Hapana sijajipa umuhimu ila nimefikiria jinsi dunia itakavyokua nzuri zaidi bila binadamu tuKwa binadamu ndio kiumbe cha kwanza kuwepo hapa duniani au mnajipa umuhimu usiokuwa na maana kwenye dunia.
Sio lazima kuzaa hakuna faida ya kuleta kiumbe duniani.Mmh, wanachomoaje?
Faida ni mtazamo tu wa kibinafsi.Kwani ni nini maana ya faida? Mnaposema faida mnamaanisha nini?
Wewe ielezee hiyo dunia nyingine unayoijua tofauti na hii unayoiishiWewe unongelea physical world tatizo lako limeanzia hapo
Dunia itaendelea kuwepo maana kila kiumbe ana mfumo wake wa maisha. Ndio maana unaona hii population increase na teknolojia kukua inavyozidi kuiharibu dunia..Kabisa , huwa navuta picha kizazi cha binadamu kingetoweka duniani , dunia ingekuaje🤔
Dunia ingekua sehemu nzuri na Salama sana 🤔Dunia itaendelea kuwepo maana kila kiumbe ana mfumo wake wa maisha. Ndio maana unaona hii population increase na teknolojia kukua inavyozidi kuiharibu dunia..
Lakini pia ukiangalia restrictions za uzazi China au huko kwingine ulaya ambapo hawazai sana, bado unaona hata system za kwetu tukizibadilisha bado kuna nanna dunia itaendelea kuwepo. Mfano bongo kuna wazazi wengi hawakutakiwa kuwa wazazi ila wanafyatua watoto ambao hawawezi kuwasimamia si kiuchumi, kiroho, kimakuzi wala kiakili. Mwisho wa siku akibahatisha kamoja kakapata ahueni ya maisha, ndio kanakamuliwa kuokoa ukoo mzima uliojaa watu unproductive..
HAkuna faida ndio maana tumepata watu wa ovyo kama wewe bora mshua wako angevaa ndomu.Kuna mjadala nimeuona Twitter watu wameulizwa hili swali na limekosa majibu ya maana kabisa!
View attachment 3462018
Baaasi. Meaning hakuna jibu specific unapouliza nini faida ya kuwa na watoto maana hiyo si biashara, inategemeana na wewe ni binadamu wa aina gani na namna unavyotazama maisha.Faida ni mtazamo tu wa kibinafsi.
Nyingi hususan social securityNini payoff yake?
Upo sahihi kwa 100%Narudia tena. Binadamu ni wanyama kama wanyama wengine, hatujui kwanini tuko hapa, hatujui kwanini tunazaliana, tupo tuu ili mradi siku ziende nasisi tufe tutoweke. Nje ya hapo ni kujipa moyo na kujifariji
Naongelea Dunia iliyoundwa na binadamu siyo milima, mito na mabonde. Dunia ninayoongelea ni Ile iliyoundwa na fikra za binadamu.Wewe ielezee hiyo dunia nyingine unayoijua tofauti na hii unayoiishi
Kabisa.Baaasi. Meaning hakuna jibu specific unapouliza nini faida ya kuwa na watoto maana hiyo si biashara, inategemeana na wewe ni binadamu wa aina gani na namna unavyotazama maisha.