Nini faida ya mazoezi, nifanye mazoezi gani kwa wakati gani ili kutatua tatizo gani?

Nini faida ya mazoezi, nifanye mazoezi gani kwa wakati gani ili kutatua tatizo gani?

Lengo ni Kupunguza uzito na kuondoa kitambi, sasa nafanya mazoezi uzito unapungua kidogo mno
na kitambi kinaendelea kuwepo ninachofaidika ni wepesi wa kutembea bila kuhema ovyo tu.

Kuna kitu utakuwa hufanyi sawa.

Kanuni ya kwanza ni kuhakikisha calories unazoingiza mwilini ni chache kuliko unazozitoa.

Na hilo linaanzia kwenye aina ya vyakula unavyokula na vinywaji unavyokunywa.

Baada ya hapo sasa ndo unaangalia ni mazoezi yepi hasa kwa body type yako yatayokufaa.
 
Ni mpenzi wa Chapati, Supu ya Mbuzi, wali na soda soda hasa Energy nipunguze kipi hapo?
 
Ni mpenzi wa Chapati, Supu ya Mbuzi, wali na soda soda hasa Energy nipunguze kipi hapo?

Achana kabisa na soda. Achana na energy drinks kama nazo unazinywa.

Chapati zina mafuta. Wewe unakula ngapi?

Supu ya mbuzi nayo naamini huwa ina mafuta.

Kwenye nyama nakushauri achana na nyama zenye mafuta mengi.

Kwenye nyama, hususan ya ng’ombe, ni rahisi kupata isiyo na mafuta kabisa. Hiyo yaweza kukufaa.

Ongeza na mazoezi. Kimbia. Ruka kamba.

Fanya kazi za nyumbani kama kufyeka majani, kufanya usafi, nk.

Pia tembea. Sehemu ambazo unaweza kwenda kwa miguu basi tembea. Usiende kwa usafiri.

Kumbuka, hizo activities zote lazima ziende sambamba na dieting.

Kwa hiyo nidhamu [discipline] ni kila kitu.
 
General fitness na kufukuza uzee.

1.Begin with stretching and flexibility exercise
2.End with low intensity walk jogging or cycling( 30 min to 1hour).
 
Achana kabisa na soda. Achana na energy drinks kama nazo unazinywa.

Chapati zina mafuta. Wewe unakula ngapi?

Supu ya mbuzi nayo naamini huwa ina mafuta.

Kwenye nyama nakushauri achana na nyama zenye mafuta mengi.

Kwenye nyama, hususan ya ng’ombe, ni rahisi kupata isiyo na mafuta kabisa. Hiyo yaweza kukufaa.

Ongeza na mazoezi. Kimbia. Ruka kamba.

Fanya kazi za nyumbani kama kufyeka majani, kufanya usafi, nk.

Pia tembea. Sehemu ambazo unaweza kwenda kwa miguu basi tembea. Usiende kwa usafiri.

Kumbuka, hizo activities zote lazima ziende sambamba na dieting.

Kwa hiyo nidhamu [discipline] ni kila kitu.

Umeongea vema. kuna jamaa yangu humu ndani natamani aisome hii comment yako.
 
Mkuu kama hutajali nifundishe hilo la SQUIRT.. nipo tayari kukufata ulipo...linasaidia n mwilini😊😊..nasubiri majibu
Njoo nikuelekeze maana mi limensaidia sana yani. Sahivi no kitambi kabisa kwa ajili ya zoezi la SQUIRT! Na stamina imeongezeka kama una time Next weekend itakuwa good!
 
Njoo nikuelekeze maana mi limensaidia sana yani. Sahivi no kitambi kabisa kwa ajili ya zoezi la SQUIRT! Na stamina imeongezeka kama una time Next weekend itakuwa good!

😂😂😂😂😂... km squirt linatoa kitambi lazima nije àisee..unisquirtishe😂😂😂
 
Habari wakuu, Lengo la kuweka thread hii ni kuwaomba wataalamu wa mazoezi ya viungo kutupatia
ufafanuzi zaidi juu ya mazoezi ya aina mbalimbali, mazoezi yenye faida na faida zake na mazoezi yenye
hasara (kama zipo) ni mazoezi gani na hasara zake ni zipi.

Mfano. Nilikuwa nafanya zoezi la kukimbia km 5 kila siku, faida ninayoiona ni wepesi, uchangamfu wa mwili na
kuepukana na ugonjwa wa mafua.

Nimekuwa nafanya zoezi la kuruka kichurachura lakini sijawahi kufahamu faida yake, nimepiga pushapu
zaidi ya kutuna mikono na kuwatisha watu bado sijafahamu faida yake.

Nimewahi kufanya zoezi bila shaka linaitwa 'skwati' nalo hata sijaelewa.

Nimesikia kuna mazoezi yanasaidia kuongeza nguvu za kiume, kuondoa kitambi n.k lakini bado sifafahamu
ni mazoezi ya aina gani.

WATAALAMU WA MAZOEZI NA WANA JF WENGINE AMBAO MNA UELEWA WA MAZOEZI NAWAOMBENI TUPEANE
UZOEFU KWA KILE TUNACHOKIFAHAMU.View attachment 1006134
Unataka matokeo yapi, uambiwe ufanye nin...

Ila mazoez ukitaka yawe kama tiba, inatakiwa huwe na ratiba endelevu nayo, ulaji sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zoezi la squatting ni zuri.Linasaidia kuongeza makalio na nguvu za miguu.
 
Zoezi la squatting ni zuri.Linasaidia kuongeza makalio na nguvu za miguu.
Kama linaongeza makalio bila shaka hili si zuri kwa wanaume au sio mdau?
 
Hiyo picha ya huyo dada imetutoa kwenye makusudio kabisa sie wengine. Mtoto wa kizungu na kishuzi kama hicho dah !!!!
 
Back
Top Bottom