Hayo makabila ni km wakibosho na machame..Yes, ni slayqueen ila wale ambao umri umesogea kidogo type za kina Zari.
Anamzidi umri Peter.
Vile vile, Nigeria kuna ukabila fulani kati ya Igbos na Yoruba.
Rude boy anafanya pia vizuriWakuu
Hivi chanzo cha ugomvi wa mapacha hawa waliounda kundi la muziki la p square, yaani Peter na Paul.
Kiliwakumba nini mpaka wakaamua kutemana na kila mtu afanye kazi kivyake (solo)? ..
Japokuwa kwa sasa wote tu wanafanya vizuri lakini rude boy (Paul) anaonekana kuwa mkimya na mtu wa kazi tofauti nduguye...
Naomba kujua nini kisa kilichowatenganisha...
Rasta Muungwana sana shida niDoh ni yupi rasta au upara?
Kumbe peter ndio kawatenga wenzie sio wamezinguanaLola ndo nyoka mke wa Peter na ni mkubwa kwao!!alitaka Jude's kaka yao asiwe meneja wao anawanyonya Rude boy akagoma mpk Leo Peter haelewani na nduguze
Jamaa Peter niliona post yake majuzi anajitamba kuwa amepata mafanikio makubwa kama Solo kuliko alivyokuwa kwenye kundi..!Rasta Muungwana sana shida ni
Peter
Hapana kiranja wa zamubado mnabshana?
Jude ni kaka yao mkubwa nazan ndiyo wa kwanza na mke wa peter aliwahi kumkosea heshima mama yao akina square ndiyo kiini cha mgogoro wao hata kabla ya mama yao kufa . (Chanzo cha habari ni rudeboy aliwahi kupost wakati Lora kamuwish happy birthday Mr wake na pacha wake )Peter alioa mwanamke ambaye familia haimtaki. Na kibaya zaidi Paul kwa kushirikiana na anko wao Jude baada ya kifo za mama yao wakawa wanashirikiana kutaka kumcontrol Peter.
Hahahahaha......Hapana kiranja wa zamu
Umeona Rude nyimbo zake zina hit balaa na naona kimafanikio ya muzik rude yupo juu sasa hivi kuliko hata peter .Jamaa Peter niliona post yake majuzi anajitamba kuwa amepata mafanikio makubwa kama Solo kuliko alivyokuwa kwenye kundi..!
Nikajua hapa kuna kitu sio bure halafu naona mwenzie rude Boy yupo kimya
Sema kiukweli wakiwa Solo sasa nyimbo za rude Boy ndio nzuri kwa kweli
Rudeboy 'Paul' ni bora zaidi kwenye uimbaji, hata ukifatilia nyimbo za PSquare wakiwa pamoja yeye ndio alikuwa akicover sehemu kubwa ya nyimbo zao, Peter yeye ni mzuri zaidi kwenye dancing kuliko uimbaji so kwa wanaowajua vizuri haishangazi kwanini Paul anafanya vizuri zaidi kama solo, kwanza mashabiki huwa wanamkejeli Peter kwa kumuita 'dancer' na sio mwanamuziki. Kingine nachompendea Paul ni mtulivu, sio mtu wa Mashauzi kama PeterUmeona Rude nyimbo zake zina hit balaa na naona kimafanikio ya muzik rude yupo juu sasa hivi kuliko hata peter .
Ukichek hata account zao mfano YouTube (VEVO ACCOUNT) Rude boy kamfunika mwenzie mbali sana
View attachment 1834147View attachment 1834148View attachment 1834149View attachment 1834150View attachment 1834151View attachment 1834152View attachment 1834153View attachment 1834154View attachment 1834155View attachment 1834156
Mkuu Jude ni kaka yao mkubwa sio ankoPeter alioa mwanamke ambaye familia haimtaki. Na kibaya zaidi Paul kwa kushirikiana na anko wao Jude baada ya kifo za mama yao wakawa wanashirikiana kutaka kumcontrol Peter.
Yule mke wake peter chotara la kihindi alimsaidia sana peter kipindi kafulia anatafuta kutoboa, yule dada alikuwa hadi anaiba ndinga za kwao anampa peter... So alikuwa na true love kwa Peter that's y anarudisha fadhila.....yule dada ana umri mkubwa kuliko Peter, halafu hao wakina Paul wanasema ana dharau sanaLakini wanawake ndio chanzo cha mfarakano
Ukute alioa slayqueen ndugu zake wakataka kumuokoa labda
Jude si ndio alikuwa meneja wao?
