polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,842
Gari ni hitaji muhimu katika ulimwengu wa sasa ila kuna watu bado wana mawazo ya kijima wanaamini gari ni anasaKaka wapo mtaani tunaishi nao hata parking hakuna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gari ni hitaji muhimu katika ulimwengu wa sasa ila kuna watu bado wana mawazo ya kijima wanaamini gari ni anasaKaka wapo mtaani tunaishi nao hata parking hakuna
Hakuna uhusiano kati ya gari na nyumba kila kimoja ni muhimu kwa sehemu yake ni sawa na kula na kuvaaMaisha ni nyumba jenga nyumba kwanza ukishindwa sana anzisha biashara ukishindwa kabisaa nunua gari ya biashara sio ya kuendesha ww binafsi.
Hayo ni moja ya matumizi ya pesa uliyonayo kwenye account, hata daladala, uber/bolt, boda boda unatumia hela kutoka kwenye account yako.Gari ni liability kama matumizi yake hayatakunufaisha kiuchumi. You will take money from your account kununua spear na mafuta always...ila kama utalitumia kubeba abiria au transportation service liability inapungua maana litajiendesha lenyewe huku likikuachia faida kwenye account yako.
Maskini anamiliki hela za kununua gari bado unamwita maskini au sababu bado yu mpangaji, kukosa pakingi haimaanishi hastahil kumiliki gari, nenda goba huko, watu wanamilii majumba na gari haifiki kwake hasa kipindi cha mvua.Kaka wapo mtaani tunaishi nao hata parking hakuna
Kikubwa wanagongeka😂Hayo ni moja ya matumizi ya pesa uliyonayo kwenye account, hata daladala, uber/bolt, boda boda unatumia hela kutoka kwenye account yako.
Ila tangia utoto wako mpaka umri ulionao leo, unaweza taja kituo cha mafuta kilicholipuka,.Kwa wenye nazo hilo swali ni sawa na kuuliza faida ya kuwa na miguu.
Hapa kitaa wasio na parking wanaacha magari kituo cha mafuta,sijajua labda hata vichwani hakuna nafasi ya kuengeshea ubongo.
Kituo cha mafuta ni wakati wowote kinanuka ndiyo maana vinakatazwa kuwa kwenye makazi ya watu ama kuwa karibu karibu halafu nyinyi mnaacha magari pale.
Labda mie sielewi wenzangu mna bima kubwa kubwa.
1.Mimi dereva wa taalumaWanajamvi naomba tujuzane kuhusu faida ya kumiliki gari hasa kwa watu wa kipato cha chini wakati huo wakiwa na changamoto nyingi na za msingi zikiwakabili ikiwemo kutokuwa na makazi (nyumba) na bima za afya.
Kama mtu ameweza kupata pesa ya kumiliki gari basi huyo ana ela si masikini kivile.Kaka wapo mtaani tunaishi nao hata parking hakuna
Ila tangia utoto wako mpaka umri ulionao leo, unaweza taja kituo cha mafuta kilicholipuka,.
Ila ndani ya miaka mitano ya maisha yako, matukio ya nyumba kuungua moto umeshasikia mara ngapi.
mimi hii ya kupark gari kituo cha mafuta halafu unaenda zako nyumbani kulala inanipaga ukakasi sana. Unapataje usingizi na gari imepark petrol station.Hapa kitaa wasio na parking wanaacha magari kituo cha mafuta
Ushamba huoMaisha ni nyumba jenga nyumba kwanza ukishindwa sana anzisha biashara ukishindwa kabisaa nunua gari ya biashara sio ya kuendesha ww binafsi.
Hakuna gari inayoitwa kiberiti, na hakuna gari inayoruhusiwa kuingia barabaran Bila kupitia viwango vya kimataifa vya ubora ISO, nyie ndo malimbukeni unaozani kumiliki SUV ndo kufanikiwa sn kimaisha (ushamba). Gari n kama nguo au chakula, kila mtu huvaa na kula chakula apendacho..Gari nalotumia limebakisha mwezi lifike mwaka na nimebadili tu brake pads na service ya kawaida mara mbili tu.
Na bado linaonekana jipya kuliko magari ya mwezi uliyopita. Kwa lugha nyepesi, matatizo mengi ya magari ni yakujitafutia tu.
1. Unaendesha kiberiti alafu unaleta league na magari.
2. Umenunua gari lenye ground clearance ndogo alafu unataka kumzidi akili aliyetengeneza kwa kuongeza makorokoro.
3. Unapuuzia service au unaweka parts zisizo sahihi. Napataga shida sana wakati wa service, nataka 5w30 muuzaji anataka kuniuzia 5w50. Fundi naye anataka kuweka dumu zima kwenye engine bila kuzingatia kiasi cha oil kilicho oneshwa kwenye dipstick.
Kwa kipindi kama hichi cha corona magari ya faida zaidi maana na kuhakikishia kufika sehemu husika ukiwa salama kuliko ukiwa kwenye basi, hupati changamoto za level seat na hamna foleni njiani.
Pia kwa kazi yangu nayofanya inanirahisishia kusambaza products zangu
Mkuu umemiss point ya msingi.Hakuna gari inayoitwa kiberiti, na hakuna gari inayoruhusiwa kuingia barabaran Bila kupitia viwango vya kimataifa vya ubora ISO, nyie ndo malimbukeni unaozani kumiliki SUV ndo kufanikiwa sn kimaisha (ushamba). Gari n kama nguo au chakula, kila mtu huvaa na kula chakula apendacho..
Unaojikuta Mjanja mwenyewe kwa pumba unazoongea, eti nlkuwa na uwezo wa kumiliki toka 22,Nashukuru kutokana na biashara mbalimbali kwenda vizuri nina uwezo wa kununua gari cash toka nikiwa na miaka 22. Sasa nina miaka 25 ila bado sijafanya hivyo kwa sababu kuu mbili. Moja gari itaongeza ugumu katika maisha yangu. Nitahitaji kudeal na vitu kama service na uoshaji. Kufikiria njia zenye foleni na shortcut.
Gharama za kutembeza majamaa kwa ajili ya outing ikiwemo matumizi katika hizo outing. Vyote hivi vingefanga maisha yangu yawe na mambo mengi kuliko ninavyohitaji. Badala ya complication hizi natumia zangu daladala pamoja na uber pale inapobidi.
Sababu ya pili ni kuwa pesa ya kutumia katika gari ingenipotezea faida kutokana na biashara au project nyingine. Mfano katika mwaka uliopita 10m katika mfuko wa UTT Liquid Fund inaleta faida ya zaidi ya 1m bila kunyanyua kidole. Gari linashuka thamani dakika hiyohiyo baada ya kulinunua.
Hehe jibu hoja kwa hoja... Update ni kuwa nina gari sasa. Positives ni freedom na pride imeongezeka kidogo. Negative nilizotaja nilipoandika hili zote zipo thou kwa nature ya biashara zangu za sasa sina jinsi positives outweigh negatives.Unaojikuta Mjanja mwenyewe kwa pumba unazoongea, eti nlkuwa na uwezo wa kumiliki toka 22,
Wonder shall never end, Yan uwe successful kwny business then useme gari n anasa na uopt kupanda ubber?
Nonsense, tafuta hela umiliki hata passo ya 4 million uwai mishe zako town, na sio kupigana vikimbo na mama zako kwny milango ya mwendo kasi….
Na hiyo biashara itakuwa biashara y kuuza ngozi vingunguti