Nini faida au hasara ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na jirani yako?


Saa Kwann ulichelewa zako amua [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kazini na nyumbani/jirani sio sehemu sahihi za kuwa na wapenzi otherwise mfunge ndoa
 
Hasara kama ni Mke/Mume/Mpenzi wa mtu.

Faida huna tofauti na Mwanaume alieoa maana msosi utaukuta home,maji ya kuoga utapelekewa,zamu za usafi ndio mamaa atasimamia show.

Hasara ingine,kama wewe ni kitombi kila sketi yako ujue hilo geto lako ndio utakua ushalitaifisha labda haonmademu uwapeleke machakani maana hapo kwako sio geto.tena Bi maza akiskia tu mtu anatembea kuelekea mlangoni kwako Ujue kamfata na mfagio.

Faida ni nyingi kuliko hasara kama umepata Pisi ya kwenda,ila hasara ni nyingi kama ulikua umemtaka kwa kuonja upite halafu mwenzako kumbe kazama, Kazi unayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…