Nini hasa chimbuko la CHADEMA kupwaya karibu katika kila idara kwenye siasa za Tanzania?

Kama kweli ingekua inapwaya tundulisu asingekua lupango muda huu
gentleman,
korokoroni ni maalumu kwa wahalifu wote pamoja na wakiuka sheria za nchi.

na hilo halitaachwa kusimamiwa kikamilifu humu nchini.
all criminals belongs to korokoroni šŸ’
 
Ujira Mgumu sana kijana.
FB_IMG_17809790012941607.jpg
 
no reforms no election ni uhalifu
ndio nini hiyo gentleman, ungeieleza kwa kina kifupi kwa faida ya wadau wa jf ingawa ni nje kabisa ya mjadala na ingependeza zaidi šŸ’?
 
huo si ushirikina mama?
watoweke kivipi kwa mfano?

Yaani mtu aingie JF kwa hiyari yake halafu iwe ni kosa kuamua kua kuwa bize na mambo mengine, halafu wewe uje na ushirikina wako kwamba wametoweka?

huo si pure ushirikina wa kimaskini kabisa aise?
Huenda na wew ni miongoni mwa wanachadema mliopwaya kila idara right?šŸ’
Kulikuwa wajinga wengi zaidi yako wewe walitetea sana ccm ila kadri muda ulivyoenda walipotea wenyewe ni suala la muda tu
 
Gentleman,
kama mtaalamu na mbobevu kwenye masuala ya siasa, sina haja ya kupambana na yoyote yule.

wajibu wangu mkubwa ni kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu. Na ndio maana nimeibua changamoto hiyo ya kisiasa ndani ya chadema,

au wew unaona kuibua changamoto kama hiyo kwa kuisadia chadema yenyewe, ni mapambano gentleman?šŸ’
Sawa gentleman, ebupia elezea utekaji ulivyoathiri kile chama kingine
 
Ni ombwe la uongozi na ukata wa pesa tu au kuna jingine?

Kwa mfano,
Uropokaji umekidumaza mno kisiasa chama hicho cha siasa nchini, Lakini pia kufanya siasa za kutegemea zaidi artificial imotional scripts za drama ili kugain public sympathy zimeifubaza sana chadema, na kuifanya ikose mvuto, agenda mahususi, ushawishi wa kisera na nguvu ya hoja kuvutia wafuasi wengi zaidi. Hali hiyo imezidisha kikifanya chama hicho cha siasa nchini kupotea kabisa kwenye ramani ya siasa za hoja ,sera na agenda Tanzania.

Kuingia na kujificha kwa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ndani ya chama hicho, kumechafua taswira nzima ya chama hicho, na kufanya wanasiasa wengi makini na wenye maono ya mbali, kukikimbia na kujitenga na chama hicho, na kuacha kabisa kuifuatilia au kuishabikia kwasababu ya kutumika kama kichaka cha ukoloni mambo leo.

Uzuri ni kwamba,
hakuna mTanzania mwenye imani nacho tena, hasa baada ya nia yao ovu ya kuliuza taifa kwa mabwenyenye ya magharibi kujidhihirisha na kujibainisha wazi wazi kila mahali kwa kila mTanzania.

Chadema masalia,
imebaki tu kufanya mikutano ya hadhara ya kuomba kuchangiwa pesa za matumizi kwaajili ya kuwasitiri na kuwasaidia viongozi wake wa kitaifa, ambao wengi wao hawana ajira, na wanaofedheheka mno mitaani kwao kwa mikopo ya vikoba na kausha damu.

Cha kushangaza zaidi,
hata adui yao mkubwa kwa sasa, sio tena chama tawala, bali ni vyama vya siasa vya upinzani hasa vyenye agenda tofauti na wao.

Kama mdau wa siasa za Tanzania,
unadhani nini kifanyike ili angalau chadema wapate tena angalau wafuasi wapya wachache, maana kiukweli Chadema masalia imedumaa na hakuna mwananchi mpya anajiunga nayo. Inachukiwa na inaogopwa kama na kila mTanzania kama EBOLA.šŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
Mahudhurio ya mikutano ya Chadema ni mikubwa bila kubebwa na malori kama ng'ombe na nguruwe kisha wananchi wanachangia chama bila kusubiri hela za wizi za kina GS* na kalasinga wa Escrow
Sorry to say this you need psychiatrist help.you are stark raving madman.
 
Kwa sasa CHADEMA haina mbele wala nyuma. Ilizoea ujasiriasiasa kwa ajili ya kujaza Matumbo yao
 
Ni ombwe la uongozi na ukata wa pesa tu au kuna jingine?

Kwa mfano,
Uropokaji umekidumaza mno kisiasa chama hicho cha siasa nchini, Lakini pia kufanya siasa za kutegemea zaidi artificial imotional scripts za drama ili kugain public sympathy zimeifubaza sana chadema, na kuifanya ikose mvuto, agenda mahususi, ushawishi wa kisera na nguvu ya hoja kuvutia wafuasi wengi zaidi. Hali hiyo imezidisha kikifanya chama hicho cha siasa nchini kupotea kabisa kwenye ramani ya siasa za hoja ,sera na agenda Tanzania.

