Nini faida ya kumiliki gari?

Nini faida ya kumiliki gari?

Advice to young generation ukweli usafiri is no longer luxury it is necessity.

Muhimu angalia uwezo wako ukiona kipato chako kidogo na bado umepanga una familia unasomesha pengine una nyumba ndogo usichukue mkopo ajili ya gari kumbuka gari is another family...
Hiyo statement yako nimeielewa vizuri sana kinachotakiwa ni kuwa na subra kwa kuweka misingi mizuri ya kuna kulimiliki hilo gari bila presha ya aiana yoyote ila hapo watoto wazuri watakuwa wamekupita
 
Wanajamvi naomba tujuzane kuhusu faida ya kumiliki gari hasa kwa watu wa kipato cha chini wakati huo wakiwa na changamoto nyigi na za msingi zikiwakabili ikiwemo kutokuwa na makazi (nyumba) na bima za afya.
Kwani gari inatengenezwa kwa matumizi gani? Sasas hizo ndio faida. Acha kutuuliza maswali ambayo yana majibu tayari.

Labda ulitaka kuuliza nini faida na hasara za kumiliki gari ukiwa masikini - na ukiwa masikini gari umeipata wapi, ya urithi?
 
Maisha yamebadilika sana, kuna watu wanaishi kwa kuwaumiza wenzao. Watu kama hawa mikosi na mabalaa ikianza kuwaandana ndiyo wanajazana makanisani kutafuta unafuu. Ndiyo hapo sasa wachungaji wanapoponea na wao.
😂 😂 😂 😂 😂 😂 yaani nimecheka sana hapo mwishoni
 
Wanajamvi naomba tujuzane kuhusu faida ya kumiliki gari hasa kwa watu wa kipato cha chini wakati huo wakiwa na changamoto nyigi na za msingi zikiwakabili ikiwemo kutokuwa na makazi (nyumba) na bima za afya.
Ukipanga chumba/ nyumba ni kati ya Tsh 30- 200,000 kwa mwezi lakini kukodi gari kwa mwezi si chini ya milioni..


Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom