QALLI MIZOH
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 2,075
- 698
Kwani nao walikuwa na zana {manati ya mzungu?Mkuu wanasema waliwakimbiza mpk ilipofika sehemu ambapo ikishindikana wao kukimbia, walipoona hivyo wakachomoa bunduki wakaanza kujibizana na askari ndo ikatokea 2 men down