Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Lengo ni Kupunguza uzito na kuondoa kitambi, sasa nafanya mazoezi uzito unapungua kidogo mno
na kitambi kinaendelea kuwepo ninachofaidika ni wepesi wa kutembea bila kuhema ovyo tu.
Kuna kitu utakuwa hufanyi sawa.
Kanuni ya kwanza ni kuhakikisha calories unazoingiza mwilini ni chache kuliko unazozitoa.
Na hilo linaanzia kwenye aina ya vyakula unavyokula na vinywaji unavyokunywa.
Baada ya hapo sasa ndo unaangalia ni mazoezi yepi hasa kwa body type yako yatayokufaa.