Nini faida au hasara ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na jirani yako?

Maisha n i kupata na kushare usiogope ilimradi asiwe mchumba, mke au mpenzi wa mtu kama usalama upo kula
 
Kuwa na demu jirani ni sawa na kufungwa segerea.
 
Saa Kwann ulichelewa zako amua [emoji23][emoji23][emoji23]
Nlikua nampenda

Toto la kimasai..tall kwenda juu…
Huku nyuma sass🤓🤓🤓
Tukianza show ni bampa to bampa! Husikii neno nmechoka wala nini

Ila ndio hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…