Kuingia na kujificha kwa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ndani ya chama hicho, kumechafua taswira nzima ya chama hicho, na kufanya wanasiasa wengi makini na wenye maono ya mbali, kukikimbia na kujitenga na chama hicho, na kuacha kabisa kuifuatilia au kuishabikia kwasababu ya kutumika kama kichaka cha ukoloni mambo leo.

Uzuri ni kwamba,
hakuna mTanzania mwenye imani nacho tena, hasa baada ya nia yao ovu ya kuliuza taifa kwa mabwenyenye ya magharibi kujidhihirisha na kujibainisha wazi wazi kila mahali kwa kila mTanzania.

Chadema masalia,
imebaki tu kufanya mikutano ya hadhara ya kuomba kuchangiwa pesa za matumizi kwaajili ya kuwasitiri na kuwasaidia viongozi wake wa kitaifa, ambao wengi wao hawana ajira, na wanaofedheheka mno mitaani kwao kwa mikopo ya vikoba na kausha damu.

Cha kushangaza zaidi,
hata adui yao mkubwa kwa sasa, sio tena chama tawala, bali ni vyama vya siasa vya upinzani hasa vyenye agenda tofauti na wao.

Kama mdau wa siasa za Tanzania,
unadhani nini kifanyike ili angalau chadema wapate tena angalau wafuasi wapya wachache, maana kiukweli Chadema masalia imedumaa na hakuna mwananchi mpya anajiunga nayo. Inachukiwa na inaogopwa kama na kila mTanzania kama EBOLA.šŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
Na ni ajabu nchi ambayo ina makabila zaidi ya 100 unakuta kuna kabila linazalisha VILAZA kama wewe.
 
Kuanzia Sasa naacha kuchangia Hoja za tlaahtlaah na Lukas mwashambwa! Maana hata jambo likiwa wazi wao ni uchama tuu!
 
Ni ombwe la uongozi na ukata wa pesa tu au kuna jingine?

Kwa mfano,
Uropokaji umekidumaza mno kisiasa chama hicho cha siasa nchini, Lakini pia kufanya siasa za kutegemea zaidi artificial imotional scripts za drama ili kugain public sympathy zimeifubaza sana chadema, na kuifanya ikose mvuto, agenda mahususi, ushawishi wa kisera na nguvu ya hoja kuvutia wafuasi wengi zaidi. Hali hiyo imezidisha kikifanya chama hicho cha siasa nchini kupotea kabisa kwenye ramani ya siasa za hoja ,sera na agenda Tanzania.

Kuingia na kujificha kwa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ndani ya chama hicho, kumechafua taswira nzima ya chama hicho, na kufanya wanasiasa wengi makini na wenye maono ya mbali, kukikimbia na kujitenga na chama hicho, na kuacha kabisa kuifuatilia au kuishabikia kwasababu ya kutumika kama kichaka cha ukoloni mambo leo.

Uzuri ni kwamba,
hakuna mTanzania mwenye imani nacho tena, hasa baada ya nia yao ovu ya kuliuza taifa kwa mabwenyenye ya magharibi kujidhihirisha na kujibainisha wazi wazi kila mahali kwa kila mTanzania.

Chadema masalia,
imebaki tu kufanya mikutano ya hadhara ya kuomba kuchangiwa pesa za matumizi kwaajili ya kuwasitiri na kuwasaidia viongozi wake wa kitaifa, ambao wengi wao hawana ajira, na wanaofedheheka mno mitaani kwao kwa mikopo ya vikoba na kausha damu.

Cha kushangaza zaidi,
hata adui yao mkubwa kwa sasa, sio tena chama tawala, bali ni vyama vya siasa vya upinzani hasa vyenye agenda tofauti na wao.

Kama mdau wa siasa za Tanzania,
unadhani nini kifanyike ili angalau chadema wapate tena angalau wafuasi wapya wachache, maana kiukweli Chadema masalia imedumaa na hakuna mwananchi mpya anajiunga nayo. Inachukiwa na inaogopwa kama na kila mTanzania kama EBOLA.šŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
Huu wimbo wa CDM imekufa niliusikia tangu enzi za JPM! Cha ajabu sasa bado CDM inawasumbua mnoo mpaka kuamua ni bora kuwateka, ua, weka gerezani 🤣🤣🤣!! Nikuulize swali ewe chawa PRO MAX.... Ni kwann hamuwateki wanachama wa vyama vingine au kuwabambikia kesi na kuwaweka gerezani? Why mnadili na CDM? Najua huwez jibu kwa ufasaha. Ni kwamba anaekuzidi ndie adui yako ndio maan CDM imekua adui kwa wanaccm!!
 
Back
Top Bottom