Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivip mkuu?Mara nyingi ukitaka umkamate demu wa kimarekani kuwa na gari nzuri
Sio wa kiafrica tu hata marekani yapo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wanajamvi naomba tujuzane kuhusu faida ya kumiliki gari hasa kwa watu wa kipato cha chini wakati huo wakiwa na changamoto nyingi na za msingi zikiwakabili ikiwemo kutokuwa na makazi (nyumba) na bima za afya.
Gari ni chombo kinacho rahisisha mambo iwapo huna hali ngumu sana,lakini gari inaweza kukuingizia pesa pia..gari ni muhimu sana kwa familia japo si kila ukitoka iwe lazima kulitumia iwapo zipo dala dala mjini,fanyia mambo yale ya msingi tu.Wanajamvi naomba tujuzane kuhusu faida ya kumiliki gari hasa kwa watu wa kipato cha chini wakati huo wakiwa na changamoto nyingi na za msingi zikiwakabili ikiwemo kutokuwa na makazi (nyumba) na bima za afya.
Hahahah ila gari inalemaza sana mkuu, mie kupanda bike au bajaji ni ishu sikuhizi.😂😂😂 si kwamba sipandi ila hata kama gari imekorofisha sitakaa siku 2 sijaipeleka service!Gari muhimu sana aisee,mimi mwenyewe naomba tu Mungu anisaidie niweze Kumiliki,hata km ikiwa ni kamkweche.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumba inataka 50M+ huku gari freshi mpaka 3.5M unaipata mkononi. Hapo utafanya opportunity cost tu!😂😂😂Gari kwanza nyumba badae
Sema hapo inatakiwa kubalance,kuna siku unatumia gari,na siku nyingine unatembea kwa mguu ili usilemae.Hahahah ila gari inalemaza sana mkuu, mie kupanda bike au bajaji ni ishu sikuhizi.[emoji23][emoji23][emoji23] si kwamba sipandi ila hata kama gari imekorofisha sitakaa siku 2 sijaipeleka service!
Bibie mwenyewe tu safari ya kwenda bila gari haiungi mkono.
yeah lazma uwe na ratiba ya tiziSema hapo inatakiwa kubalance,kuna siku unatumia gari,na siku nyingine unatembea kwa mguu ili usilemae.
Kuchukulia watoto wakaliWanajamvi naomba tujuzane kuhusu faida ya kumiliki gari hasa kwa watu wa kipato cha chini wakati huo wakiwa na changamoto nyingi na za msingi zikiwakabili ikiwemo kutokuwa na makazi (nyumba) na bima za afya.
Mkuu lakini si warembo wote ambao wanahadaika na magariKuchukulia watoto wakali
Mkuu tunajifunza kwa waliotangulia ili tunapoaenda kufanya maamzi tuwe angalau na abcd za faida na hasaraNunua kwanza ndo utajua faida zake!
............................Wengi wanaomiliki magari hapa bongo wanakuwa nayo hasa kwa ajili ya show off wachache sana wanayo kwa sababu imewalazimu kuwa nayo!!!
Kumiliki gari ili usionekane na wewe unatumia public buses huku humiliki vitu vya maana maishani kama nyumba au viwanja hapo kwa wenye akili watakuona akili huna coz mwenye gari ya mill30 ana 99.1% kurudi zero kuliko anayemiliki nyumba au kiwanja.fanya vitu vya msingi kwanza maishani ili hata ukiwa haupo duniani viwasaidie wale unaowaacha siyo unakufa unaacha Altezza imepaki CCM huku mke na watoto wapo nyumba ya kupanga i swear utatengeneza mlolongo m'baya sana wa umasikini kutoka ktk kiuno chako.
Kipaumbele ni kumiliki assets zisizohamishika kirahisi mkuu,gari zinagongwa right off mtu anabaki hohehahe in a minute ila mwenye banda lake atapata majanga yote ila mwisho wa siku anarudi kwenye kiota chake analala huku akimsubiri mwenye IST iliyogongwa aliyepanga kwake amlipe kodi apeleke wanae shule.Upo sahihi sana mkuu lakini katika maisha huwezi kuwa na kila kitu kwa wakati mmoja cha msingi hapo ni kipi kipaumbele chako
Kwa wenzetu gari ni sehemu ya maisha yao. Mfano states nyingi za USA hazina public transport, yani ukiwa huna usafiri wako basi utapanda uber mpaka basi. Public transport nyingi ni za state to state hasa hasa treni za mwendokasi...