Nini faida ya kumiliki gari?

Nini faida ya kumiliki gari?

Nashukuru kutokana na biashara mbalimbali kwenda vizuri nina uwezo wa kununua gari cash toka nikiwa na miaka 22. Sasa nina miaka 25 ila bado sijafanya hivyo kwa sababu kuu mbili. Moja gari itaongeza ugumu katika maisha yangu. Nitahitaji kudeal na vitu kama service na uoshaji. Kufikiria njia zenye foleni na shortcut.

Gharama za kutembeza majamaa kwa ajili ya outing ikiwemo matumizi katika hizo outing. Vyote hivi vingefanga maisha yangu yawe na mambo mengi kuliko ninavyohitaji. Badala ya complication hizi natumia zangu daladala pamoja na uber pale inapobidi.

Sababu ya pili ni kuwa pesa ya kutumia katika gari ingenipotezea faida kutokana na biashara au project nyingine. Mfano katika mwaka uliopita 10m katika mfuko wa UTT Liquid Fund inaleta faida ya zaidi ya 1m bila kunyanyua kidole. Gari linashuka thamani dakika hiyohiyo baada ya kulinunua.
 
Nashukuru kutokana na biashara mbalimbali kwenda vizuri nina uwezo wa kununua gari cash toka nikiwa na miaka 22. Sasa nina miaka 25 ila bado sijafanya hivyo kwa sababu kuu mbili. Moja gari itaongeza ugumu katika maisha yangu. Nitahitaji kudeal na vitu kama service na uoshaji. Kufikiria njia zenye foleni na shortcut. Gharama za kutembeza majamaa kwa ajili ya outing ikiwemo matumizi katika hizo outing. Vyote hivi vingefanga maisha yangu yawe na mambo mengi kuliko ninavyohitaji. Badala ya complication hizi natumia zangu daladala pamoja na uber pale inapobidi.

Sababu ya pili ni kuwa pesa ya kutumia katika gari ingenipotezea faida kutokana na biashara au project nyingine. Mfano katika mwaka uliopita 10m katika mfuko wa UTT Liquid Fund inaleta faida ya zaidi ya 1m bila kunyanyua kidole. Gari linashuka thamani dakika hiyohiyo baada ya kulinunua.
Naona hapo umeelezea upande mmoja hasara pekee jaribu pia kuangalia faida ambazo unaweza kuzipata ukiwa na gari lako mwenyewe
 
Nashukuru kutokana na biashara mbalimbali kwenda vizuri nina uwezo wa kununua gari cash toka nikiwa na miaka 22. Sasa nina miaka 25 ila bado sijafanya hivyo kwa sababu kuu mbili. Moja gari itaongeza ugumu katika maisha yangu. Nitahitaji kudeal na vitu kama service na uoshaji. Kufikiria njia zenye foleni na shortcut.

Gharama za kutembeza majamaa kwa ajili ya outing ikiwemo matumizi katika hizo outing. Vyote hivi vingefanga maisha yangu yawe na mambo mengi kuliko ninavyohitaji. Badala ya complication hizi natumia zangu daladala pamoja na uber pale inapobidi.

Sababu ya pili ni kuwa pesa ya kutumia katika gari ingenipotezea faida kutokana na biashara au project nyingine. Mfano katika mwaka uliopita 10m katika mfuko wa UTT Liquid Fund inaleta faida ya zaidi ya 1m bila kunyanyua kidole. Gari linashuka thamani dakika hiyohiyo baada ya kulinunua.
Huna pesa ya kununua gari mkuu, huwez tambua faida ya kumiliki gari pia jitahd ununue bodaboda walau naww uende shell
 
Wanajamvi naomba tujuzane kuhusu faida ya kumiliki gari hasa kwa watu wa kipato cha chini wakati huo wakiwa na changamoto nyingi na za msingi zikiwakabili ikiwemo kutokuwa na makazi (nyumba) na bima za afya.
Dunia ya leo tangu tu tulipoianza karne ya 21, Gari limekuwa ni hitaji la msingi kwa kwa kila mtu kama ilivyo nyumba,bima ya afya na mengineyo..

Hali duni ndiyo zinafanya watu wengi wasiweze kumiliki gari
 
Nashukuru kutokana na biashara mbalimbali kwenda vizuri nina uwezo wa kununua gari cash toka nikiwa na miaka 22. Sasa nina miaka 25 ila bado sijafanya hivyo kwa sababu kuu mbili. Moja gari itaongeza ugumu katika maisha yangu. Nitahitaji kudeal na vitu kama service na uoshaji. Kufikiria njia zenye foleni na shortcut.

Gharama za kutembeza majamaa kwa ajili ya outing ikiwemo matumizi katika hizo outing. Vyote hivi vingefanga maisha yangu yawe na mambo mengi kuliko ninavyohitaji. Badala ya complication hizi natumia zangu daladala pamoja na uber pale inapobidi.

