote.
View attachment 2940349
Pelekeni hiyo kitu kwenye madrasa au misikiti yenu. Kama shuleni ifundishwe kama option. Umeshajiuliza hawa waliimmu wa masomo ya dini watakwa wameajiriwa na nani? Unajua katiba inasemaje kuhusu serikali kuendesha shughulli za dini? Yaani kodi ya wataanzania itumike kulipa walimu wa dini? Si ni kuvunja katiba huko? Kwnani nchi yetu ni ya kidini? Huoni kwa lazima kutakuwa na upendeleo kwenye ufaulu kwenye haya masomo ya dini? Tanzania siyo nchi ya kidini na itabaki hivyo.1.Msmbo ya tahasusi si uchaguzi wa lazima ni hiari. Hivyo hiyo tahasusi ambayo inaleta mtafaruku hakuna kijana ataelazimishwa kuisioma
Kuendelea kuipigia kelele ni dalili ya uoga ambao ni zao la ubaguzi
2.Tahasusi imelenga kuanda vijana ambao watakidhi matakwa ya kisoko ktk Islamic finance/banking/insurance
Wenzetu ktk 1st World wame recognise matakwa hayo muda mrefu na wame advance sana bila kujali mfumo huo unatolewa na imani gani
Wakati wa Kenya wanapigana kuwa champions kwenye Islamic Finance in East Africa bado sisi tunanyoosheana vidole
Wakati ule wa World Economic Crisis/Credit Crunch Pope wa wakati ule aliwahi kushauri nchi za Ulaya ziangalie Islamic Finance kama alternative solution
Kanisa Katoliki South Africa zaidi ya 1/3 ya deposit zao Wana deposit kwa Islamic Bank of South Africa
3. Kabla hata ya haya mabadiliko Divinity Ina tofauti sana na Islamic Knowledge
Divinity Iko ktk masuala ya mahusiano ya Moja kwa Moja kati ya binaadam na Muumba
Wakati Islamic Knowledge ukiacha masuala ya mahusiano ya binaadam na Muumba inazungumzia masuala yenye vionjo vya Kisheria, Kiuchumi na Kibiashara kama Zaka, Mirathi na Miamala ya Kibiashara. Hivyo basi kuoanisha masomo ya biashara/uchumi na Islamic Knowledge si kitu kibaya au kigumu
Islamic Knowledge kama lilivyo ukiacha mabadiliko ambayo yanatarajiwa kufanywa na Bakwata limekuwa somo ambalo lina mawanda mapana kiasi kwamba kijana ambaye anaweza kupata C ya Islamic anaweza akasoma somo lolote la social science akafaulu vzuri sana
Watu wanaosomea Sheria watakuwa mashahidi. Kuna Sheria 3 ==>
1 Canon Law ambazo tumerithi toka kwa Muingereza
2. Custom Law ambazo ni Sheria za Kimila
3. Islamic Law ambazo ni Sheria za Kiislam
Kwanini waweke Islamic Law tu, wasiweke na Christian Law. ??
Asilimia 90 ya Ma Sheikh tulionao ukiwapa.Mtihani wa Islamic Knowledge hata wa 0 level wanapata F. Ni somo linalohitaji arguements na logic
Divinity ndio ni nini?Hizo ni nini?
Ni Bible knowledge.Divinity ndio nini?
Mambo ya Sukuk!Islamic Banking
Duuh.... Tafsiri ya wapi hiyo ndugu?Ni Bible knowledge.
O-level ilikuwa inaitwa Bible knowledge. Advance ilikuwa inaitwaje?Duuh.... Tafsiri ya wapi hiyo ndugu?
Kwani Islamic knowledge haiwezekani kuwa ndani ya divinity?
Mnaenda hijja kidini au kiserikali? Kama ni kidini serikali inahusikaje hapo?Hizo bank kama zinahitaji watu wa hiyo fani zitajua zinawapatia wapi. Haitakiwi kutumia rasilimali za umma kufundisha watu kuhusu dini moja au nyingine.Shida yenu mnakua na chuki za ndani, sasa hivi kuna Islamic Banking moja ya dokta zinazokua kwa kasi Duniani, kwa Tanzania PBZ, CRDB, KCB NA AMANA ZOTE ZINA VITENGO VYA ISLAMIC BANKING,
PIA KWA WAISLAMU HIJJA NI.NGUZO MUHIMU NA SAFARI ZA KWENDA HIJJA ZINAWAINGIZIA WATU MAMILIONI YA SHILINGI, MTU MMOJA KWENDA HIJJA NI ZAIDI YA MILIONI KUMI ACHILIA MBALI SAFARI ZA UMRA,
SASA LAZIMA UFAHAMU DINI SIO TU IBADA BALI NI BIASHARA NA NDIO MFUMO WA MAISHA , HUWEZI KUTOFAUTISHA MAISHA NA DINI