Nini faida au hasara ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na jirani yako?

Oya vuka ilo janga
Nliwahi date na mtoto wa mwenyenyumba
Alikua na geto lake freshiiii humo humo ndani
Penzi likawa moto
Ikifika tu saa4 tunaanza kupangana namna ya kuvushana
Anakuja kwangu au naenda kwakw
Trooomba hadi sio poa

Akapat mshikaji mwingine โ€ฆakawa hatak kuja geto na hataki niende kwake na ole wake nipate dem kumleta geto siwezi

Nliishi kwa shida sana hadi siku nlio fanya maamuzi magumuu
 
hasara ni kwamba utakua umejipiga ban ya kuleta pisi kutoka mbali magetoni kuinyandua
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€asipo elewa hapo basiii


Jirani ni wa kumegana kisela tu na kusaidiana mkizidiwa mahusiano nehinehi
Hahahahahah hio kindewa sana yani
 
Hutumi nauli
 
Haupaswi kujenga au kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mpangaji mwenzako au mwanamke au mwanaume unayefanya nae kazi sehemu Moja kwa sababu mapenzi siku yakiisha Yana kuwa uadui.
 
Mbona kama vile kisa chako ni kizuri sana embu tiririka kwa uzuri

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Suley leo umekuja na Hii?
 

Hakuna hasara...

Hakuna kanuni inayozuia watu kuangukia mapenzini, hata kanuni ya gravity haiwezi zuia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