Nini hasa chimbuko la CHADEMA kupwaya karibu katika kila idara kwenye siasa za Tanzania?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Ni ombwe la uongozi na ukata wa pesa tu au kuna jingine?

Kwa mfano,
Uropokaji umekidumaza mno kisiasa chama hicho cha siasa nchini, Lakini pia kufanya siasa za kutegemea zaidi artificial imotional scripts za drama ili kugain public sympathy zimeifubaza sana chadema, na kuifanya ikose mvuto, agenda mahususi, ushawishi wa kisera na nguvu ya hoja kuvutia wafuasi wengi zaidi. Hali hiyo imezidisha kikifanya chama hicho cha siasa nchini kupotea kabisa kwenye ramani ya siasa za hoja ,sera na agenda Tanzania.

Kuingia na kujificha kwa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ndani ya chama hicho, kumechafua taswira nzima ya chama hicho, na kufanya wanasiasa wengi makini na wenye maono ya mbali, kukikimbia na kujitenga na chama hicho, na kuacha kabisa kuifuatilia au kuishabikia kwasababu ya kutumika kama kichaka cha ukoloni mambo leo.

Uzuri ni kwamba,
hakuna mTanzania mwenye imani nacho tena, hasa baada ya nia yao ovu ya kuliuza taifa kwa mabwenyenye ya magharibi kujidhihirisha na kujibainisha wazi wazi kila mahali kwa kila mTanzania.

Chadema masalia,
imebaki tu kufanya mikutano ya hadhara ya kuomba kuchangiwa pesa za matumizi kwaajili ya kuwasitiri na kuwasaidia viongozi wake wa kitaifa, ambao wengi wao hawana ajira, na wanaofedheheka mno mitaani kwao kwa mikopo ya vikoba na kausha damu.

Cha kushangaza zaidi,
hata adui yao mkubwa kwa sasa, sio tena chama tawala, bali ni vyama vya siasa vya upinzani hasa vyenye agenda tofauti na wao.

Kama mdau wa siasa za Tanzania,
unadhani nini kifanyike ili angalau chadema wapate tena angalau wafuasi wapya wachache, maana kiukweli Chadema masalia imedumaa na hakuna mwananchi mpya anajiunga nayo. Inachukiwa na inaogopwa kama na kila mTanzania kama EBOLA.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
unadhani nini kifanyike ili angalau chadema wapate tena angalau wafuasi wapya wachache,
maana kiukweli Chadema masalia imedumaa na hakuna mwananchi mpya anajiunga nayo. Inachukiwa na inaogopwa kama na kila mTanzania kama EBOLA.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Waulize ccm waliogopa nini kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa Ikiwa chadema imekufa?
 
Tatizo ni Serikali ya CCM ambayo kwa miaka mingi inafanya kila jitihada kuiua CDM.
 
Chadema si ilishakufa,mbona haikauki mdomoni mwenu kila dk.
 
HKTJPosWMAA9514.jpeg
 
Kuna sehemu nimekuambia nimeupiga mwingi? Kulikuwa na watetezi wengi wa ccm humu jamii forum ila wametoweka wenyewe unajua kwanini?
huo si ushirikina mama?
watoweke kivipi kwa mfano?

Yaani mtu aingie JF kwa hiyari yake halafu iwe ni kosa kuamua kua kuwa bize na mambo mengine, halafu wewe uje na ushirikina wako kwamba wametoweka?

huo si pure ushirikina wa kimaskini kabisa aise?
Huenda na wew ni miongoni mwa wanachadema mliopwaya kila idara right?🐒
 
Ni ombwe la uongozi na ukata wa pesa tu au kuna jingine?

Kwa mfano,
Uropokaji umekidumaza mno kisiasa chama hicho cha siasa nchini, Lakini pia kufanya siasa za kutegemea zaidi artificial imotional scripts za drama ili kugain public sympathy zimeifubaza sana chadema, na kuifanya ikose mvuto, agenda mahususi, ushawishi wa kisera na nguvu ya hoja kuvutia wafuasi wengi zaidi. Hali hiyo imezidisha kikifanya chama hicho cha siasa nchini kupotea kabisa kwenye ramani ya siasa za hoja ,sera na agenda Tanzania.

Kuingia na kujificha kwa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ndani ya chama hicho, kumechafua taswira nzima ya chama hicho, na kufanya wanasiasa wengi makini na wenye maono ya mbali, kukikimbia na kujitenga na chama hicho, na kuacha kabisa kuifuatilia au kuishabikia kwasababu ya kutumika kama kichaka cha ukoloni mambo leo.

Uzuri ni kwamba,
hakuna mTanzania mwenye imani nacho tena, hasa baada ya nia yao ovu ya kuliuza taifa kwa mabwenyenye ya magharibi kujidhihirisha na kujibainisha wazi wazi kila mahali kwa kila mTanzania.

Chadema masalia,
imebaki tu kufanya mikutano ya hadhara ya kuomba kuchangiwa pesa za matumizi kwaajili ya kuwasitiri na kuwasaidia viongozi wake wa kitaifa, ambao wengi wao hawana ajira, na wanaofedheheka mno mitaani kwao kwa mikopo ya vikoba na kausha damu.

Cha kushangaza zaidi,
hata adui yao mkubwa kwa sasa, sio tena chama tawala, bali ni vyama vya siasa vya upinzani hasa vyenye agenda tofauti na wao.

Kama mdau wa siasa za Tanzania,
unadhani nini kifanyike ili angalau chadema wapate tena angalau wafuasi wapya wachache, maana kiukweli Chadema masalia imedumaa na hakuna mwananchi mpya anajiunga nayo. Inachukiwa na inaogopwa kama na kila mTanzania kama EBOLA.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Mzee unapambana na chadema! Huko ccm si mlishatoa report chadema ilikufa? Nini tena mnapambana nacho? Au mzimu wa cdm? Chama chenyewe hakikuwa kwenye ballot last 2 years lakini kinawasumbua sana. Poleni
 
Gentleman,
kama mtaalamu na mbobevu kwenye masuala ya siasa, sina haja ya kupambana na yoyote yule.

wajibu wangu mkubwa ni kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu. Na ndio maana nimeibua changamoto hiyo ya kisiasa ndani ya chadema,

au wew unaona kuibua changamoto kama hiyo kwa kuisadia chadema yenyewe, ni mapambano gentleman?🐒
 
Back
Top Bottom