Nini hasa kilitokea mpaka UDE UDE na rafiki yake wakauawa na polisi TANGA?

Nini hasa kilitokea mpaka UDE UDE na rafiki yake wakauawa na polisi TANGA?

Mkuu wanasema waliwakimbiza mpk ilipofika sehemu ambapo ikishindikana wao kukimbia, walipoona hivyo wakachomoa bunduki wakaanza kujibizana na askari ndo ikatokea 2 men down
Kwani nao walikuwa na zana {manati ya mzungu?
 
imeandikwa kwenye baadhi ya magazeti kwamba hao majambazi wakati wanakimbilia msituni na gari lao, walifika sehemu hakukuwa na njia ya kupita magari kwahiyo wakaamua kuliacha gari lao na kukimbia kwa miguu. sasa hapa polisi wanatakiwa kuonyesha hilo gari lilokuwa linatumiwa na hao majambazi.
 
Mnakumbuka mtoto wa salmin amour rais mstaafu wa zenji....naye alikuwa anasakamwa sana kwA tuhuma za uwizi wa vifaa vya magari
Hata qchief alishaiNGIAA KTK MKUMBO huo pia Ila akajitoaaa alikuwa karibu sana n'a watoto fulani wa migomigo
 
Habari zenyu wakuu, juzi juzi hapa zilisambaa habari kuhusu huyu jamaa wakuitwa UDEUDE, msanii na mtunzi wa nyimbo kadhaa za mastaa hapa bongo kwamba alipigwa risasi, akiwa na msanii mwenzake na wote wakapoteza maisha kwa tuhuma za ujambazi huko TANGA, kwanza naomba kujuzwa kama ni kweli na pia nijue hasa nini kilitokea! Yaani inamaana mastaa wetu wanaishi maisha mazuri huku wakifanya mambo mabaya nyuma ya pazia? Tafadhali naomba kujuzwa
Hiyo 'ZENYU' hapo naona imekaa kisambaa zaidi.
 
Masharo wengi dar ni wezi wa vifaa vya magari kuna cku nimewakosa pale baraka plaza mikocheni......narudi kwenye gari nae ndio anamaliza kufungua mlango wa gari yangu kuna mwenzake akamstua wakakimbialia kwenye gari yao n kuondoka fasta....mana wangefanikiwa kuiba ingekua kilio kwangu
aiseee!it is terrible!!
ustaa mavi mbaya!
 
Mnakumbuka mtoto wa salmin amour rais mstaafu wa zenji....naye alikuwa anasakamwa sana kwA tuhuma za uwizi wa vifaa vya magari
Hata qchief alishaiNGIAA KTK MKUMBO huo pia Ila akajitoaaa alikuwa karibu sana n'a watoto fulani wa migomigo
yes!!qchief hizo ndo zilikua mambo zake!itakua aliacha!
 
aiseeh!Mungu nusuru vizazi vyetu!
Mambo yametamalaki mijini hayo dada yangu kuna vitu ukiambiwa kwanza unapata ganzi hata huyu? tatizo vijana wengi ulimbukeni abadilishe magari ang'oe warembo na kazi hana tena kipindi hiki hawa wakuitwa mesheni town jasho litawatoka kuishi kiujanjaujanja kutapungua.
 
aiseeh!mtu elimu hana,kazi hana,na show off anazitaka!hatari sana!!

mi ndo maana hawa mastar uchwara hawantishi hata kidogo!
 
acha wangu!I wish nirudishe siku nyuma aiseeeh!maana Dah utoto rahaa!!
Ilikuwa ukimkorofisha sana mzee anakujibu kwa upole nawe utakuwa duh sasa hivi huwa nawaza mzee alikuwa ananiambia maneno makali sana japo kwa upole jinsi watoto wanavyozingua ukimwambia anasema hizi vurugu za hawa hazijafika japo robo za hekaheka zako.
 
hahaaa!acha tu mi nlikua naomba ela ya photocopy na mitihani daily haiishi!tuit silipi nakula nalipia masomo matatu!
 
Mkuu wanasema waliwakimbiza mpk ilipofika sehemu ambapo ikishindikana wao kukimbia, walipoona hivyo wakachomoa bunduki wakaanza kujibizana na askari ndo ikatokea 2 men down
na wewe unaamini kuwa wezi wa vifaa vya magari wanaweza kumiliki bunduki?!
 
Back
Top Bottom