Peter ni mtukutu, mkorofi kuanzia utotoni...anapenda kupiganaRasta Muungwana sana shida ni
Peter
Huyo mbibi alikuwa hampendi Lola hata kidogo....wamama banaJude ni kaka yao mkubwa nazan ndiyo wa kwanza na mke wa peter aliwahi kumkosea heshima mama yao akina square ndiyo kiini cha mgogoro wao hata kabla ya mama yao kufa . (Chanzo cha habari ni rudeboy aliwahi kupost wakati Lora kamuwish happy birthday Mr wake na pacha wake )
Ni hivi mke wa peter alitaka awatawale wote wawili kimaisha ya mapenzi na kikazi sio wote walioa kwa mara moja paul alikuwa hajaoa na yule mama tayari alimteka paul kimapenzi ndio jude kaka yao wa mama yao mwingine(mama mkubwa au baba mkubwa) , akasanuka hapa wataliwa na huyu mke wa peter.Lola ndo nyoka mke wa Peter na ni mkubwa kwao!!alitaka Jude's kaka yao asiwe meneja wao anawanyonya Rude boy akagoma mpk Leo Peter haelewani na nduguze
Yaap Lola ni mdada wa mjini kwa naijeria kule na kwa story za mitandaoni hata mama yao before hajadanja Hakka anamkubali Lola awe na mwanawe alisemaga hamtaki kwanza kawzidi seven yrs wale mapacha then mjanja mjanja sema ndo wakaka kichwa cha chini kikifanha baasi cha juu kinastuck hapo halo jamaa akakomaa kumuoa huyo Lola na lile kundi aliyekua anafanya lisavaivu ni bimkubwa wao maana alivokufa tu nafikiri hawakukaa hata miaka 2 vurugu zikaanza ila chanzo ni Lola kutaka Jude's aache kuwasimamia eti kwa madai anawanyonya sana na wao ndo wanafanya kazi kubwa!Paul akagoma kaka yao kuacha kua meneja Peter akaaside na mkewe ndo shida ilipoanzia hapo wakatengana,wakarudiana,wakatengana tena na ndo hawakurudiana mpk Leo ...Ila kimafanikio Rudeboy kimziki yuko juu...yule Peter mbwembwe tu then Paul ni mpole sana hana maneno maneno kama huyu Peter!!!!Jamaa Peter niliona post yake majuzi anajitamba kuwa amepata mafanikio makubwa kama Solo kuliko alivyokuwa kwenye kundi..!
Nikajua hapa kuna kitu sio bure halafu naona mwenzie rude Boy yupo kimya
Sema kiukweli wakiwa Solo sasa nyimbo za rude Boy ndio nzuri kwa kweli
Kumbe peter ndio kawatenga wenzie sio wamezinguana
Wanawake bwana ni hatari,katenganisha mapacha kwa miezi michache tu
Sasa huyu mama hajui jude ndio kawasimamia miaka yote?
Looh! Kumbe sema walimkataaga kwa kua ni mkubwa kiumri hata bimkubwa Hakua anamtaka yule mama!si unajua waafrica Kuoa mwanamke aliyekuzidi umri ni chengaa...!!!ila mrembo yule mdada mweehh!!!Peter ni mtukutu, mkorofi kuanzia utotoni...anapenda kupigana
Ila yule Lola ni mtu mzuri sana basi tu wanamgeuka, kipindi hao mapacha wamefulia yy Lola ndo alikuwa anawatoa mishiko ya studio na magari ya kwao
Peter ndo kaoa yule chotara Paul kaoa kadada kanaitwa AnitaNi hivi mke wa peter alitaka awatawale wote wawili kimaisha ya mapenzi na kikazi sio wote walioa kwa mara moja paul alikuwa hajaoa na yule mama tayari alimteka paul kimapenzi ndio jude kaka yao wa mama yao mwingine(mama mkubwa au baba mkubwa) , akasanuka hapa wataliwa na huyu mke wa peter.
So wakamdhibiti na paul akaoa alipooa mke wa paul akatafuta njia ya kufarakanisha ndugu kwa maana kashindwa kula hela kiulaini .
Wangezuba lebel records ingekuwa chini yake.
Namihela yote yake wao wangekuwa wanapewa vifuta jasho