Nini hasa chimbuko la CHADEMA kupwaya karibu katika kila idara kwenye siasa za Tanzania?

Kama kweli ingekua inapwaya tundulisu asingekua lupango muda huu
gentleman,
korokoroni ni maalumu kwa wahalifu wote pamoja na wakiuka sheria za nchi.

na hilo halitaachwa kusimamiwa kikamilifu humu nchini.
all criminals belongs to korokoroni πŸ’
 
no reforms no election ni uhalifu
ndio nini hiyo gentleman, ungeieleza kwa kina kifupi kwa faida ya wadau wa jf ingawa ni nje kabisa ya mjadala na ingependeza zaidi πŸ’?
 
Ni CCM.
Ni uchaguzi tarehe 29 police kuua raia.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Kulikuwa wajinga wengi zaidi yako wewe walitetea sana ccm ila kadri muda ulivyoenda walipotea wenyewe ni suala la muda tu
 
Sawa gentleman, ebupia elezea utekaji ulivyoathiri kile chama kingine
 
Mahudhurio ya mikutano ya Chadema ni mikubwa bila kubebwa na malori kama ng'ombe na nguruwe kisha wananchi wanachangia chama bila kusubiri hela za wizi za kina GS* na kalasinga wa Escrow
Sorry to say this you need psychiatrist help.you are stark raving madman.
 
Kwa sasa CHADEMA haina mbele wala nyuma. Ilizoea ujasiriasiasa kwa ajili ya kujaza Matumbo yao
 
Na ni ajabu nchi ambayo ina makabila zaidi ya 100 unakuta kuna kabila linazalisha VILAZA kama wewe.
 
Kuanzia Sasa naacha kuchangia Hoja za tlaahtlaah na Lukas mwashambwa! Maana hata jambo likiwa wazi wao ni uchama tuu!
 
Huu wimbo wa CDM imekufa niliusikia tangu enzi za JPM! Cha ajabu sasa bado CDM inawasumbua mnoo mpaka kuamua ni bora kuwateka, ua, weka gerezani 🀣🀣🀣!! Nikuulize swali ewe chawa PRO MAX.... Ni kwann hamuwateki wanachama wa vyama vingine au kuwabambikia kesi na kuwaweka gerezani? Why mnadili na CDM? Najua huwez jibu kwa ufasaha. Ni kwamba anaekuzidi ndie adui yako ndio maan CDM imekua adui kwa wanaccm!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…