Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Lengo ni Kupunguza uzito na kuondoa kitambi, sasa nafanya mazoezi uzito unapungua kidogo mno
na kitambi kinaendelea kuwepo ninachofaidika ni wepesi wa kutembea bila kuhema ovyo tu.
Kuna kitu utakuwa hufanyi sawa.
Kanuni ya kwanza ni kuhakikisha calories unazoingiza mwilini ni chache kuliko unazozitoa.
Na hilo linaanzia kwenye aina ya vyakula unavyokula na vinywaji unavyokunywa.
Baada ya hapo sasa ndo unaangalia ni mazoezi yepi hasa kwa body type yako yatayokufaa.
Ni mpenzi wa Chapati, Supu ya Mbuzi, wali na soda soda hasa Energy nipunguze kipi hapo?
Achana kabisa na soda. Achana na energy drinks kama nazo unazinywa.
Chapati zina mafuta. Wewe unakula ngapi?
Supu ya mbuzi nayo naamini huwa ina mafuta.
Kwenye nyama nakushauri achana na nyama zenye mafuta mengi.
Kwenye nyama, hususan ya ngβombe, ni rahisi kupata isiyo na mafuta kabisa. Hiyo yaweza kukufaa.
Ongeza na mazoezi. Kimbia. Ruka kamba.
Fanya kazi za nyumbani kama kufyeka majani, kufanya usafi, nk.
Pia tembea. Sehemu ambazo unaweza kwenda kwa miguu basi tembea. Usiende kwa usafiri.
Kumbuka, hizo activities zote lazima ziende sambamba na dieting.
Kwa hiyo nidhamu [discipline] ni kila kitu.
Njoo nikuelekeze maana mi limensaidia sana yani. Sahivi no kitambi kabisa kwa ajili ya zoezi la SQUIRT! Na stamina imeongezeka kama una time Next weekend itakuwa good!Mkuu kama hutajali nifundishe hilo la SQUIRT.. nipo tayari kukufata ulipo...linasaidia n mwiliniππ..nasubiri majibu
Njoo nikuelekeze maana mi limensaidia sana yani. Sahivi no kitambi kabisa kwa ajili ya zoezi la SQUIRT! Na stamina imeongezeka kama una time Next weekend itakuwa good!
Karibu sana mamii, hakika utafurahiπππππ... km squirt linatoa kitambi lazima nije Γ isee..unisquirtisheπππ
ππππͺKaribu sana mamii, hakika utafurahi
Unataka matokeo yapi, uambiwe ufanye nin...Habari wakuu, Lengo la kuweka thread hii ni kuwaomba wataalamu wa mazoezi ya viungo kutupatia
ufafanuzi zaidi juu ya mazoezi ya aina mbalimbali, mazoezi yenye faida na faida zake na mazoezi yenye
hasara (kama zipo) ni mazoezi gani na hasara zake ni zipi.
Mfano. Nilikuwa nafanya zoezi la kukimbia km 5 kila siku, faida ninayoiona ni wepesi, uchangamfu wa mwili na
kuepukana na ugonjwa wa mafua.
Nimekuwa nafanya zoezi la kuruka kichurachura lakini sijawahi kufahamu faida yake, nimepiga pushapu
zaidi ya kutuna mikono na kuwatisha watu bado sijafahamu faida yake.
Nimewahi kufanya zoezi bila shaka linaitwa 'skwati' nalo hata sijaelewa.
Nimesikia kuna mazoezi yanasaidia kuongeza nguvu za kiume, kuondoa kitambi n.k lakini bado sifafahamu
ni mazoezi ya aina gani.
WATAALAMU WA MAZOEZI NA WANA JF WENGINE AMBAO MNA UELEWA WA MAZOEZI NAWAOMBENI TUPEANE
UZOEFU KWA KILE TUNACHOKIFAHAMU.View attachment 1006134
Nimetia timu[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]...kanisaidia kweli maana mi na soda ni kama chupi na takrooooUmeongea vema. kuna jamaa yangu humu ndani natamani aisome hii comment yako.
Naomba kujua mazoezi ya kuongeza mwili.Faida Za Mazoezi zipo
Nyingi
Inategemea una lengo gani?
Mf. Ukitaka kuongeza Mwili unaweza kufanya mazoezi Na ukitaka kupunguza mwili Pia unafanya mazoezi
Ni hatari.πKama linaongeza makalio bila shaka hili si zuri kwa wanaume au sio mdau?
Umeona soda tu? mengine maana nikikuelezega huaminiππNimetia timu[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]...kanisaidia kweli maana mi na soda ni kama chupi na takroooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeacha bana...trust meUmeona soda tu? mengine maana nikikuelezega huaminiππ