Nini faida ya kumiliki gari?

Hayo ni moja ya matumizi ya pesa uliyonayo kwenye account, hata daladala, uber/bolt, boda boda unatumia hela kutoka kwenye account yako.
 
Kwa wenye nazo hilo swali ni sawa na kuuliza faida ya kuwa na miguu.

Hapa kitaa wasio na parking wanaacha magari kituo cha mafuta,sijajua labda hata vichwani hakuna nafasi ya kuengeshea ubongo.

Kituo cha mafuta ni wakati wowote kinanuka ndiyo maana vinakatazwa kuwa kwenye makazi ya watu ama kuwa karibu karibu halafu nyinyi mnaacha magari pale.

Labda mie sielewi wenzangu mna bima kubwa kubwa.
 
Ila tangia utoto wako mpaka umri ulionao leo, unaweza taja kituo cha mafuta kilicholipuka,.

Ila ndani ya miaka mitano ya maisha yako, matukio ya nyumba kuungua moto umeshasikia mara ngapi.
 
Wanajamvi naomba tujuzane kuhusu faida ya kumiliki gari hasa kwa watu wa kipato cha chini wakati huo wakiwa na changamoto nyingi na za msingi zikiwakabili ikiwemo kutokuwa na makazi (nyumba) na bima za afya.
1.Mimi dereva wa taaluma

2. Nikiwa sina kazi mikataba imekata na hakuna miradi, gari yangu ndogo inanisaidia kupiga Bolt, Uber huko mjini na ninapata pesa ya chakula

3. Kuna siku ilitokea changamoto ya mtoto kuugua usiku wa saa nane, nasema kweli kwamba kama nisingekua na gari hiyo siku na nikaenda ule mwendo wa kupaa mpaka hospital, nadhani mtoto yule nisingekua nae.

NB: Kila mtu ana kitu anacho penda na anavyoona yeye kua inafaa kwenye maisha yake, gari ni sehemu mojawapo ya kumpa huduma mmiliki
 
Kaka wapo mtaani tunaishi nao hata parking hakuna
Kama mtu ameweza kupata pesa ya kumiliki gari basi huyo ana ela si masikini kivile.
Nyumba unaweza jenga kidogokidogo lakini gari kwa hapa kwetu inahitaji cash kununua
 
Hapa kitaa wasio na parking wanaacha magari kituo cha mafuta
mimi hii ya kupark gari kituo cha mafuta halafu unaenda zako nyumbani kulala inanipaga ukakasi sana. Unapataje usingizi na gari imepark petrol station.

Kuna mwaka kituo flani cha mafuta pale kimara kiliwaka moto mzee mmoja alipark gari yake pale tulisikia alizimia kwa presha. Bahati mzuri moto haukuifikia ile gari.
 
Hakuna gari inayoitwa kiberiti, na hakuna gari inayoruhusiwa kuingia barabaran Bila kupitia viwango vya kimataifa vya ubora ISO, nyie ndo malimbukeni unaozani kumiliki SUV ndo kufanikiwa sn kimaisha (ushamba). Gari n kama nguo au chakula, kila mtu huvaa na kula chakula apendacho..
 
Mkuu umemiss point ya msingi.
 
Unaojikuta Mjanja mwenyewe kwa pumba unazoongea, eti nlkuwa na uwezo wa kumiliki toka 22,

Wonder shall never end, Yan uwe successful kwny business then useme gari n anasa na uopt kupanda ubber?

Nonsense, tafuta hela umiliki hata passo ya 4 million uwai mishe zako town, na sio kupigana vikimbo na mama zako kwny milango ya mwendo kasi….

Na hiyo biashara itakuwa biashara y kuuza ngozi vingunguti
 
Hehe jibu hoja kwa hoja... Update ni kuwa nina gari sasa. Positives ni freedom na pride imeongezeka kidogo. Negative nilizotaja nilipoandika hili zote zipo thou kwa nature ya biashara zangu za sasa sina jinsi positives outweigh negatives.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…