Sababu ya pili ni kuwa pesa ya kutumia katika gari ingenipotezea faida kutokana na biashara au project nyingine. Mfano katika mwaka uliopita 10m katika mfuko wa UTT Liquid Fund inaleta faida ya zaidi ya 1m bila kunyanyua kidole. Gari linashuka thamani dakika hiyohiyo baada ya kulinunua.
Hujawa na uwezo wa kumiliki gari bado, hizo hasara ulizotaja ni chache sana ukilinganisha na faida.
 
Mimi nilishaapa kwa mungu kabisa kama ye ndo mtoaji magari kwa binaadamu,mi sitaki hata liwe range rover, ila tu kama anagawa pikipiki anipe nzuri na baskeli nzuri, magari chukueni nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Gwajima mzee wa mauno na kuunguruma akipiga bao alisema maneno yanayotaka kufanana na haya..

Alisema, hawezi kugombe uraisi au ubunge hivyo ni vyeo vidogo...

Lakini juzi kachukua fomu..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Nashukuru kutokana na biashara mbalimbali kwenda vizuri nina uwezo wa kununua gari cash toka nikiwa na miaka 22. Sasa nina miaka 25 ila bado sijafanya hivyo kwa sababu kuu mbili. Moja gari itaongeza ugumu katika maisha yangu. Nitahitaji kudeal na vitu kama service na uoshaji. Kufikiria njia zenye foleni na shortcut.

Gharama za kutembeza majamaa kwa ajili ya outing ikiwemo matumizi katika hizo outing. Vyote hivi vingefanga maisha yangu yawe na mambo mengi kuliko ninavyohitaji. Badala ya complication hizi natumia zangu daladala pamoja na uber pale inapobidi.

Sababu ya pili ni kuwa pesa ya kutumia katika gari ingenipotezea faida kutokana na biashara au project nyingine. Mfano katika mwaka uliopita 10m katika mfuko wa UTT Liquid Fund inaleta faida ya zaidi ya 1m bila kunyanyua kidole. Gari linashuka thamani dakika hiyohiyo baada ya kulinunua.
Hyo ni return ya mwaka mzima unapata 1m unapiga vigelegele wewe ni mzma kweli si bora ungechukua fixed deposit kwenye banks aisee😂😂
 
Nashukuru kutokana na biashara mbalimbali kwenda vizuri nina uwezo wa kununua gari cash toka nikiwa na miaka 22. Sasa nina miaka 25 ila bado sijafanya hivyo kwa sababu kuu mbili. Moja gari itaongeza ugumu katika maisha yangu. Nitahitaji kudeal na vitu kama service na uoshaji. Kufikiria njia zenye foleni na shortcut.

Gharama za kutembeza majamaa kwa ajili ya outing ikiwemo matumizi katika hizo outing. Vyote hivi vingefanga maisha yangu yawe na mambo mengi kuliko ninavyohitaji. Badala ya complication hizi natumia zangu daladala pamoja na uber pale inapobidi.

Sababu ya pili ni kuwa pesa ya kutumia katika gari ingenipotezea faida kutokana na biashara au project nyingine. Mfano katika mwaka uliopita 10m katika mfuko wa UTT Liquid Fund inaleta faida ya zaidi ya 1m bila kunyanyua kidole. Gari linashuka thamani dakika hiyohiyo baada ya kulinunua.
Kiufupi bado una kipato cha kuunga unga acha visingizio, mara mafuta mara service....
 
Halafu nitoe ushauri mwingine tena.Hata ukiona umepata uwezo wa kununua gari angalia pia uwezo wako wa kulihudumia usimuige Rwegoshora sababu ana Range na wewe unataka Range.
Chagua gari ambalo lina CC ambazo zinaendana na kipato chako.
Huwezi jua Rwegoshora labda ni fisadi lakini wewe unategemea kazi ya kuajiriwa kujaza mafuta.
Ikiwezekana iga tabia za Wachaga na Wahindi kuwa gari ikusaidie kwenda sehemu ila sio kwenda sehemu kukonga watu.
Yuko mtu namfahamu ana gari zuri V8 lakini muda mwingi amelipaki nyumbani nikaja kugundua linakunywa mafuta kama shetani na yeye alilichukua kwa mkopo.Kumbuka V8 kwenye tank kama kuna lita 5 za mafuta linagoma kuwaka ila kwa wewe mwenye IST unaweza kwenda kilomita 60
Ukiwa na IST,RAV4 Ukaweka mafuta na mwenzio akiwa na V8 akaweka mafuta wote mkisema mnakwenda kula xmass kijijini kiukweli wote mtafika japo mwenzio atakutangulia ila sasa unaweza kuta mwenzako anaugulia maumivu atarudije mafuta hawezi weka.
Mfano mwingine kifaa flani kikaharibika wewe utatumia 60,000 kukinunua yeye atatumia milioni moja.
 
Wanajamvi naomba tujuzane kuhusu faida ya kumiliki gari hasa kwa watu wa kipato cha chini wakati huo wakiwa na changamoto nyingi na za msingi zikiwakabili ikiwemo kutokuwa na makazi (nyumba) na bima za afya.
Ku....t.....m...ea.
 
Back
Top Bottom